Marekani pesa zote hizo anazitoa wapi

Marekani pesa zote hizo anazitoa wapi

Cathelin

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
2,071
Reaction score
3,997
Huwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa Marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.

Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa Marekani.

Hawa Marekani pesa zote wanazitoa wapi? Yaani GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya India.

Swali Marekani pesa zote anazitoa wapi


Screenshot_20220329-183155.jpg
 
Kati ya hizo nchi 10, nchi 7 ni washirika wake. Na hapo bado hujashuka chini top 20, kuna korea kusini n.k kumuangusha US si leo wala kesho.

Huyo china mwenyewe anayeshika namba mbili, kumbuka bidhaa zake zinazomuingizia pesa za kigeni anauza zaidi US na EU.
 
Back
Top Bottom