Marekani ndio nchi namba moja duniani kwa mafuta na gesi

Takwim za aljazeerah za 2022 mwezi March tarehe 29. Urusi na US ndio vinara. Urusi ana gesi na Marekani anayo. Anachofanya Marekani ni kunyonya Gesi na mafuta ya dunia kwa ajili ya washikaji wa Ulaya.
Screenshot_2022_0317_201928.jpg
 
Kwanini US wanapenda kuvuruga na kuvamia nchi zinazozalisha mafuta

Syria waliona hakuna kitu hawakutaka kuingilia
 
Urongo mkubwa sana , Google angalia the biggest oil and gas reserve in the world. Hizo data zako outdated bro.
 
Mnamo mwaka 2018 Marekani iliipiku Saudi Arabia na kuwa mzalishaji namba moja wa mafuta duniani,sababu kubwa ya kuzalisha mafuta kwa wingi ni utumiaji wa teknolojia ya kisasa ya uchimbaji mafuta ambayo kitaalam inaitwa'fracking'.

Kwa takwimu za mwaka 2020 Marekani ilizalisha kiasi cha mapipa ya mafuta milioni 16.5 kwa siku ikifuatiwa na Saudi Arabia mapipa milioni 11 na Russia(Urusi) ni ya tatu na mwaka huo ilizalisha mapipa milioni10.7 kwa siku,vilevile mwaka 2011 Marekani iliipiku pia Russia kwa uzalishaji gesi na kuwa nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji wa gesi asilia ambapo kwa takwimu za mwaka 2020 ,Marekani ilizalisha gasi kiasi cha 947.7 billion cubic metres huku Russia ikiwa ni ya pili kwa kuzalisha 693.4 billion cubic meters za gesi mwaka huo na nafasi ya tatu inashikiliwa na Iran ambayo mnamo mwaka 2020 ilizalisha 253.8 billion cubic metres. Hivyo basi ile dhana kuwa waarabu ndo wazalishaji pekee wa mafuta mengi duniani haipo tena na vilevile wale walokuwa wanadhani Urusi inazalisha mafuta mengi na gesi kuliko Marekani wanapaswa kufikiri upya.

Vilevile licha ya Marekani kuongoza ktk uzalishaji wa mafuta na gesi duniani ieleweke kuwa Sio muuzaji No.1 wa mfuta duniani kwani nchi inayoongoza kwa kuuza mafuta (exports) ni Saudi Arabia ikifuatiwa na Urusi ,hii ni kwa sababu uchumi wa Marekani ni mkubwa mno kiasi kwamba sehem kubwa ya mafuta na gesi inayoyazalisha yanatumika ndani ya marekani.

Pia Marekani ina utaratibu wa kununua kias kidogo cha mafuta kutoka nje kwa sbb za kimkakati zaidi mf.( National strategic oil reserve ) nk.

Vivyo basi ile dhana miongoni mwa Watanzania kuwa Marekani anaiba mafuta Iraq,Libya , Afghanistan ni upotishaji mtupu na uongo usio na ukweli wowote.Ifuatayo ni orodha ya nchi zinazoongoza kwa uchimbaji wa mafuta(crude oil) duniani kwa sasa
1) USA
2) SAUDIARABIA
3) RUSSIA
4) CANADA
5) IRAQ
6) CHINA
7) U.A.E
8) IRAN
9) BRAZIL
10) KUWAIT

Pia nchi 3 (top three countries)zinazoongoza kwa utoaji wa gesi duniani kwa sasa ni 1)USA,2)RUSSIA,3)IRAN.Katika eneo hili la gesi Tanzania inashika nafasi ya 71.

Ni matumaini yangu kuwa ndugu msomaji umesoma na kuelewa,nakaribisha maoni yenu.
Venezuela ndio anaongoza kwa uchimbaji wa mafuta
 
Bro nafikiri kiingereza unajua naomba usikilize hii kwa makini sana then njoo na comment ukiwa na uelewa mzuri ya hiki ulichoanzisha kama uzi

Screenshot_20220404-200438.png

Screenshot_20220404-200406.png

Screenshot_20220404-200302.png

Screenshot_20220404-200240.png
 
United States of Africa hii kitu inawatisha Sana mabeberu
Sio kweli, hizo ni mbinu TU za watawala wa Afrika kuwadanganya wananchi wao ambao wengi wao ni wajinga.

