Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Marekani yapoteza ndege ya kuongozea mapigano huko Red Sea (E2 Command and Control)

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,260
Reaction score
40,441
Serikali ya Yemen imetangaza kuiangusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi.

A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen:

Houthi targeted E2 command and control aircraft of US aircraft carrier Harry S. Truman.

The official says that the aircraft carrier has lost its command, and the Pentagon are investigating the issue.
 
Attachments

  • IMG_20250331_091342.jpg
    IMG_20250331_091342.jpg
    36.1 KB · Views: 15
Iran ameamua kuhamia hapo baada ya Al Asad kuanguka...Lebanon nako kukawaka moto kufatia Nasrala kuzikwa na vifusi..... Ila Iran ni nguvu dhabiti katika technology...hofu kubwa kwa Maghreb
Iran ndio inayompa Trump presha maana zana za Tech ya hali ya juu wanazotumia Houth zinatoka Iran
 
Iran ndio inayompa Trump presha maana zana za Tech ya haki ya juu wanazotumia Houth zinatoka Iran
Iran akipigwa pale Kati patatulia , USA na Israel wanajua tatizo lilipo ...Wanacalculate risk tu basi wamvamie .

Ubaya wa Iran kwa wazungu ni mfumo wake ,hata wakimmaliza Ayatollah wa sasa mwanawe tayari alishapewa mikoba...Pale watatuki ushawishi wa demokrasia ili kuwavuruga na kuangusha utawala .
 
Serikali ya Yemen imetangaza kuingusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi.

A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen:

Houthi targeted E2 command and control aircraft of US aircraft carrier Harry S. Truman.

The official says that the aircraft carrier has lost its command, and the Pentagon are investigating the issue.
Mtu mwenyewe wewe? Ww, Bams, Malaria2 propaganda zenu zinajulikana
 
Serikali ya Yemen imetangaza kuingusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi.

A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen:

Houthi targeted E2 command and control aircraft of US aircraft carrier Harry S. Truman.

The official says that the aircraft carrier has lost its command, and the Pentagon are investigating the issue.
Habari hii inaonyesha wazi ni uongo kabisa maana Kijeshi ndege E-2 au EWACS haziongozi mapigano. Ndege ya AWACS (Airborne Warning and Control System), kama vile Boeing E-3 Sentry, ni ndege iliyorekebishwa iliyo na mfumo mkubwa wa rada ambao hutoa ufuatiliaji wa hali ya hewa yote, amri, udhibiti na mawasiliano kwa shughuli za kijeshi, kimsingi inafanya kazi kama "rada inayo duka". Kingine mtoa mada umesema msemaji wa Pentagon wamesema wamesemea wapi hebu tupe link walikosemea na sisi tuone!! Najua huna maana ni uongo. Nawashangaa sana ndugu zangu katika imani ni waongo kumpita hata Shetani mwenyewe. Mtoa mada wadanye wajinga na wapumbavu kama wewe tu!!!!
 
Iran akipigwa pale Kati patatulia , USA na Israel wanajua tatizo lilipo ...Wanacalculate risk tu basi wamvamie .

Ubaya wa Iran kwa wazungu ni mfumo wake ,hata wakimmaliza Ayatollah wa sasa mwanawe tayari alishapewa mikoba...Pale watatuki ushawishi wa demokrasia ili kuwavuruga na kuangusha utawala .
Kakwambia nani Iran uayatollah unarithiwa!?
 
Habari hii inaonyesha wazi ni uongo kabisa maana Kijeshi ndege E-2 au EWACS haziongozi mapigano. Ndege ya AWACS (Airborne Warning and Control System), kama vile Boeing E-3 Sentry, ni ndege iliyorekebishwa iliyo na mfumo mkubwa wa rada ambao hutoa ufuatiliaji wa hali ya hewa yote, amri, udhibiti na mawasiliano kwa shughuli za kijeshi, kimsingi inafanya kazi kama "rada inayo duka". Kingine mtoa mada umesema Māoris a wa Pentagon wamesema wamesemea wapi hebu tupe link walikosemea na sisi tuone!! Najua huna maana ni uongo. Nawashangaa sana ndugu zangu katika imani ni waongo kumpita hata Shetani mwenyewe. Mtoa mada wadanye wajinga na wapumbavu kama wewe tu!!!!
Hiyo E2 imegongwa jana,sema hatuna nyege za kuleta habari humu kama wewe,tena mimi niliisoma kwa myahudi, ndiyo maana unasikia trump kaanza uwongo wa houthi wanataka amani,na jana akashambulia 8 targets kwa hasira
Sasa hizo kazi zake ulizotaja hapo si ndiyo uongozaji wenyewe,we akili zako bana!!
 
Serikali ya Yemen inaungwa mkono na Saudi Arabia pamoja na Westren ni uongo kusema imeangusha ndege ya washirika wao labda ungesema Wahouth.
 
Kama ni hivyo basi makamanda watakuwa na kazi gani.? Umeambiwa hiyo ni rada Ina yorka sasa inaongozaje mapigano? Najua huna uzoefu wowote wa vita basi tupe hiyo link kudhibitisha kuwa Pentagon wamesema ndege yao imepigwa!!!
Acha umama wewe,hiyo ndege hubeba askari mpaka 15 humo ndani,umeambiwa inaongoza ile uss truman kwa rada na info, wamarekani waliokua kwenye hiyo ndege washang'ata dongo
Nakuongezea na hii,unaijua channel 12 ya israel!?
 
Attachments

  • Screenshot_2025-03-31-12-13-23-865.jpg
    Screenshot_2025-03-31-12-13-23-865.jpg
    319 KB · Views: 18
Serikali ya Yemen imetangaza kuingusha ndege ya Marekani ya kuongozea mapigano huko Red Sea, Maafisa wa Pentagon wamesema ndege ilipoteza mawasiliano na Harry S. Truman Aircraft Carrier na wanaendelea na uchunguzi.

A Yemeni governmental source told Al-Mayadeen:

Houthi targeted E2 command and control aircraft of US aircraft carrier Harry S. Truman.

The official says that the aircraft carrier has lost its command, and the Pentagon are investigating the issue.
Zama zq MAREKANI zilipedwa IRAN anamvua nguo moja moja kile kizee watu wanae amini ndio mkuu ktk Ulimwengu !!!!

IRAN kila akitafuta uwo ukuu wake umekalia wapi auwoni Ukweli utabaki Marekani imekuzwa sana na Media lkn Weupe !!!!

ndio mana Wanaiyogopa Iran

IRAN BABA LAO leo katupa zawadi ya EID MUBARAK !!!

safi sana. TRAMP Leta BARUA nyengine ukichoka njooo mwenywe Kijesh!!!!!
 
Acha umama wewe,hiyo ndege hubeba askari mpaka 15 humo ndani,umeambiwa inaongoza ile uss truman kwa rada na info, wamarekani waliokua kwenye hiyo ndege washang'ata dongo
Nakuongezea na hii,unaijua channel 12 ya israel!?
Ulicho weka ni nini sasa.hivi unafikiri tuliomo humu wote wajinga kama wewe? Endelea tu kuwadanganya wajinga wenzako hapo hakuna cha channel 12 ya Israel!!
 
Back
Top Bottom