Jamaa amehaidi kutoa $1b yaani Tsh 2,2t Kama humanitarian aid,,afu mtu Kama Magufuli alikuwa anaropoka eti mabeberuHata mimi huwa najiuliza swali hili daily. Nikiangalia pesa alizotoa kwa Ukrane tu tangu vita ianze nimebaki mdomo wazi
Na wewe fyatua ma TshMarekani ndio wamiliki wa dola na dola ndio inatumika ktk mabadirishano ya bidhaa duniani kote.
So usipate shida kuwaza wanakuwaje matajiri .
Wakitaka kitu wanabofya tu wanatengeneza midola wananunua chochote nchi yoyote.
Ni wahuni na wajanja wajanja tu hakuna kingine!
Tunashindwa vipi kuwa na Tiss ya aina hio!? Tiss yetu haina mchongoUkileta ukibaraka CIA wanakuua
kwani nimesema hazipo?Raslimali zipo tele tu hata kabla ya jiwe
Qatar wanazingua ...siku Mafuta yakiisha hayo majengo yataendeshwaje?? Yatabaki magofu Tu....usiniambie utalii, maana hautoshi, niambie nchi Gani duniani ambayo uchumi wake unategemea utalii Tu Na ImeendeleaHapa kwenye mafuta US hajaamua kuwa serious akiamua hapa nakupa miaka 5 tunasahau habari za Diesel, Petroli na mafuta ya Taa kwanza angalia matumizi ya mafuta ya taa siku hadi siku yanapungua taa za chemli zimepungua, koroboi hakuna tena
Ndio maana nchi kama Qatar wameanza kuwekeza kwenye majengo wakijua mafuta yanakwisha na soon watu wanatoka kwenye utegemezi wa mafuta.
Story Za vijiwe vya alkasus zimeanza SasaWezi tu hao naona watu wanawatetea wanadhamini mpaka alshabab.
Elimu,elimu...wajinga bado ni wengi sana mkuuNafikiri mleta mada alimaanisha utajiri na sio makaratasi ya dollar
Unajua thamani yakekwani nimesema hazipo?
Ntayapekeka wapi? Hayatumiki nje ya mpaka wa Tanzania.Na wewe fyatua ma Tsh
Inasemekana Mali ya congo Dr Ni sawa na utajiri wa marekani Kwa rasilimali zilizokuwepo congo Ni sawasawa na uchumi was USAPamoja na pesa zao bado awaifikii tanzania hata robo tu kwenye jumla ya thamani ya raslimali tele zilizopo
Congo ndio taifa la kwanza kwa utajiri dunianiInasemekana Mali ya congo Dr Ni sawa na utajiri wa marekani Kwa rasilimali zilizokuwepo congo Ni sawasawa na uchumi was USA
Jukwaa huru,stori za vijiweni
hii ni mada kukuzidi na imeegemea kwenye uchumi
hivyo kama huna abc kuhusu uchumi bora ukae kimya
Siku marekani imeanguka jua dunia nzima imeanguka..mana nuclear warheads walizonazo wakiziachia..manake tunaenza kuanza na adamu na hawa..yani tunaanza upya.Bado Sana China kapigwa gap ya $7T kwenye percapital income hasogei kabisa[emoji1]
Toedsloth: Labda urudie somo la historia tena, Miaka ya 1920 US kiuchumi tayari ilikuwa juu mno, Afghanistan, Libya na Iraq miaka hiyo zilikuwa wapi?Afghanistan [emoji1023] Iraq [emoji1131] Libya [emoji1149]
Huo ni mtazamo wako....hivi China yenye maendeleo hivyo kuna demokrasia gani.Ili kupata maendeleo yanahitajika mambo naku 3
1 Ardhi
2 watu
3 siasa safi yaani democrasia
Kifuatacho ni mibaraka kila k0na
Tunawachangia pia kwa hiari yetuHuwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa Marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.
Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa Marekani.
Hawa Marekani pesa zote wanazitoa wapi? Yaani GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya India.
Swali Marekani pesa zote anazitoa wapi
View attachment 2168456