Wild Thoughts
JF-Expert Member
- Mar 17, 2019
- 562
- 991
Kimepandaje sasa kati mishahara hajatuongezea!Nasikia Jiwe kasoma bajeti yake, kipato Cha mtanzania kimepanda laki moja zaidi!!!?...![]()
Kimepandaje sasa kati mishahara hajatuongezea!Nasikia Jiwe kasoma bajeti yake, kipato Cha mtanzania kimepanda laki moja zaidi!!!?...![]()
Viwanda vimepandisha kipato cha WatanzaniaKimepandaje sasa kati mishahara hajatuongezea!
Naomba utafute hii kifaa "Akhotnik",afu tusaidiane kupeana elimu.Tunakoelekea sasa siyo US Government imetoa kifaa kipya Drone homa ya Jiji Russia na China vichwa vinauma. Siajabu akaitumia kumpiga mirani.
Bofya hapa ujionee
Hata huku wapo. Sema tu wapo Jalalani.Wana Sayansi Wapo Kwenye Mataifa Ya Wenzetu
Pitia nyuzi zilizopita humu Jukwaani.Nitajie moja tu
Vita ya mwaka 1980 Iraq chini ya Sadam Hussen ilipewa na Marekani silaha za kemikali, ndege za kisasa pamoja na intelligence information zote lakini walishindwa kumuangusha Muirani.The worst thing is
Dunia haijui huyu muiran ana silaha za aina gani so endeleni kumchukulia poa atawashangaza
Wa Jalalani Wamejaa FunzaHata huku wapo. Sema tu wapo Jalalani.
Vita ya mwaka 1980 Iraq chini ya Sadam Hussen ilipewa na Marekani silaha za kemikali, ndege za kisasa pamoja na intelligence information zote lakini walishindwa kumuangusha Muirani.

Kimepandaje sasa kati mishahara hajatuongezea!
Nipo mkuu![]()
![]()
![]()
Mkuu upo??

Muajemi ni shida aiseeVita ya mwaka 1980 Iraq chini ya Sadam Hussen ilipewa na Marekani silaha za kemikali, ndege za kisasa pamoja na intelligence information zote lakini walishindwa kumuangusha Muirani.
Kwenye kukariri misamiati hamjambo!Air viscosity na Waves ndo weakness kubwa ya hayo madude
Air Viscosity na Waves!Kwenye kukariri misamiati hamjambo!
Wana Sayansi Wapo Kwenye Mataifa Ya Wenzetu
Wa JalalaniDuuh sasa sisi tumebakiwa na nini?
CcmDuuh sasa sisi tumebakiwa na nini?
Sasa ona dunia iliko halafu linganisha na huyu jamaa anaesema kupaumbele cha mwenyekiti wa serikali ya mtaa ni kuwa mwana ccm.Tunakoelekea sasa siyo US Government imetoa kifaa kipya Drone homa ya Jiji Russia na China vichwa vinauma. Siajabu akaitumia kumpiga mirani.
Bofya hapa ujionee