Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Wameangusha ndege ngapi? Wamarekani wana ndege ngapi?

Vitani chochote kinaweza kutokea. Ila hii vita ya sasa, mataifa ya uarabuni yanazidi kuharibiwa.

US alikomeshwa na wavietnam tu. Mpaka akaita maji mma. Akaomba poo. Hawa wengine hawana lolote. Wamevimbiwa uji wanatoa mashuzi tu😂😂😂😂
 
Ziko nyingi hizo AWACS italetwa nyingine walikuwa wamejisahau tu kuiwekea fighters mbili.

Watu wanaongea kama ni kitu kikubwa sana. Ujinga ni kitu mbaya sana.
Wanataka kuharibu mpaka pilau za idd 😂😂😂😂😂
 
Houthis are typically Iran's Proxy and it's one of the very capable military group
 
Houthis are typically Iran's Proxy and it's one of the very capable military group
Mimi bado nawakatalia Houth hawana lolote sema tu wanamtegemea sana bwana wao Iran tu lakini ikikatwa supply-Chain yao na Iran hawatakuwa na la kufanya. Hata Magaidi wa Hezbollah nao watu walikuwa wanawasifia sana lakini baada ya kudhibitiwa Supply-Chain yao walipigwa kama Ngoma mpaka baraza lote la Hezbollah liliangamizwa mpaka kiongozi wake Hassa Nasrallah. Watu kama hawa huwezi kuwasema kuwa wako Capable hakuna kitu hapo wala miru hi tu hao.
 
Maelezo si yamesema kiongozi wa houthi kaiambia tv ya al mayadeen,tafuta hiyo al mayadeen tv,akili zenu huwa zikoje,au ndiyo mlisoma kwa tuition kila kitu kutafuniwa?
Hakuna report kama hiyo kwenye Al mayedeen TV.
 
Damu ya ndugu zetu wapalestina hiyo inawatesa makafiri hao, na badoo
Wewe Mwarabu-Koko ndiyo utateseka maisha yako yote na unaowatesekea wala hawakuhesabu kuwa kitu kwao wala hawajui kuwa wewe huku unateseka nao!!
 
Wewe Mwarabu-Koko ndiyo utateseka maisha yako yote na unaowatesekea wala hawakuhesabu kuwa kitu kwao wala hawajui kuwa wewe huku unateseka nao!!
Naww mbona kutwa kuwasifia Wazungu kias upo Tayali kusema Uwongo ili tu kuwafuraisha Wazungu na kuwakuza aya Mzungu naww ulio uko kimbiji wapinawapi !!!!!

Weusi wenzio Uko Ulaya Wanaitwa yule mnyama wa mwituni.. ww uko kutwa kuwapigia promo!!!!!
 
Wameangusha ndege ngapi? Wamarekani wana ndege ngapi?

Vitani chochote kinaweza kutokea. Ila hii vita ya sasa, mataifa ya uarabuni yanazidi kuharibiwa.

US alikomeshwa na wavietnam tu. Mpaka akaita maji mma. Akaomba poo. Hawa wengine hawana lolote. Wamevimbiwa uji wanatoa mashuzi tu😂😂😂😂
Ni juzi tu Marekani na NATO wamekimbizwa chupi mkononi na Taliban huko Afghanistan na wakaacha zana zote za kivita
vifaru,ndege, magari ya deraya,
 
Attachments

  • 1629411540605.jpg
    1629411540605.jpg
    269.5 KB · Views: 15
  • taliban-afghanistan.jpg
    taliban-afghanistan.jpg
    101.6 KB · Views: 14
Naww mbona kutwa kuwasifia Wazungu kias upo Tayali kusema Uwongo ili tu kuwafuraisha Wazungu na kuwakuza aya Mzungu naww ulio uko kimbiji wapinawapi !!!!!

Weusi wenzio Uko Ulaya Wanaitwa yule mnyama wa mwituni.. ww uko kutwa kuwapigia promo!!!!!
Safari hii mpaka Mnyooke tu!!!
 
Habari hii inaonyesha wazi ni uongo kabisa maana Kijeshi ndege E-2 au EWACS haziongozi mapigano. Ndege ya AWACS (Airborne Warning and Control System), kama vile Boeing E-3 Sentry, ni ndege iliyorekebishwa iliyo na mfumo mkubwa wa rada ambao hutoa ufuatiliaji wa hali ya hewa yote, amri, udhibiti na mawasiliano kwa shughuli za kijeshi, kimsingi inafanya kazi kama "rada inayo duka". Kingine mtoa mada umesema msemaji wa Pentagon wamesema wamesemea wapi hebu tupe link walikosemea na sisi tuone!! Najua huna maana ni uongo. Nawashangaa sana ndugu zangu katika imani ni waongo kumpita hata Shetani mwenyewe. Mtoa mada wadanye wajinga na wapumbavu kama wewe tu!!!!

View: https://www.youtube.com/watch?v=8y5O4Pja41U
 
Safari hii mpaka Mnyooke tu!!!
IRAN ndio kiboko yenu mlikimbia Jukwaa nyote kwenye ile promis no 2 Shubamit !!!

sasa mmerudi kwa kunyata tena mnadai Iran awana kitu!!!

mnawadunisha Wairan ohhh awana kitu sawa Anga lilikuwa la RED pale Telaviv shwain atujasikia tena mwanasayansi kauwawa Kigaid kumbe dawa yao ni kipondo tu !!!!!
 
Back
Top Bottom