Hivi ni sababu Gani zinazowafanya wasomalia na Wahabeshi kuozea kwenye magereza ya nchi za Afrika hasa Tanzania .? ETI WAHAMIAJI HARAMU.
Watu wanataka kwenda kufanya kazi Afrika kusini Kwenye migodi walipata pesa waanzishe biashara zao Huko na baadae waelekee Amerika na Ulaya kwenda kutafuta Mali nje ya bara la Afrika na baadae waje wawekeze kwao na kusaidia ndugu zao lakini Maserikali ya Kiafrika yanawawekea vikwazo na kuwafunga magerezani wakati maviongozi hao hao wanasema Sisi ni waafrika na waafrika ni ndugu.
Blalifuli.
Nchi za Kiafrika ndizo nchi hovyo kabisa ambapo wananchi wake kupewa passport ni kama vile kupewa Cheti Cha kwenda mbinguni. Kila kitu kinafanyika kirasimu na Kwa hofu za kijinga kabisa. Uraia Pacha inaonekana kama uhaini. Halafu wanasema kuwa wazungu ndio wanaozuia waafrika kuungana. Siasa za kipumbavu na kilofa.

Leo tutaungana Vipi wakati Kila kanchi kanajifanya kanajua kila kitu na ni katajiri kumbe ni Muungano wa wajinga na malofa wanaodanganyana vijiweni.

Nyerere alishauri kuwa endapo Tanzania wataona Kenye wanatengeneza bidhaa A basi Tanzania watengeneze bidhaa B ili soko liwe kubwa ndani ya Afrika Mashariki lakini kila mmoja ni mashindano ya Kodi TU na tozo.
Hapo Zanzibari TU wakitaka kuweka Bandari huru ili nchi zote za Ukanda wa Afrika Mashariki,kusini na Kati wachukulie bidhaa ZANZIBAR Kama wanavyochukulia Dubai n.k. Adui wa kwanza kupinga Bandari ya Zanzibari Kwa miaka mingi ni Wahuni ,walevi ,wazinzi , walafi ,wezi , mafisadi ,waroho na watu wenye roho mbaya Toka Tanzania Bara. Hapo hakuna Cha Mzungu Wala mzunguko.

Wazungu wanachopambana nacho ni kujenga siasa za kidikteta mana wanahofia Mali zao na mitaji yao iliyopo kila mahali Duniani. Kila nchi wazungu wamewekeza Kwa Karne nzima Sasa wakizubaa na kuchekeea Tawala zenye hulka za kidikteta hasa zinazopinga maslahi yao basi watavuna mabua mana ni rahisi dikteta kuamka asubuhi akiwa na bangi zake kichwani na kutaifisha Mali zote za wazungu. Hiyo ndiyo hofu yao na sio Vinginevyo.
 
Mnamo mwaka 2018 Marekani iliipiku Saudi Arabia na kuwa mzalishaji namba moja wa mafuta duniani,sababu kubwa ya kuzalisha mafuta kwa wingi ni utumiaji wa teknolojia ya kisasa ya uchimbaji mafuta ambayo kitaalam inaitwa'fracking'.

Kwa takwimu za mwaka 2020 Marekani ilizalisha kiasi cha mapipa ya mafuta milioni 16.5 kwa siku ikifuatiwa na Saudi Arabia mapipa milioni 11 na Russia(Urusi) ni ya tatu na mwaka huo ilizalisha mapipa milioni10.7 kwa siku,vilevile mwaka 2011 Marekani iliipiku pia Russia kwa uzalishaji gesi na kuwa nchi ya kwanza duniani kwa uzalishaji wa gesi asilia ambapo kwa takwimu za mwaka 2020 ,Marekani ilizalisha gasi kiasi cha 947.7 billion cubic metres huku Russia ikiwa ni ya pili kwa kuzalisha 693.4 billion cubic meters za gesi mwaka huo na nafasi ya tatu inashikiliwa na Iran ambayo mnamo mwaka 2020 ilizalisha 253.8 billion cubic metres. Hivyo basi ile dhana kuwa waarabu ndo wazalishaji pekee wa mafuta mengi duniani haipo tena na vilevile wale walokuwa wanadhani Urusi inazalisha mafuta mengi na gesi kuliko Marekani wanapaswa kufikiri upya.

