Marekani wamewashambulia "magaidi" wa Nigeria

Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
Safi sana Trump.
 
Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.

Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.

Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Unasema wamarekani ni wapumbavu na unatumia WhatsApp yao, Instagram yao, Google yao na misaada mingi ya kwao.

Wewe mwerevu unakipi ulicho gundua?
 
Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.

Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.

Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Pole sana shehe mbona umeumia sana? Wambieni basi hao washikaji wenu waache ugaidi.
 
Kwa hiyo wewe kwa mawazo yako unawasaidiaje Wakristo wanaouawa na waislam hapo Nigeria?

Toa mawazo yako na wewe tukusikie.
Kwa nini Wakristo wanakuwa wapole mpaka wanashindwa kujilinda na kujitetea wao wenyewe? Mara kwa mara wanavamiwa makanisani wanauliwa kama kondoo na watoto kutekwa kwa maelfu huko mashuleni. Kuna nini kinachowafanya wawe wanyonge na kuwa wanashambuliwa mara kwa mara bila kupambana? Tuanzie hapo kwanza
 
Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
US baby
Cc Nyani Ngabu
 
Kuna mada hapa JF walifuta ila nitapitia kwako.

Waislamu wakubari wakatae ila wasicho elewa wasiseme hawana madhehebu wanayo.

Na hayo madhehebu utumia uislamu kufanya mambo yao kwa kujifichia uislamu.

Hata leo tumeona ukisema wakristo lazima kutofautisha mkristo wa kilokole, mkristo washakaola kule kenya alichofanya,mkristo wa mwamposa,mkristo wa kibwetero.

Kama wanabisha waje
Katika uislam ukisikia dhehebu basi inamaanisha mtaala wa kielimu wenyewe waarabu wanaita "madh'hab". Na madhehebu ya kiislam ni ya kitaaluma ama kielimu. Ndio utasikia kuna dhehebu ya Imam Shafii ama dhehebu ya imam Ham'bal.
Ila tatizo linalotukumba waislam ni moja,kuna watu wanaojiita mashekhe wamegeuza madhehebu kuwa ya kiitikadi na kumezesha watu ambao wanapitia mikononi mwao itikadi ngumu. Badala yake muumini hafuati sheria za uislam zinavyotaka bali anafuata itikadi aliyomezeshwa.
Matokeo yake ndio kama haya sasa kuzalisha magaidi kwa kujitakia.
 
Marekani kwa kushirikiana na Serikali ya Nigeria, imewashambulia magaidi huko kaskazini magharibi mwa Nigeria. Trump anadai anapambana na magaidi wanaowashambulia wakristo wa Nigeria. Serikali ya US imedai kuwa mashambulizi hayo ni endelevu iwapo magaidi hawataacha njia zao ovu.
Magaidi wamesaidiwa kwenda kutafuna mbususu za mabikra 70 kila mmojawao. Ikiwapendeza Marekani waendelee kuwasaidia kwenda kuonana na mabikra 70.
 
Akimaliza huko aje na huku atuondolee magaidi ya veggies
 
Wamarekani ni wapumbavu and they never learn.

Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa. Miaka 20+ Afghanistan wakidondosha mabomu lakini mwishowe waliishia kukimbia na kuacha kila kitu baada ya kuteketeza dola sijui trilioni ngapi na maelfu ya wanajeshi wao.

Kurusha mabomu na drones hakutasaidia cho chote. Kama wana ubavu wapeleke wanajeshi wao kama walivyofanya Mogadishu dhidi ya mwamba Mohammed Farrah Aidid. Sanasana wataishia tu kuua raia hasa wanawake na watoto🚮
Mojawapo ya maislamu majinga ni wewe!
 
Hakuna silaha inayoweza kumshinda mtu asiyeogopa kufa

Mwisho wa kunukuu!
Asiyeogopa kufa huyo ni nani. Osama bin Laden maisha yake yote ya ugaidi alikuwa mafichoni hadi alipouawa akiwa mafichoni Pakistan.

Magaidi waga ni waoga sana na wanaogopa kufa ndio maana mara nyingi wanauliwa wakiwa mafichoni.
 
Back
Top Bottom