Elimu nzuri ila sehemu ya ku apply ndo shida.shukranili kitu kisafiri hewani lazima kiwe na speed flani....drone kama hiyo ni ndogo..inahitaji speed kuwa hewani...kitu kinapopita hewani kwa speed kinatoa joto pia umeme kwa sababu ya msuguano wa hewa na kitu husika..umeme na joto zipo expoesed na heat seeking missiles(infrared homing) ndo maana nchi kama Russia hawana haraka kutengeneza Su 57 ..ila wanatumia zaidi Su 34/35 ..4+++ generation..kwa sababu tu ya kuwa na rada(PESA) za kuona mbali na kubeba missle(RS) za namna hii za kupigia umbali mrefu(F 35 in stealth mode are blind na zina short range missle)..ili ziwe active lazima ziwe karibu na adui ...naam kuna S 400..
Drone zinaendeshwa na radio electronics wave kama remote controlled flani hivi.. ..mashine kama krasukha~4 ndo mwake hapo.
Angeshinda ile battle ya 1980.Hana silaha yoyote wala uwezo huyo
Wanamtekenya makusudi ili apaze sauti ainekane tishi wapate sababu ya kumng'okola ng'oko
Tunakoelekea sasa siyo US Government imetoa kifaa kipya Drone homa ya Jiji Russia na China vichwa vinauma. Siajabu akaitumia kumpiga mirani.
Bofya hapa ujionee
Sisi tunatafuta "Ushindi wa Kishindo" kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa kwani ndipo akili yetu ilipofikia. We shall forever die with a slave mentality. Very saddening indeed.
Kweli mkuu Iran ndiyo kitalu maana wameidungua... Iran itakuwa "kitalu" cha majaribio ya hiyo kitu.
Ndio hii iliyoshushwa baharini na jeshi tukufu la waislam la irani juzi juzi hapa?... Iran itakuwa "kitalu" cha majaribio ya hiyo kitu.
Watu wanakwazika sana ndio maana yake ila wengine "Beneficiaries" hawawezi kuona.Na wengine sisi tunashinda mitandaoni kubeza kila kitu cha serikali yetu....