Vilevile licha ya Marekani kuongoza ktk uzalishaji wa mafuta na gesi duniani ieleweke kuwa Sio muuzaji No.1 wa mfuta duniani kwani nchi inayoongoza kwa kuuza mafuta (exports) ni Saudi Arabia ikifuatiwa na Urusi ,hii ni kwa sababu uchumi wa Marekani ni mkubwa mno kiasi kwamba sehem kubwa ya mafuta na gesi inayoyazalisha yanatumika ndani ya marekani.

Pia Marekani ina utaratibu wa kununua kias kidogo cha mafuta kutoka nje kwa sbb za kimkakati zaidi mf.( National strategic oil reserve ) nk.

Vivyo basi ile dhana miongoni mwa Watanzania kuwa Marekani anaiba mafuta Iraq,Libya , Afghanistan ni upotishaji mtupu na uongo usio na ukweli wowote.Ifuatayo ni orodha ya nchi zinazoongoza kwa uchimbaji wa mafuta(crude oil) duniani kwa sasa
1) USA
2) SAUDIARABIA
3) RUSSIA
4) CANADA
5) IRAQ
6) CHINA
7) U.A.E
8) IRAN
9) BRAZIL
10) KUWAIT

Pia nchi 3 (top three countries)zinazoongoza kwa utoaji wa gesi duniani kwa sasa ni 1)USA,2)RUSSIA,3)IRAN.Katika eneo hili la gesi Tanzania inashika nafasi ya 71.

Ni matumaini yangu kuwa ndugu msomaji umesoma na kuelewa,nakaribisha maoni yenu.
kumbe tupo wa 71, basi ni muhimu tukomae tu na Bwawa la Nyerere kwa sasa
 
Mafuta ya wizi hayo kutoka libya na mataifa mengine anayoendelea kuiba ndo una waita namba moja hao ngoja watasalimu amri wanadhani Russia ni Africa akitishwa tu anatoka mbio.
Hii mada kwako no kubwa. Nje ya uwezo wako
 
Syria Putin aliingia akaigeuza Alepo magofu na akamwaga silaha za kikemikali kama mende wanavyopuliziwa sumu.
Kwanini US wanapenda kuvuruga na kuvamia nchi zinazozalisha mafuta

Syria waliona hakuna kitu hawakutaka kuingilia
 
Kuna vitu viwili unapaswa kuvielewa kuna production na kuna reserve. Hapo paelewe vizuri. Utanishukuru
USA might (which i find hard to believe) be the most producer of oil at the moment, but that doesn't mean she has the most oil (oil reserve).

Hivi ukiwa na sh milion 1 ukaitumia yote ndani ya dk 1 na mimi nikiwa na sh milion 10 nikaitumia ndani ya mwezi mmoja, mimi na wewe nani anapesa nyingi?

-Teknolojia pamoja na mtaji anaoutumia mmarekani kuextract oil from the few reserves she has vinafanya production ya mafuta kua juu, which means in a long run! marekani hata kua na mafuta tena because all the reserves will be exhausted.

- Ukiwa na kitu kidogo alafu ukakiextract kwa wingi kwa muda mfupi hakukufanyi uwe na kitu kikubwa.

- Marekani sahizi (kwa mgongo wa mazingira)anaumiza kichwa kubadili mifumo ya mafuta itumie umeme kwa sababu anajua miaka michache ijayo hatakua na mafuta yake tena.
 
Ndio Amerika anachimba mafuta kwa wingi mno, shida ni kwamba io teknolojia anayotumia ni aghali sana ukilinganisha na nchi nyingine zinazozalisha kwa wingi mafuta.
 
Back
Top Bottom