Marekani na Drone Mpya

Marekani na Drone Mpya

The worst thing is
Dunia haijui huyu muiran ana silaha za aina gani so endeleni kumchukulia poa atawashangaza
Hana silaha yoyote wala uwezo huyo
Wanamtekenya makusudi ili apaze sauti ainekane tishi wapate sababu ya kumng'okola ng'oko
 
Sawa. Nieleweshe.
ili kitu kisafiri hewani lazima kiwe na speed flani....drone kama hiyo ni ndogo..inahitaji speed kuwa hewani...kitu kinapopita hewani kwa speed kinatoa joto pia umeme kwa sababu ya msuguano wa hewa na kitu husika..umeme na joto zipo expoesed na heat seeking missiles(infrared homing) ndo maana nchi kama Russia hawana haraka kutengeneza Su 57 ..ila wanatumia zaidi Su 34/35 ..4+++ generation..kwa sababu tu ya kuwa na rada(PESA) za kuona mbali na kubeba missle(RS) za namna hii za kupigia umbali mrefu(F 35 in stealth mode are blind na zina short range missle)..ili ziwe active lazima ziwe karibu na adui ...naam kuna S 400..
Drone zinaendeshwa na radio electronics wave kama remote controlled flani hivi.. ..mashine kama krasukha~4 ndo mwake hapo.
 
Nashukuru.
 
Tunakoelekea sasa siyo US Government imetoa kifaa kipya Drone homa ya Jiji Russia na China vichwa vinauma. Siajabu akaitumia kumpiga mirani.

Bofya hapa ujionee
Wairani wameliporomosha chini mkuu, so lolote so chochote kwa Muajemi
tapatalk_1561084811240.jpeg
 
Safi sana Iran huo ndio uwanamme ni sawa na mchawi anaekuwangia kila siku afu anakupilapila kwenye N'KANDU Sasa ukimkamata kisha ukamkata KWEGESE basi ujue atakuwa na adabu hata kwenye mpira makipa wenye akili akiona forward wa upande wa pili anazidisha mashambulizi dawa yake ni wakati wa kona hapo forward atadidimizwa dole kitakachofuata unajua
 
Back
Top Bottom