Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 466
- 1,455
Hapa siwezi kubisha maana sina habari sahihi.Maduro
Maduro Hana lake nchi imeshazungukwa ile. Tunza hii comment. Mimi nimefika Latin America hakuna raia wasiompenda Maduro kama raia wa Venezuela. Acha kusoma story google. Usione Us Military unapata chance ya kuingia Venezuela udhani hakuna support.
Kwa hiyo unataka kusema kwamba Wamarekani waliwekeza matrilioni yote yale katika vita vile huku wakijua kuwa hizo nchi ni failed state na kwamba hawatashinda wala kupata cho chote? Kama ni hivyo, was that smart? Au unataka kusema nini?Kuhusu Afghanistan, tembea walau kidogo uone Kwa macho yako. Afghanistan imeshakuwa ni failed state kitambo. Same to Iraq ni nchi ziko paralysed kikanda. Zina migogoro ya ndani.