Tumia vizuri akili yako!! Marekani huko Afghanstan walikuwa kama watawala mpaka wameweza kubadirishana marais wameisimamia nchi hiyo mpaka imekuwa stable na waliondoka huko si kwa kushindwa kwenye Medani ya vita la hasha kulikuwa na makubaliano ambayo yalifikiwa na ndiyo maana hata hizo zana za kivita waliachiwa kwa makubaliano wala si kwamba waliviteka kwenye mapigano. Magari,ndege viliachwa huko kwa sababu kwanza havina madhara hata wao hawawezi kuvitumia maana hakuna anayejua kuvitumia ukiondoa magari ambayo watayatumia kwa muda mfupi tu kisha yatakosa spares ambao hawawezi kuzipata popote isipokuwa marekani tu. Una pia ndege nyingi tu waliachiwa lakini hawawezi kuzitumia ipasavyo maana hakuna rubani atakayeweza kuzirusha na wakikurupuka zinaweza kuwaingiza matatani wao wenyewe kwa hiyo usifurahie sana hizo ndege zimeachwa kwa maksudi maalum. Kumbuka pia marekani wakati wanaondoka huko waliondoka na maelfu ya raia ambao sasa hivi wanaishi Marekani sasa hiyo kauli yako ya kuwa Wamekimbizwa chupi mkononi haina uhalisia!!!