Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Ulicho weka ni nini sasa.hivi unafikiri tuliomo humu wote wajinga kama wewe? Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako hapo hakuna cha channel 12 ya Israel!!
Israel channel za TV majina yake ni namba,zipo' 1-12+, tafuta channel 12 israel
 
Walishawahi kuwekwa mtu kati na Saudi Arabia kwa kusaidiwa na Marekani lakini Hawa viumbe walikichafua mpk Saudia wakawaita wakae mezani wayajenge🤠🤠🤠....kwao vita ni sehemu ya maisha ya Kila siku
Nakumbuka walilipua visima vya mafuta huko Saudi
 
Ulicho weka ni nini sasa.hivi unafikiri tuliomo humu wote wajinga kama wewe? Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako hapo hakuna cha channel 12 ya Israel!!
Thibitisha kwamba habari ni ya uongo huu ubishi uishe.
 
Hiyo E2 imegongwa jana,sema hatuna nyege za kuleta habari humu kama wewe,tena mimi niliisoma kwa myahudi, ndiyo maana unasikia trump kaanza uwongo wa houthi wanataka amani,na jana akashambulia 8 targets kwa hasira
Sasa hizo kazi zake ulizotaja hapo si ndiyo uongozaji wenyewe,we akili zako bana!!
Kwa ulichosema kwamba imepigwa Jana basi ni dhahiri hii ni taarifa ya uongo. Weka hata screenshot ya ulipotoka habari, maana kwa kwa hakika link hautaweza kuleta, Lete hata screenshot
 
Habari hii inaonyesha wazi ni uongo kabisa maana Kijeshi ndege E-2 au EWACS haziongozi mapigano. Ndege ya AWACS (Airborne Warning and Control System), kama vile Boeing E-3 Sentry, ni ndege iliyorekebishwa iliyo na mfumo mkubwa wa rada ambao hutoa ufuatiliaji wa hali ya hewa yote, amri, udhibiti na mawasiliano kwa shughuli za kijeshi, kimsingi inafanya kazi kama "rada inayo duka". Kingine mtoa mada umesema msemaji wa Pentagon wamesema wamesemea wapi hebu tupe link walikosemea na sisi tuone!! Najua huna maana ni uongo. Nawashangaa sana ndugu zangu katika imani ni waongo kumpita hata Shetani mwenyewe. Mtoa mada wadanye wajinga na wapumbavu kama wewe tu!!!!
Link hiyo

Screenshot_20250331-161240.png
soma headline hapa.
 
Leta unazoona ni za ukweli.
 
Kama ni hivyo basi makamanda watakuwa na kazi gani.? Umeambiwa hiyo ni rada Ina yorka sasa inaongozaje mapigano? Najua huna uzoefu wowote wa vita basi tupe hiyo link kudhibitisha kuwa Pentagon wamesema ndege yao imepigwa!!!
Uanelewa maana ya Rada? Sasa Rada isipoongoza Mapambano kitu gani kitaongoza? Comment zako zinaji Contradict, ukiwa mtu wa copy na paste kufanya reasoning inakua ngumu sana.
 
Back
Top Bottom