Marekani yaomba msaada kusaidiwa kutengeneza makombora hypersonic

Marekani yaomba msaada kusaidiwa kutengeneza makombora hypersonic

Urusi hii hii inayoangaika na Ukraine zaidi ya mwaka,urusi yenye kutegemea vikosi vya kujitolea kama wegner,Urusi yenye kuchukua hadi wafungwa wakapigane vitu,Urusi iliyokua na msafara wa zaidi ya km 60 ukielekea kiev wakati vita ndio imeanza ,tukajua mji mkuu wa Ukraine unatekwa soon hadi leo kimya,nitakua wa mwisho kuamini kama urusi nae ni super power.
hujui strategy za vita ndiyo sababu unasema hivyo. Hata vita ya kagera, TZ ilianza kupeleka mgambo, ilipojiridhisha kuwa hakuna foreign influence ndipo wazee wa kazi akina Mayunga, Musuguri, Kiaro, Marwa wakapelekwa.

urusi hawezi kupeleka elite soldiers wake harakaharaka hivyo, as hajui ikiwa NATO na Marekani wataingia na iwe all out war. Siku ukiona marekani na nato wameingia rasmi vitani ndipo uulize hayo uliyoulizwa.
 
Kuna kipindi Puttin alisema wanaopigana Ukraine ni professional soldiers tu! Inamaana alikuwa anadanganya?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kipindi Puttin alisema wanaopigana Ukraine ni professional soldiers tu! Inamaana alikuwa anadanganya?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ndiyo alidanganya hata NATO na marekani wanajua alidanganya, kuwahadaa na ndiyo sababu wanaogopa kupeleka jeshi wanapeleka silaha kificho tena zile chakavu wanajua wakipeleka za kisasa, si ajabu ndipo sehemu ya jeshi la urusi litakwenda zitateka zote. Umeshajiuliza kwa nini marekani japo aliahidi kupeleka ndege za kivita mpaka leo hajapeleka na hapeleki modest amepanga kupeleka za kizamani? Wanajua Urusi bado hajajitokeza.

Hao wagner ni migambo tu maana wengine wanatolewa gerezani kwa parole hiyo ya kupigana, kisha training wiki chache unapelekwa kwenye mapigano....ni kama group four tu wanaoajiri migambo na au wahitimu wa kujitolea wa jkt. Subiri ikitokea bahati mbaya ukasikia NATO wameingiza wanajeshi Ukraine ndipo tutajua ikiwa urusi ni dhaifu au la.
 
Ndiyo alidanganya. Ni hadaa tu. Kwani hao wagner si migambo tu? maana wengine wanatoka gerezani, kisha training wiki chache unapelekwa vitani....ni kama group four tu. Subiri ikitokea bahati mbaya ukasikia NATO wameingiza wanajeshi Ukraine ndipo utaiona urusi
Mmmh! Nafikiri kauli hii aliitoa kipindi kile magenerali wake wanauliwa sana kabla hajaingia mtaani kufanya mobilisation na kuwaalika Wagner! Japo mie siyo njuzi wa mambo ya kijeshi lakini haingii akilini kwamba Russia wachukue siraha nzito nzito wawakabidhi wale Wagner lazima Elite soldiers wa Kirusi wawepo frontline

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nime report lilifanikiwa, wewe unalazimisha lililo fail.
Uzuri wao ni kwamba huwa hawafichi taarifa, ndani ya hiyo niliyo post pia kuna taarifa ya liliwahi ku fail. Halafu katika ku fail kila mmoja anakua ana lengo lake alijiwekea kufanikiwa.
Sawa nimekuelewa boss,pengine nilikua nyuma ya muda.
Mimi ni muumini wa fact.
 
hujui strategy za vita ndiyo sababu unasema hivyo. Hata vita ya kagera, TZ ilianza kupeleka mgambo, ilipojiridhisha kuwa hakuna foreign influence ndipo wazee wa kazi akina Mayunga, Musuguri, Kiaro, Marwa wakapelekwa.

urusi hawezi kupeleka elite soldiers wake harakaharaka hivyo, as hajui ikiwa NATO na Marekani wataingia na iwe all out war. Siku ukiona marekani na nato wameingia rasmi vitani ndipo uulize hayo uliyoulizwa.
Vita umeita wewe, Putin alisema special operation na itaisha ndani ya miezi michache, Sasa hv miaka
 
Mm sio mmarekani Ila nachojua Mmarekani Ana slaa Kali kuliko hizo hypersonic kicho muumiza kichwa Ni ant hypersonic misile
Anataka silaha za kuzuia tu, kuhusu' hyper....hivi' mnajua mabom' ya Hidrogen gas...?
Mmarekani Ana slaa hatari Sana mpaka Mungu Anazuia Vita kubwa isje tokea. ...kumbuka jamaa hawana magwaride ya kuonyesha silaha ukitambua Hilo kaa mbali na hao nusu devil '
Hawanaga Cha kupoteza kuifanya nchi yeye Amani kuwa Kama Libya, Iraq, Syria Ni Jambo la kawaida tu .
Hivi' Sasa Ana mtaget mrusi Ila kashindwa , kaamua Vita iendelee pale Ukraine ili tu uchumi wa urusi uanguke Ila watu wanao teketea kwake anaona Ni Kama kuchovya mkata kwenye chai! Maana yake Ni kitu' Cha kawaida.
Mkuu sasa hivi US hana jeuri hiyo! Ameibiwa technolgy mpaka basi.
 
Ifahamike kwamba mpaka sasa ni nchi mbili tu duniani zilizo tengeneza makombora hayo yaani Urusi na China.

Marekani alijaribu mara zaidi ya mbili lakini akafeli! Je ni kwamba USA anazidia uwezo na Urusi na China?

Link: US embraces all its allies to help it in hypersonic research
Tatizo lenu. Mnaamini kua USA anaweza kila kitu. Kushindwa kitu fulani sio ajabu USA sio Mungu wa kuweza kila kitu.
Hata kongo kunavitu vizur wanafanya ambavyo USA hawezi.
 
Hii dunia ni hatari unavyoona ni vya kweli mengi ni ya u uongo, na mambo mengi unayoambiwa ni uongo ndo ya kweli. Ukiona Rusia anatambaa kuwa ana hypersonic missile ujue bado hajafanikiwa kuzipata 100% , ukiona USA anasema sina silaha hizo ujue anazo 100%. Ndoa maana Mrusi amejaribu hizo hypersonic missiles matokeo yake yalikuwa kama ballistic missiles ambazo nyingi zimenaswa na anti- missiles, Rusia ana S400, S500 mwanzoni iliaminika kuwa ni hatari hakuna kitu chochote kupita juu, leo tunaona makombora yakipiga kambi za Russia zenye S 400 na S500. USA aliaminisha watu kuwa F 35A ni ndege hatari ambayo haionekani kwenye rada yoyote,inaweza kuingia nchi yoyote na kushambulia ikatoka salama, juzi Israel kuogopa kuingia anga la Iran yenye S400 na S300 badala yake akafyatua kombora aina ya rampage akiwa mbali na anga la Iran, kwa hiyo usidanganyike na taarifa za media, hakuna nchi inayopenda kutoa siri za silaha zake.
 
Back
Top Bottom