Marekani msituonee Wananchi Wahukumuni Wahusika wakuu

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
14,655
11,646
Hii Red line ya Marekani kuiwekea Ngumu Tanzania nadhani ni sawa na Kutuonea kwani Wahusika Wakuu wapo haswa Jk kwani ndio Kinara mkuu na Sasa anafanyia kazi Libya UN nadhani arejeshwe kwao... na sio sisi tuishi kwa hali tete... am sure vivutio vyetu vyote Watapewa Kenya....

Tunaelekea Zimbabwe kama alivyosema yule waziri wa JK

Tumeshindwa kusimamia Katiba yetu, Sheria zetu hadi tunazodolewa na kutengwa.... kisa JK na Inner circle yake.... ukiwemo na wewe...
 
Jecha na Shein ndo vinara wakuu. Lakini cha kusikitisha zaidi,Marekani inachukulia maamuzi yao wawili Kama maamuzi ya taifa zima na kutuadhibu kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom