Marekani: Tanzania imekuwa kituo kikuu cha wauzaji wa dawa za Kulevya Afrika Mashariki

Muda umewaumbua Jiwe na vibaraka wote kuhusu vita fake ya madawa ya kulevya waliokuwa wanaiendesha kisiasa.
 
Yawezekana walikamatwa wengine ili kundi la wakamataji ndio lifanye kazi.

Hata zamani kila mwenye vijisenti aliweza kumtishia mtu bastola na kumuuliza unanijua mimi ni nani ?

Ila sasa kuna kundi maalumu tu lenye uwezo huo, na kama haupo kwenye hilo kundi utaumia.
Well said!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NILISHAWAHI KUSEMA HUMU, VITA ILE ILIKUWA KUWATOA CARTELS FULANI NA KUWAINGIZA CARTELS WAPYA....

NILISEMAGA PIA UKITAKA KUJUA KAMA UNGA UMEADIMIKA AU HAUPATIKANI WE ULIZIA BEI YA MTAANI KETE 1 INAUZWAJE?
SIMPLE RESEARCH WALA HAITAJI UWE NA DEGREE AU PHD......
KETE 1 INGEFIKA 3000 AU 4000 HAPO NDY UNGESEMA UNGA UMEADIMIKAAAAA
WKT SAHV BADO KETE 1 INQCHEZA KWENYE 1900, 2000

HAYA NGOJA TUISHIEE HAPAAAA

OVA

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na
Very silly comment and the effect of a parochial mind. Iran nao wanakula popo. Siku zote ukiwa mjinga jaribu kuficha, freeadvice.com

Nashukuru, nimejifunza kua hujui kua virusi hv vya covid19 vilianzia kwenye soko la machinjio huko Wuhan China na kusambaa nchi mbali mbali Iran ikiwa mojawapo.
 
Si waje.kuwakamata.,waache ujinga
Kama ni mbinu za kuweka vikwazo ni bora wakaweka kuliko kutafuta visingizio visivyo na maana
Sasa unagombana na nani? Ukweli ni kwamba Mkuu wa Mkoa tajwa ndo anaongoza genge la Uhalifu ambalo pia linauza madawa ya kulevya, kwa baraka zote za Mzee Meko
 
Si waje.kuwakamata.,waache ujinga
Kama ni mbinu za kuweka vikwazo ni bora wakaweka kuliko kutafuta visingizio visivyo na maana
Unga dar upo na nikama chai labda ww unaish wapi kama hujui unga unavozagaa dar hapa mm nikuambie biashara hii haijawai kukoma au kupungua hata siku moja kuna vituo vinavyouza unga bado ndo kwanza vinasambaza kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unga unaotoka Afghanistan ndiyo wanachanganya na Ashton ili kuupa nguvu Ila ule wa Brazil/gaucho huu ni original Mkuu huitaji kuchanganya na bei yake imechangamka ndiyo maana mateja wengi wa kibongo wanatumia huo unga mchafu wa Afghanistan...
White powder ya Brazil wanatumia wahindi na waarabu wenye pesa hawa vibaka wa Manzese wanaambulia hayo majivu(Ashton)
Muelezee wewe mkuu
 
Na

Nashukuru, nimejifunza kua hujui kua virusi hv vya covid19 vilianzia kwenye soko la machinjio huko Wuhan China na kusambaa nchi mbali mbali Iran ikiwa mojawapo.
Kwa hiyo virusi vyote duniani chanzo ni Marekani.
 
Unanifundisha mm tena....
Coca tz demand syo kbwa ndy coca iko juu
Heroine(musharaf) ndy demand kubwaa tz na nchi za jirani
Nna uwezo wa kukupa bei zoteee ila kwa Ustarabu haitakiwi kutema humu

Ova


Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mrangi kweli unaijua hii business hiyo term “ musharaf “ wanajua watu wachache sana. Naamini utakua umefika mafalala
 
Hakuna taifa lenye kiherehere Kama marekani! Wamekaa ki husuda tu vina viherehere Kama mchuzi wa tembele..
Kila jambo lzm atabinua uno lake madawa madawa madawa si yetu!! Sisi ndo tunaongoza so what they need tuwauzie na wao au..?

Mkuu KENZY kuna jambo hulielewi ni hivi hiyo biashara ya drug inafanywa kwa Usd na inahusisha pesa ndefu sana, mfano ni Pablo Escobar alikua na Usd mpk nyingine alichimba mashimo akafukia chini miaka ile ya 1980 alikua na utajiri kuizidi kampuni kubwa kabisa ya Marekani yani General Motors hivo hii biashara ina effect sana kwenye uchumi wa US ikishamiri ndio maana Us anapambana sana kuidhibiti

Mfano mwengine ni Taliban ambao nao wanauza drugs wanapata Usd nyingi sana halafu wananunua silaha wanamsumbua huyohuyo USA
 
"Give a dog a bad name and hang him " Kuna kitu kinakuja mbeleni huko, sio kwamba siku zote walikuwa hawajui Tanzania ni hub ya madawa

La kujiuliza hapa ni kwanini sasa ndio waseme?

Yangu macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nao America kiboko.kwasababu nilishuhudia siku pale bunju B ,Dada mmoja akienda kuchukua mauzo eneo moja kwakweli nilitamahaki.....kilasiku jioni najiulizaga sana au ile sauti ya makonda ilikua kutengeneza utaratibu mpya .kwamba dola ndo ifanye biznec

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara anafanya Makonda na Daudi Kanyau. Mzigo unatoka Iran na kufaulisha zinatumika boti za Polisi. Hiyo ndiyo taarifa mmapaswa muijue.

Ndiyo maana hata ile Taasisi inayohusika na ukamataji wa dawa za kulevya inashindwa kuwakamata.
 
Juzi kati walisema Tz inaongoza kudhibiti madawa ya kulevya leo Tz inaongoza kwa biashara hiyo hiyo
USA sasa mnatuchanganya si muwakamate tujue moja
 
Mimi naishi Dar , hao Drug lords mbona hawaonekani?? Sihitaji marekani waniambie kuhusiana na hali ya mahali ninapoishi.
Wamesema ni a new trans shipment hub ya ngada. Lielewe hilo. Inaweza kupotea mitaani lakini ikawa ni kituo cha kufaulisha mzigo kwenda sokoni. Elewa soko la hapa kwetu si cho chote kuliko masoko ya mashariki ya mbali. Mfuatilie father wa Maccau alichosema na inasemekana alikuja na majina ya drug Lords toka kwa Watz waliofungwa huko hadi mtaalamu wa kikosi kazi cha kupambana na ngada kuwa hakika akiitoe hiyo orodha watu watastaajabu.
 
Back
Top Bottom