Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,133
- 4,656
vitoto kwao viliishi kwa Amani tatizo ni huyu mhuni wa zamani akiona hesabu zake zimekaa vibaya anatafuta mnyonge wa kumuibia kwa kisingizio cha democracyhuruma siyo malezi, vitoto vikishavuruga kwao vitaamia kwa majirani maana vitaona ndo mfumo wa maisha, vifuatwe hukohuko kwao