Marekani yaanza tena kuishambulia Iran

Marekani yaanza tena kuishambulia Iran

Wewe nae kiazi uvamiwe kwako na wahalifu halafu usarende ? Ukiranja wa kufanya ugaidi?
kauli na msimamo wa Iran wa "kuifuta" Israeli, ndio utaicost Iran.

ukivamiwa nyumbani kwako na AK 47 wakati wewe una rungu, sarenda tu mkuu kwa maslahi mapana ya uhai wako na familia yako.

unafahamu B-2 Spirit Shealth Bomber?
 
kauli na msimamo wa Iran wa "kuifuta" Israeli, ndio utaicost Iran.

ukivamiwa nyumbani kwako na AK 47 wakati wewe una rungu, sarenda tu mkuu kwa maslahi mapana ya uhai wako na familia yako.

unafahamu B-2 Spirit shealth bomber?
Taifa la kuitwa Israel, ni halali kabisa kufutwa ,hao nao ni wavamizi tu kwenye ardhi ya Palestine, kumbe Iran ina manati sio ?subiria siku mbili Iran inafutwa.
 
Kobaz furaha Yao kubwa ni kugonga bikra kuzima na hicho ndicho USA na IDF wanawarahisishia
 
Soon majibu makali yanakuja. Hiyo USA ijiandae upya kupokea maiti.
 
Sisi kama Iran tunasema,mabeberu yakisaidiana na mayahudi hatuwezi.Kwanza hata wakitutwanga ni kama tumewatwanga tu.Iran ni Mandonga wachangamfu.Tupige tujitangazie ushindi.

Sipati picha itakuaje pale vita iwe vita kamili
Sidhani kama Mmarekani atatoboa vita vya ardhini
 
Back
Top Bottom