Rais wa Philippines Duertete amesema serikali ya Marekani kupitia magaidi wa Islamic State wamevamia jimbo la mindanao na kuuteka mji Mkuu wake Marawi. Vita katika mji huo mkuu umechukua wiki 3 na mpaka sasa majeshi ya Philippines yameshindwa kuwaondoa wapiganaji ISIS. Raia na wanajeshi wengi wamepoteza maisha yao.
Toka Rais Duertete aingie madarakani ameonyesha chuki kubwa kwa nchi za magharibi mpaka ilifikia hatua kumwita aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama mwanaharamu, uhusiano wa nchi hiyo na marekani umezorota sana kiasi ambacho Rais Duertete aliamuru majeshi ya Marekani kuondoka nchini humo. Hawa magaidi wa ISIS wanapigana huko Syria na Iraq kwa msaada wa serikali ya Marekani kupitia shirika lake la ujasusi CIA
Imebidi kwa Rais Duertete kuipigia magoti Marekani ili imsaidie vita hivyo. Kwa miaka mingi nchi ya Philippines ilikuwa na vita na kikundi cha kigaidi Abusayaf lakini haikuwa kutokea vita vikubwa kama zilizotokea wiki 3 zilizopita.
Huyu Raisi naye aache upumbavue. Athibitiehs namna gani America ametuma ISIS ufilipoini.
Ugaidi Filipino haujaanza leo. Miaka yote kule nyuma, Father Franco alitekwa na magaidi kule MIndanao na Magaidi hao walikuwa wakiingie kutokea Iran. Walikuwa wanaingie kisrisiri kutokea Iran kwa jina la kueneza dini ya kiislam hatimaye wakaanza vita. Mindanao ni sehemu haijawah kuwa na aman miaka yote.
Hoja kwamba eti vita hivi vimekuwa vikali kuliko zamani ndiyo sababu kuwa America atakuwa ametuma ISIS ni upumbavue. Mikaa yote hiyo kuan ugaidi na umekuw ukipanuka wanaona leo magaidi yamejiimarisha wanasema ni America??
Fundisho liko hinvi. Tanzania, mnayaona yanaofanyika Kibiti, ndivyo hata Mindanao ilianza. Mkizubaa na kuyaahca ama kukubali kwamba ni wapinzani wa ccm tu na siasa siasa, mtashangaa Al Sahab nzime inaingia kule na kuteka jiji la Dar ar Salaalm.
ACHINI SIASA KWENYE MASUALA YA MAUAJI YA KIDINI!.