Marekani: Tanzania imekuwa kituo kikuu cha wauzaji wa dawa za Kulevya Afrika Mashariki

Wamarekani huwa ni wasahaulifu sana
Tanzania iliwadaka wauza unga maarufu akina shikuba ambao walikua wanateleza kama kambale,US waliwatafuta kwa miaka 10,tungeweza kuwafunga hapa,lakini serikali yetu ikapeleka ombi mahakamani la kuwapeleka US wakashitakiwe,Je sie tunaweza kuomba muhalifu US wakatupa?
Siyo kweli akina Shkuba wamekamatwa mwaka 2014 kwa survillance ya USA wenyewe. Wao ndiyo waliiambia Tanzania kuwa kuna mzigo mahala, na anao fulani take action. Ni sawa na alivyokamatwa Akasha miaka ya 1990s.
 
» Drug lords on global spies radar set up East Africa's hub in Dar, US agency says

View attachment 1380210

======

Inaonekana kuna kundi la watu wanaooperate biashara hii tena "with full Impunity" ndani ya Dar es Salaam.

Wale tuliokuwa tunadhani biashara hii haina chake kwa awamu ya tano, tufikirie tena !!!
Ungekuja na facts kwa kusema so and so anafanya hiyo biashara with full impunity ingeleta maana zaidi ya habari ambayo haijathibitishwa,
Mfano huko huko USA na police wao fbi na kadhalika kuna drugs, mbona hawasemi au husemi kuwa nao ni hub na wanafanya hivyo with impunity au ndio mawazo ya kitumwa, hutaki kushughulisha ubongo wako.
 
Hilo gazeti hakuna tofauti na gazeti la uwazi au ijumaa wikienda,sasa kama Tanzania ni habu kwa nini wasikuje kuwakamata hapo drug dealers? Au kwanini wasiipe serikali hizi taarifa za hao wahalifu,huu ni unafiki wa kiwango cha nyuzi joto 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari imeandikwa na The East African na chanzo ni US Narcotics Agency wewe unataka mimi ndio nije na FACTS ?

Kwahiyo unahalalisha kwasababu hata USA biashara hiyo ipo na hapa basi ni ruksa ?
 
Hiyo habari inatengenezwa tu kutuchafua
Wauza unga wote wapo ndani,wengine wamekimbilia kuishi bondeni
Kama kuna biashara ngumu kuifanya kwa sasa hapa Tz ni unga,hao wamarekani wanatuchokonoa tu,wanatamani waseme Makonda anauza unga
Nani anakudanganya?
 
Ungekuja na facts kwa kusema so and so anafanya hiyo biashara with full impunity ingeleta maana zaidi ya habari ambayo haijathibitishwa,
Mfano huko huko USA na police wao fbi na kadhalika kuna drugs, mbona hawasemi au husemi kuwa nao ni hub na wanafanya hivyo with impunity au ndio mawazo ya kitumwa, hutaki kushughulisha ubongo wako.
Naona wamekugusa au mtu wako kaguswa.This time kuna heroine na siyo cocaine. Walioendesha lile zoezi mwaka 2016 walitaka kupunguza ushindani wabaki pele yao.
 
Hilo gazeti hakuna tofauti na gazeti la uwazi au ijumaa wikienda,sasa kama Tanzania ni habu kwa nini wasikuje kuwakamata hapo drug dealers? Au kwanini wasiipe serikali hizi taarifa za hao wahalifu,huu ni unafiki wa kiwango cha nyuzi joto 100

Sent using Jamii Forums mobile app
You are not serious kama una linganisha The East African na Uwazi. Kwa taarifa yako hakuna gazeti la Tanzania linaifikia The East African kwa credibility. Hawa The East African wamechukua ripoti ya US -Drug Endocement Agancy..

Huu mjadala ni above your knowledge, wewe kuwa mpole usome tu, kuandika siyo lazima.
 
Hii taarifa kwa kuangalia watumiaji wanavyoteseka kuyatafuta itakua ni ya miaka mingi sana iliyopita....
Wafanye utafiti upya au waseme watumiaji wamepungua ila tz imegeuka kuwa njia salama kusafirisha nchi zingine
 
Naona sasa wameamua kutivalia kibwaya
» Drug lords on global spies radar set up East Africa's hub in Dar, US agency says

View attachment 1380210

======

Inaonekana kuna kundi la watu wanaooperate biashara hii tena "with full Impunity" ndani ya Dar es Salaam.

Wale tuliokuwa tunadhani biashara hii haina chake kwa awamu ya tano, tufikirie tena !!!

In God we Trust
 
Umemtaja wewe sasa
Hiyo habari inatengenezwa tu kutuchafua
Wauza unga wote wapo ndani,wengine wamekimbilia kuishi bondeni
Kama kuna biashara ngumu kuifanya kwa sasa hapa Tz ni unga,hao wamarekani wanatuchokonoa tu,wanatamani waseme Makonda anauza unga

In God we Trust
 
Wataumbuka sasa hivi maana USA hajawahi kushindwa
Yawezekana walikamatwa wengine ili kundi la wakamataji ndio lifanye kazi.

Hata zamani kila mwenye vijisenti aliweza kumtishia mtu bastola na kumuuliza unanijua mimi ni nani ?

Ila sasa kuna kundi maalumu tu lenye uwezo huo, na kama haupo kwenye hilo kundi utaumia.

In God we Trust
 
Back
Top Bottom