RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,124
Nyinyi mlio anza kufuatia siasa za kimataifa mwaka 2018 ndio mnatusumbua kwa kutujazia pumba humu.Kina watu hata akili hawana kabisa eti naye anajiona mjanja kuanzisha mada ya kipumbavu kiasi hiki.Akumbuke tu hapa Duniani hakuna Taifa la kuishinda USA kivita
Si ni huyu huyu Marekani alipata kipigo cha mbwa koko na cha aibu kutoka kwa Vietnam ,miaka 8 yuko vitani lakini hakufanikiwa kuteka hata kijiji.