The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Unajua ukifanikiwa lazima uchukiwe,wale wengine wanakua walalamishi kama watoto wa kambo au yatimaHuwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.
Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa marekani.
Hawa marekani pesa zote wanazitoa wapi? Yaani GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya India.
Swali marekani pesa zote anazitoa wapiView attachment 2168456
Teknolojia kubwa nyingi amezishika yeye.Hili swali hata mimi huwa najiuliza sana imagine mwaka 1945+ aliikopesha hela ulaya nzima kwenye marshal plan.
Ukianza kukutana na comment za Warusi weusi nafikiri ndo utakua mwisho wa wewe kusoma....naana Mtifuano hautakua wa kawaida....Hapa bado amani inatawala.Nasoma comments
ya Tanzania je?Huwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.
Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa marekani.
Hawa marekani pesa zote wanazitoa wapi? Yaani GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya India.
Swali marekani pesa zote anazitoa wapiView attachment 2168456
Hakuna kitu kama hicho, kwani USA, ameanza kuwa na uchumi mkubwa duniani leo?!toka kipindi cha marshal plan, alikuwa ameshaanza kuzipiga hizo nchi?Afghanistan [emoji1023] Iraq [emoji1131] Libya [emoji1149]
...Ana States 51 zinashindana Viwanda, wakati wewe una Miko 31 TU... Mingi ikiwa Haina Hata Kiwanda Kimoja!Huwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.
Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa marekani.
Hawa marekani pesa zote wanazitoa wapi? Yaani GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya India.
Swali marekani pesa zote anazitoa wapiView attachment 2168456
Russia Bado sana anategema Mafuta na gas vitu ambavyo ni rahisi sana kutafuta mbadala wake mataifa makubwa yakiamua kuwezekeza kwenye magari ya umeme na kuanzia kutumia vinu vyao vya Nuklia kuzalisha Umeme na Joto hizo biashara zinakosa wateja.KUNA WATU WANASEMA RUSSIA NI TAIFA IUBWA, KIENEO SAWA[emoji23][emoji23][emoji23]
RUSSIA HAWEZI SIMAMA VITANI MIAKA MIWILI HANA UBAVU HUO WA KIPESA
NAPELEKA MAIKI KWA WARUSI WEUSI WA KWA LULENGE
Afghanistan [emoji1023] Iraq [emoji1131] Libya [emoji1149]
Na hii ndo sababu kubwa ya Ulaya magharibi kuwa marafiki wakubwa sana wa US, maana mpango huu wa kufufua uchumi (European Recovery Program) ulikuja na masharti ambayo Ulaya isingeweza kuyapiga chini kutokana na kuwa ilikua imeharibiwa sana na vita lakin pia mikataba ya plan hii ilikua na Non Negotiable terms.Hili swali hata mimi huwa najiuliza sana imagine mwaka 1945+ aliikopesha hela ulaya nzima kwenye marshal plan.
Afghanistan [emoji1023] Iraq [emoji1131] Libya [emoji1149]
Sema imewasaidia sana nchi za Ulaya Magharibi isingekua huu mpango nchi nyingi zingekua Maskini sana angalia nchi kama Ujerumani iliharibiwa sana na Vita ila USA akamsaidia sana kumwinua hasa kwa kuwekeza kwenye Viwanda Vizito mpaka leo Ujerumani imesimama tena.Na hii ndo sababu kubwa ya Ulaya magharibi kuwa marafiki wakubwa sana wa US, maana mpango huu wa kufufua uchumi (European Recovery Program) ulikuja na masharti ambayo Ulaya isingeweza kuyapiga chini kutokana na kuwa ilikua imeharibiwa sana na vita lakin pia mikataba ya plan hii ilikua na Non Negotiable terms.
Kwenye sehemu ambazo marekani alicheza kama Pele ni hapa alipopropose hii plan. Japo ilikua mwanzo wa uhasama mkubwa na wa kudumu kati yake na Urusi lakin plan hii imeprove kuwa one of the plans iliyoleta positive impact kubwa sana ambayo mpaka leo inaonekana na itaendelea kuonekana.
Leo hii kupitia mpango huu tunaona jinsi US alivowaweka Ulaya magharibi kwa pocket yake na wanamskiliza anachotaka.
MBONA MUDA SANA WATU WASHAANZA KUHAMA MDOGO MDOGO TOKA UTEGEMEZI 2A MAFUTA NA GESIRussia Bado sana anategema Mafuta na gas vitu ambavyo ni rahisi sana kutafuta mbadala wake mataifa makubwa yakiamua kuwezekeza kwenye magari ya umeme na kuanzia kutumia vinu vyao vya Nuklia kuzalisha Umeme na Joto hizo biashara zinakosa wateja.
Pesa imezunguka miaka mingi kimkakati, si ya leo.Huwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.
Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa marekani.
Hawa marekani pesa zote wanazitoa wapi? Yaani GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya India.
Swali marekani pesa zote anazitoa wapiView attachment 2168456
Calfonia ni nusu ya Tz kwa ukubwa wa eneo, ina watu zaidi ya 30mil...Ana States 51 zinashindana Viwanda, wakati wewe una Miko 31 TU... Mingi ikiwa Haina Hata Kiwanda Kimoja!
Tuanzie Hapo Kwanza....
Afghan haina mafutahizi nchi ndiyo zimeporomoa Uchumi wa US. pesa iliyotumika kuangusha hizo tawala unazidi Uchumi wa Africa Africa nzima.
habari za kuwa US anavamia nchi na kuiba mafuta zipo kwenye vijiwe vya kahawa tu.
Alfu atakuja mtu mmoja hapa alielewa anakwambia Germany, France, UK na wengine wa Ulaya watamkana US. Yaani hawajui US alishaweka mizizi na misingi ya kutawala Dunia mihongo zaidi ya 7 nyuma.Sema imewasaidia sana nchi za Ulaya Magharibi isingekua huu mpango nchi nyingi zingekua Maskini sana angalia nchi kama Ujerumani iliharibiwa sana na Vita ila USA akamsaidia sana kumwinua hasa kwa kuwekeza kwenye Viwanda Vizito mpaka leo Ujerumani imesimama tena.