Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Kwa ulichosema kwamba imepigwa Jana basi ni dhahiri hii ni taarifa ya uongo. Weka hata screenshot ya ulipotoka habari, maana kwa kwa hakika link hautaweza kuleta, Lete hata screenshot
Kwani si umewekewa hapo maelezo ya kiingereza na bado huyataki,waliotoa taarifa ni houthi wenyewe,link ni mpaka marekani aseme tumepigwa ndiyo CNN, BBC,sky news watakutaarifu wewe,nenda threads habari ipo
 
Kakwambia nani Iran uayatollah unarithiwa!?
Haurithiwi ila kwa sasa mwanae ayyatollah pekee mwenye sifa stahiki kwa hicho cheo na inasemekana aliandaliwa hivyo na baba yake.

Rais wa kipindi kile aliyefariki kwa ajili nae alikuwa na sifa stahiki. Baada kifo chake kabaki mtoto wa ayatollah
 
Kwani si umewekewa hapo maelezo ya kiingereza na bado huyataki,waliotoa taarifa ni houthi wenyewe,link ni mpaka marekani aseme tumepigwa ndiyo CNN, BBC,sky news watakutaarifu wewe,nenda threads habari ipo
Hata hiyo screenshot ataitoa wapi maana haipo hawa jamaa ni waongo kupita shetani!!
 
Maelezo ya kiingereza ndio source ya habari? Basi weka source yoyote kutoka kundi la houthi utuwekee hapa
 
Kama ni hivyo basi makamanda watakuwa na kazi gani.? Umeambiwa hiyo ni rada Ina yorka sasa inaongozaje mapigano? Najua huna uzoefu wowote wa vita basi tupe hiyo link kudhibitisha kuwa Pentagon wamesema ndege yao imepigwa!!!
Chizi wakiisrael lazima utie mtomo.😃
 
Maelezo ya kiingereza ndio source ya habari? Basi weka source yoyote kutoka kundi la houthi utuwekee hapa
Maelezo si yamesema kiongozi wa houthi kaiambia tv ya al mayadeen,tafuta hiyo al mayadeen tv,akili zenu huwa zikoje,au ndiyo mlisoma kwa tuition kila kitu kutafuniwa?
 
Serikali ya Yemen imetangaza kuingusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi.

A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen:

Houthi targeted E2 command and control aircraft of US aircraft carrier Harry S. Truman.

The official says that the aircraft carrier has lost its command, and the Pentagon are investigating the issue.
Very good very good. Acha inyeshe tuone kunakovuja.
 
Hata hiyo screenshot ataitoa wapi maana haipo hawa jamaa ni waongo kupita shetani!!
Wewe piga kelele,ila Iran washapakia makombora kwenye vilipuzi,na mzigo wa makombora toka china umeingia leo Iran,mumeo USA mwambie afanye kama anajikuna
 
Attachments

  • Screenshot_2025-03-31-20-58-47-932.jpg
    Screenshot_2025-03-31-20-58-47-932.jpg
    316.7 KB · Views: 17
Haurithiwi ila kwa sasa mwanae ayyatollah pekee mwenye sifa stahiki kwa hicho cheo na inasemekana aliandaliwa hivyo na baba yake.

Rais wa kipindi kile aliyefariki kwa ajili nae alikuwa na sifa stahiki. Baada kifo chake kabaki mtoto wa ayatollah
Kanywe banana
 
Back
Top Bottom