mtanzania2013
Member
- Jun 28, 2013
- 63
- 1
Marekani inajigamba kuwa ni mmoja wa nchi yenye kuruhusu FREEDOM OF SPEECH na kuwaonya nchi yeyote ambaye hakubali naye juu ya maswala ya Freedom of Speech.. Lakini mtu au nchi au TV chanel yeyote ikitoboa maovu yao na siri za viongozi wao basi hapo ndo mwisho wa freedom of speech.
Marekani wamesimamisha PRESS TV kuendelea kutoa habari sahihi za dunia