Marekani yaomba msaada kusaidiwa kutengeneza makombora hypersonic

Elezea kidogo unacho maanisha
..usije Amin marekani Hana sizo hypersonic ...alicho Fanikiwa marekani Ni kuficha silaha zake ili siku kikinuka anatupa kitu' ambacho adui alikuwa Hana hata Idea Kuna slaha Kama hizo ..kumbuka alicho fanywa japani mapaka Leo ame sign mkataba wa kuwa kibaraka wa marekani kwenye Vita yoyote...hadhubuti kuingia bila ruhussa kutoka marekani.
1945 ni tofauti na sasa na hayo makombora ukifanyia majaribio lazima wenzio watajua,,,, mrusi na mchina kipindi wanafanya majaribio mmarekani alijua bila hata kupewa taarifa,,,,, hilo sio kombora unalofanyia majaribio chini ya uvungu wa handaki......... Kama unaelewa nini kinachoendelea huwezi jificha kwenye hiko kichaka
 
Acheni ushabilki hivi' unajua Kabla ya urusi kutest hayo Huwa anatuma taarifa kwa marekani? Hata China pia! Korea ya kiduku tu ndio Huwa anajilipuwa na kipindi alikutana na trump walimpandikiza magonjwa bado Ana Pambana na afya yake.
 
1945 ni tofauti na sasa na hayo makombora ukifanyia majaribio lazima wenzio watajua,,,, mrusi na mchina kipindi wanafanya majaribio mmarekani alijua bila hata kupewa taarifa,,,,, hilo sio kombora unalofanyia majaribio chini ya uvungu wa handaki......... Kama unaelewa nini kinachoendelea huwezi jificha kwenye hiko kichaka
Mwaka jana US alu test hypersonuc na hakuna aliyejua mpaka walipokuja kuachia taarifa baadaye.
 
Kama walitest na halikujulikana basi hilo litakua ni kombora la kawaida tu, au halijafikia kiasi cha kua tishio sana,,,,, lile dude la mchina lilizunguka dunia nzima ndani ya muda mfupi tu na likaenda kwenye target yake, mchina hakuitaji hata kupiga kelele sana, wamagharibi tu ndo wakabaki wanashangaa kilichotokea na ndo waliotoa taarifa nyingi kuhusu hilo kombora kuliko hata mtengenezaji mwenyewe
 
Wewe ndiye unayetaka kuleta ubishi. Marekani alitaka afanye majaribio kimya kimya pasipo wengine kustuka na alifanikiwa.
Hilo la China ni kwamba halikuweza kukwepa kuonekana.
 
Na ndo lenye shida kubwa kuliko hayo yasioonekana,,, kuna teknolojia ya hypersonic ipo tokea miaka ya 80 huko,, kwahio kwa sasa kinachotafutwa ni muendelezo...... Kombora la mchina akiweka nuclear ana uhakika wa kumpapasa mmarekani popote na muda wowote anaoutaka wakati kwa mmarekani kwa sasa hana hicho kitu
 
Wewe ndiye unayetaka kuleta ubishi. Marekani alitaka afanye majaribio kimya kimya pasipo wengine kustuka na alifanikiwa.
Hilo la China ni kwamba halikuweza kukwepa kuonekana.
Duh!unavyoongea utadhani wewe ni inside man toka CIA..Hivi unavyotegemea wanaweza test kombora km hilo bila mashirika ya kijajusi ya nchi km Russia na nchi nyengine wasijue,halafu wewe huku upo mwananyamala kwa mama zakaria ujue??
 
Huwa wanaringia kuwa na tuita, cococol. Instagram , Facebook ios, sijiu na mapeps
Kumbuka vile vile kwamba yanapokuja kwenye masuala ya silaha za kisasa specifically hypersonic missiles and glide vehicles - Russia na Uchina hivi sasa wapo light years ahead, hata Korea Kaskazini nayo imekwisha wapiku US kwenye masuala ya hypersonic missiles technology - Kiduku matata sana, hashindwi kitu yule akidhamilia.
 
1945 ni tofauti na sasa na hayo makombora ukifanyia majaribio lazima wenzio watajua,,,, mrusi na mchina kipindi wanafanya majaribio mmarekani alijua bila hata kupewa taarifa,,,,, hilo sio kombora unalofanyia majaribio chini ya uvungu wa handaki......... Kama unaelewa nini kinachoendelea huwezi jificha kwenye hiko kichaka
Na ukiwekea maanani kwamba kinacho zingumzwa hapa kina husu KASI ya makombora MACH (7-20) hivi inaingia akilini kwamba unaweza kuficha majaribio kama hayo uvunguni mwa kitanda??
 
Ni kweli. tatizo sisi tumeshakuwa brainwashed sana na marekani kuiona urusi kama nchi maskini yenye maisha magumu kitu ambacho si kweli. Kwanza hata ukigoogle kwa mfano, idadi ya tv stations, urusi ndiye kinara mwenye vituo vingi vya televisheni duniani. Lakini kwa sababu ya fikra zetu za kikoloni tumemezeshwa sumu ya kuiangalia urusi kama nchi maskini, katili, yenye teknolojia ya chini. Huwa hatujiulizi kwa nini marekani wanaiogopa urusi.
Big Point
 
The U.S. Air Force’s hypersonic Air-launched Rapid Response Weapon failed in the second round of testing, and the service will decide the fate of the Lockheed Martin-built missile next year, officials confirmed.

The service released a statement Friday that ARRW—its flagship boost-glide hypersonic vehicle—“met several of the objectives” in its second all-up-round testing, conducted March 13 off the coast of southern California. But the statement did not say whether the test was successful.

Air Force Secretary Frank Kendall said Tuesday that the test “was not a success,” and “we did not get the data we needed.”

Story Continues Below Sponso
 
Kwahiyo Kila unachokisoma unakiamini?

Wewe umeleta habari feki, Us hata kama hana hiyo tech. Kamwe hawezi kutoka hadharani kuomba msaada.

Back
Top Bottom