Yah inawezekana pia...japo wao Apple wanaamini kutotoa taarifa za mteja wao ndio kutunza reputation yaoHakuna mkuu kwa sababu karibu robo ya wafanyakazi wa apple ni waisrael na Wagiriki,likely huyo ni mamluki,apple kafanya hivyo indirectly ili kutunza reputation ya kampuni yao.
Kinachosumbua sio kufungua pale simu ikiibiwa ,shida ni mifumo ya GPS iliyowekwa ndani ya hizo simu ambazo zina uwezo wa kutrack location punde ikiibiwaNfo maana vibaka hawaziibi hzi simu aisee, mqana haifunguki hata uje na sotfwere gani
Mkuu humo ndani hamna kitu. Kumbuka jamaa na mke wake walisha destroy evidence kibao kabla ya kufanya tukio.Wamegundua nini kwenye hiyo sim wanayoipigia kelele?
Nafikiri wachina na Wagirikikwani fundamental systems za computer na smartphone ni nani katengeneza kama sio muisrael?
mbona ili lilikuwa linawezekana tu...sema wenzetu wanafata sheria ndo maana waliomba Apple ifanye yenyewe...but iwezo wa kuufungua walikuwa nao na walishaifungua kitambo hii gia ya mtu wa karibu wa mwenye Iphone kawasaidia ni koringi tu ili wasiharibu biashara ya Apple!
ndo maana nimesema FBI sio kwamba wanashindwa kuifungua mkuu...hakuna kitu wanashindwa fanya kw National Security bro..ilikuwa ni bra bra tu za kufata sheria but wanaweza na wamewezaa...how sure kwamba walikuwa hawajafunguaaa coz hiyo habari yenyew ya kufungua wametoa wao...Inasemekana hiyo simu walishafungua na kwa sababu za.kiusalama na kisheria ilibaki siri kwanza...Acha uongo
FBI walihack iCloud password ila sio device yenyewe.
Walikuwa wanaweza kufungua sema kwa risk kubwa na pia swala la muda.
We nawe unaleta stori za Vijiwenikwani fundamental systems za computer na smartphone ni nani katengeneza kama sio muisrael?
Hao ni Apple wamewafungulia,sasa naamini huu ni mchezo unaochezwa kati ya FBI na Apple kukuza soko la bidhaa zao.
Huyo mtu kama kweli kwanini asitajwe hadharani?
Hao ni Apple wamewafungulia,sasa naamini huu ni mchezo unaochezwa kati ya FBI na Apple kukuza soko la bidhaa zao.
Huyo mtu kama kweli kwanini asitajwe hadharani?
sio kila kitu lazima kutia ujuaji wa kiswahiliNakubaliana na wewe kabisa, hiyo ni kutaka kuonyesha kuwa Apple ni wagumu kuliko maelezo, kuwa wako tayari kufungiwa au kuchukuliwa hatua yoyote kuliko kutoa siri za mteja wake
Hapo kulikuwa na mutual agreement ya Apple na hao FBI kuwa Apple watafungua simu lakini promo ya kuwainua Apple iwepo pia
mhuuuuu hakuna kitu kama hichoNakubaliana na wewe kabisa, hiyo ni kutaka kuonyesha kuwa Apple ni wagumu kuliko maelezo, kuwa wako tayari kufungiwa au kuchukuliwa hatua yoyote kuliko kutoa siri za mteja wake
Hapo kulikuwa na mutual agreement ya Apple na hao FBI kuwa Apple watafungua simu lakini promo ya kuwainua Apple iwepo pia
Ha ha ha...sio kila kitu cha ku comment bibie...we endelea kufuatilia habari za mtoto wa diamond na makalio ya wema huko ndo uko vizuri...hivi vitu technical tuachie tulioenda shule na kufauluHao ni Apple wamewafungulia,sasa naamini huu ni mchezo unaochezwa kati ya FBI na Apple kukuza soko la bidhaa zao.
Huyo mtu kama kweli kwanini asitajwe hadharani?