Haki Madhubuti JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 201 Reaction score 182 Apr 1, 2016 #141 IT PROFESSIONAL said: Hiyo ni janja tu ,huyu mtu atakua mamluki wa apple,wameamua kufanya hivyo ili kuto halibu biashara ya apple Click to expand... That's the truth bredren/sistren mimi tangu mwanzo nilikuwa najiuliza unaweza ibishia au igomea serikali hasa katika jambo la usalama Wa taifa?
IT PROFESSIONAL said: Hiyo ni janja tu ,huyu mtu atakua mamluki wa apple,wameamua kufanya hivyo ili kuto halibu biashara ya apple Click to expand... That's the truth bredren/sistren mimi tangu mwanzo nilikuwa najiuliza unaweza ibishia au igomea serikali hasa katika jambo la usalama Wa taifa?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,011 Reaction score 142,701 Apr 1, 2016 #142 Haki Madhubuti said: That's the truth bredren/sistren mimi tangu mwanzo nilikuwa najiuliza unaweza ibishia au igomea serikali hasa katika jambo la usalama Wa taifa? Click to expand... Naam, kwa Marekani inawezekana kabisa kwa sababu wenzetu wanafuata utawala wa sheria na wanazingatia kabisa kanuni ya mgawanyo wa madaraka na ndo maana kuna watu washawahi kuishitaki serikali ya Marekani kwenye mahakama kuu ya Marekani na kushinda.
Haki Madhubuti said: That's the truth bredren/sistren mimi tangu mwanzo nilikuwa najiuliza unaweza ibishia au igomea serikali hasa katika jambo la usalama Wa taifa? Click to expand... Naam, kwa Marekani inawezekana kabisa kwa sababu wenzetu wanafuata utawala wa sheria na wanazingatia kabisa kanuni ya mgawanyo wa madaraka na ndo maana kuna watu washawahi kuishitaki serikali ya Marekani kwenye mahakama kuu ya Marekani na kushinda.