Mm sio mmarekani Ila nachojua Mmarekani Ana slaa Kali kuliko hizo hypersonic kicho muumiza kichwa Ni ant hypersonic misile
Anataka silaha za kuzuia tu, kuhusu' hyper....hivi' mnajua mabom' ya Hidrogen gas...?
Mmarekani Ana slaa hatari Sana mpaka Mungu Anazuia Vita kubwa isje tokea. ...kumbuka jamaa hawana magwaride ya kuonyesha silaha ukitambua Hilo kaa mbali na hao nusu devil '
Hawanaga Cha kupoteza kuifanya nchi yeye Amani kuwa Kama Libya, Iraq, Syria Ni Jambo la kawaida tu .
Hivi' Sasa Ana mtaget mrusi Ila kashindwa , kaamua Vita iendelee pale Ukraine ili tu uchumi wa urusi uanguke Ila watu wanao teketea kwake anaona Ni Kama kuchovya mkata kwenye chai! Maana yake Ni kitu' Cha kawaida.