Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

Marekani tayari imeshaanza kuishambulia Iran 🇮🇷 Ayatollah sasa Matatani!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,926
Reaction score
6,029
BREAKING: Milipuko imeripotiwa kote Iran — angalau miji 7

Tehran, Bandar Abbas, Tabriz, Parand, Qeshm, Nowshahr, Ardabil

Kaskazini, kusini, mashariki, magharibi. Yote ndani ya saa chache.

Israeli wala Marekani hawajatoa maoni.

Kuna machawa wengi wa magaidi wa Iran walikuwa wanasema Marekani haina ubavu kuishambulia Iran lakini sasa Mikojo Ina Wataka ovyo tu Adiosamigo kahtaan Mlaleo Ritz YAJAYO YANAFURAHISHA!!!!

IMG_4820.jpeg
IMG_4820.jpeg
 
Iran mpaka kufikia jioni hii miji yako zaidi ya Saba imeshambulia hii inadhibitisha kwa mara nyingine Tena Iran Hana ubavu katika uwanja wa Mapambano!!
 

Attachments

  • IMG_4824.jpeg
    IMG_4824.jpeg
    107.2 KB · Views: 8
Back
Top Bottom