Marekani wanaweza kupitia CHADEMA

Marekani wanaweza kupitia CHADEMA

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,179
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa kuivuruga nchi kwa hotuba kali alietoa Mheshimiwa Tundu Lisi,hivi maneno yale alikuwa ameegemea wapi ?
Ni lazima tuwe makini hasa muda huu ambao Marekani inafukuzwa kila pahali.
 
Kama hutaki Marekani basi tuwe na utawala kama wa CCP China. Tuone hata mafisadi na na wanaolisababishia taifa hasara wanaotajwa kwenye ripoti za CAG wakinyongwa.
 
Sera za Marekani kuhusu decolonization ndo zilisaidia Kwa kiasi fulani Tanganyika kupata uhuru
 
Mweeeh! Hapa ndio mtanzania amefikiria mpaka mwisho kuhusu mustakabali wa kesho ya kizazi chake na maendeleo ya nchi yake! INASIKITISHA SANA KUA NA WATU WANAFIKIRI KATIKA LEVEL HII.
 
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa kuivuruga nchi kwa hotuba kali alietoa Mheshimiwa Tundu Lisi,hivi maneno yale alikuwa ameegemea wapi ?
Ni lazima tuwe makini hasa muda huu ambao Marekani inafukuzwa kila pahali.
No reforms no election inawatesa saana kwa maana mnajua kura za haki na uwazi hakuna mwana ccm atarudi mjengoni
 
Mashimo yamemwangiwa mafuta ya taa,
Vijakazi vimefura na kupanic,
Havijui vishike kipi na kiache kipi,
Hapo naona unafanya siasa majitaka,
Thibitisha kwamba CDM inatumiwa na Marekani.
Na wiki hii chawa wa Chura kiziwi mtaeneza propaganda sana, mara udini, mara kwa kuwa yeye ni mwanamke na mtashambulia mtu mmoja mmoja ndani ya TEC au hata kanisa kwa la RC ila itakuwa haiwasaidii zaidi mtakuwa mnaamsha waliolala walio ccm pia.
 
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa kuivuruga nchi kwa hotuba kali alietoa Mheshimiwa Tundu Lisi,hivi maneno yale alikuwa ameegemea wapi ?
Ni lazima tuwe makini hasa muda huu ambao Marekani inafukuzwa kila pahali.
Bora, kuliko kua na kamfumo kalikojaa ujambazi na Wizi wa Mali za Taifa
 
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa kuivuruga nchi kwa hotuba kali alietoa Mheshimiwa Tundu Lisi,hivi maneno yale alikuwa ameegemea wapi ?
Ni lazima tuwe makini hasa muda huu ambao Marekani inafukuzwa kila pahali.
Mchina na Mwarabu wanawatumia chama gani? Maana wote hao ni wanyonyaji tu
 
Hii ni tahadhari kwa serikali yetu sikivu, hiki chama Cha Chadema kuna baadhi ya mambo huyafanyia au waliyafanyia huko Marekani.
Yaani baada ya kusikiliza ni kwa namna gani Marekani inafurushwa kila sehemu na jinsi anavyotumia wapinzani kuingamiza nchi ,ndio jamani nikafanya wasiwasi kama niliokuwa nao wakati wa shengesha la bandari au tumesai sasa inakuwaje leo mnasema bora Marekani ,hivi ni nchi gani iliendelezwa na Marekani ?? Nitajieni moja tu .

Chadema imulikwe na ikiwezekana ifutwe ka itabainika wanahusika ,hapa lazima tuwe kma Traore.
 
Una akili mbovu sana HAKI inazaa AMANI mtu kudai HAKI ndo kutumiwa na Marekani? Cha ajabu watu wanataka Amani bila haki wanaotaka Amani bila Haki hawana tofauti na mtu anaetaka kwenda Peponi uku akiogopa kufa
 
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa kuivuruga nchi kwa hotuba kali alietoa Mheshimiwa Tundu Lisi,hivi maneno yale alikuwa ameegemea wapi ?
Ni lazima tuwe makini hasa muda huu ambao Marekani inafukuzwa kila pahali.

Tumieni akili, msiwe punguani kiasi hiki.

Hivi Lisu au CHADEMA kutaka tuwe na mifumo ya haki na uhuru kwenye chaguzi zetu zilizojaa ushetani, kuna tatizo gani? Au ni kwa sababu mpo kwaajili ya uovu, hivyo mtu akizungumzia haki, mnaona mwisho wa ushetani wenu umekaribia??
 
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa kuivuruga nchi kwa hotuba kali alietoa Mheshimiwa Tundu Lisi,hivi maneno yale alikuwa ameegemea wapi ?
Ni lazima tuwe makini hasa muda huu ambao Marekani inafukuzwa kila pahali.
Umeandika upumbavu gani?, ndo unaanza uchawa au.
 
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa kuivuruga nchi kwa hotuba kali alietoa Mheshimiwa Tundu Lisi,hivi maneno yale alikuwa ameegemea wapi ?
Ni lazima tuwe makini hasa muda huu ambao Marekani inafukuzwa kila pahali.
Hizo ndizo akili za vijana wa CCM,kwa hiyo tume huru ya uchagu na kuwaacha muwe mnaiba kura na kujitangaza mmeshinda kwa kishindo hapo Marekani anaingilia wapi,
Sizani hata kama ulimaliza darasa la saba kwa ujinga uliouandika
 
Yaan marekani waache kupambana na super power wenzao huko waje wa deal na siasa za kijinga za bongo?
Mnaishusha sana hadhi marekani, sio level zenu

Halaf ni hoja za kipumbav kweli na za kizamani mno
 
Hizo ndizo akili za vijana wa CCM,kwa hiyo tume huru ya uchagu na kuwaacha muwe mnaiba kura na kujitangaza mmeshinda kwa kishindo hapo Marekani anaingilia wapi,
Sizani hata kama ulimaliza darasa la saba kwa ujinga uliouandika
Ccm inavilaza sana kunzia nyumba kumi, alafu utamkuta anaona ameandika la maana sana ,kumbe ujinga tu,
 
Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani.
Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka.
Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa kuivuruga nchi kwa hotuba kali alietoa Mheshimiwa Tundu Lisi,hivi maneno yale alikuwa ameegemea wapi ?
Ni lazima tuwe makini hasa muda huu ambao Marekani inafukuzwa kila pahali.
Kwani wewe unaonaje mwenendo wa Taifa letu. Kwamba CDM ni waongo kiasi kwamba tuone wanachosema si Sawa na labda watapitiwa? Hivi ni kweli hawana hoja? Je waliopo Madarakani wwao hawana mapungufu au ndio ile haitakiwi kufikiri tofauti na wao.
 
Back
Top Bottom