Marekani: Tanzania imekuwa kituo kikuu cha wauzaji wa dawa za Kulevya Afrika Mashariki

Drug lords on global spies radar set up East Africa's hub in Dar, US agency says

View attachment 1380210

======

Inaonekana kuna kundi la watu wanaooperate biashara hii tena "with full Impunity" ndani ya Dar es Salaam.

Wale tuliokuwa tunadhani biashara hii haina chake kwa awamu ya tano, tufikirie tena !!!
Achana na siasa za East Africa. Gazeti hili huwa lina mtindo wa kushangilia kila ikisikika kuna tatizo TZ. Waliwahi kumchora Kikwete akiwa na warembo, jambo ambalo ni la mtaani, wakati huo sijawahi kuona wakimchora Uhuru na ulevi wake. Ni tabia ya baadhi ya wakenya kuona kama anyting anti-TZ kwao ni comfort.
 
Post za kijinga kuwa na likes nyingi ni ishara kuwa kuna "nyumbu" wengi kwenye mitandao ambao hupata "pleasure" kwa content yoyote negative kwa taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko right! Kuna watu wana shida zao za maisha kwa uzembe wao lakini yeyote anayezoza nchi hii kwao inawapa nafuu. Wasichojua ni kuzoza kwa wakenya kila wakiona TZ inafanikiwa. Sasa hivi wako kwenye matata makubwa ya kisiasa lakini bado kuna mijitu hapa TZ inasema bora wakenya.
 
Sirro atakwambia hatujashindwa kuwakamata
Tunashabikia bure wamarekani. wanatafuta kingine, wanaandika kingine. Kwani US inaifahamu Manzese na buguruni vizuri kuliko mimi ninayeishi kwamtogole? Ni ujinga tu!

Walianza na terror alert, hakuna kitu, hatukustuka sasa wanakuja na drugs. Bahati mbaya gazeti hili la majirani linaona ni fahari kusema kwa sauti wakati Mombasa wauza dawa ndo wansiasa mashuhuri.
 
Drug lords on global spies radar set up East Africa's hub in Dar, US agency says

View attachment 1380210

======

Inaonekana kuna kundi la watu wanaooperate biashara hii tena "with full Impunity" ndani ya Dar es Salaam.

Wale tuliokuwa tunadhani biashara hii haina chake kwa awamu ya tano, tufikirie tena !!!
Huenda Marekani akawa sawa kuwa "unga" unapita, japo takwimu ni kiasi gani kwa sasa ukilinganisha na huko nyuma, sidhani kama kuna utafiti mbadala ulio huru unaweza kuthibitisha hayo, mbali ya Wizara ya mambo ya nje ya Marekani.

Cha pili ni yeye (Marekani) aneituhumu Tz kama lango la unga yeye hali yake ikoje

$312 million of cocaine seized from 'go-fast' vessels, narco sub, US Coast Guard says
Huu mzigo uliozuiliwa thamani yake ni zaidi ya Bil 700 za Kitanzania.

It's simple logic, mpaka jitihada za kuzuai mzigo wa bil 700, lazima kuna mzigo mwingine umepenya.
Marekani vijana wake wameathirika sana na unga hakuna asiejua hili.

Tanzania tuna commission ya kuzuia unga nchini ya Kija na wanafanya vyema. Bila shaka hali ni nzuri kwa kuzuia kuliko huko nyuma.

Kwa upande mwingine, Marekani huwa ni waongo na wazindiki nyakati zingine. Walisema kuna silaha za maangamizi ya umma (weapons of mass distruction Iraq); commission ya UN ikaenda kupekua hawakukuta kitu. Yet, Bush Jr akaomba bunge la Marekani kuridhia kwa kuhadaa kwa data za uongo. Mpaka Marekani anaingia Iraq na kufanikiwa kumwondoa Sadam Hussein, hakuna siku alitoka hadharani kutuonesha Silaha za maangamizi ya umma ziko wapi.

Marekani ana maslahi ya Marekani na sio Tanzania. Anatuchokonoa sio kwamba anatupenda, ni mumiani mwenye shauku ya kujinufaisha yeye tu na sio wengine
 
Mateja Tanzania walikuwa laki mbili ila walevi wako mamilioni na wanakufa kila siku..Alcohol is a drug
 
Listing dar is not enough, US has to tell us who are behind these foolish games, weather dar es salaam boss and fellowz, or any one . Somebody got to suffer
 
Drug lords on global spies radar set up East Africa's hub in Dar, US agency says

View attachment 1380210

======

Inaonekana kuna kundi la watu wanaooperate biashara hii tena "with full Impunity" ndani ya Dar es Salaam.

Wale tuliokuwa tunadhani biashara hii haina chake kwa awamu ya tano, tufikirie tena !!!
Ila hapa wanaongelea 'trans-shipment.'
 
Dude sio lazima uamini wanachosema. wenzetu wana run joint opps na pia wana world wide intelligence.. hiv vitu wanakutana navyo ndio maana wanatoa warning..
Unaweza ukawa huko kwako na ukapigwa tukio na hujui. Lakin jiran akajua. So si kila kitu unachukulia simple
Mimi naishi Dar , hao Drug lords mbona hawaonekani?? Sihitaji marekani waniambie kuhusiana na hali ya mahali ninapoishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dude sio lazima uamini wanachosema. wenzetu wana run joint opps na pia wana world wide intelligence.. hiv vitu wanakutana navyo ndio maana wanatoa warning..
Unaweza ukawa huko kwako na ukapigwa tukio na hujui. Lakin jiran akajua. So si kila kitu unachukulia simple

Sent using Jamii Forums mobile app
US nao tusiwaone kama ndo thought makers pekee duniani. Taarifa yoyote wanayoitoa kwenye media huwa ni ya kutafutia sifa tu. Taarifa serious zinapelekwa kwa watendaji wa serikali husika. Kwa kutaka sifa waonekane juu kuliko wengine wanatangaza kama walivyojidai kutoa terror warning kwa wa-TZ badala ya kuvieleza vyombo tunavyovitambua sisi.
 
Hiyo habari inatengenezwa tu kutuchafua
Wauza unga wote wapo ndani,wengine wamekimbilia kuishi bondeni
Kama kuna biashara ngumu kuifanya kwa sasa hapa Tz ni unga,hao wamarekani wanatuchokonoa tu,wanatamani waseme Makonda anauza unga
Point.
 
Back
Top Bottom