Trump ni lazima ajue ni Korea kaskazini pekee ndio utakuwa na full access ya kuingia nchi mbili ambazo ni Russia na China nchi zote ndizo zenye mpaka na Korea Kaskazini so kitendo cha US kuingia North Korea na kuikalia kijeshi inamaana anakua anaichungulia Russia wakiwa wametenganishwa na mto tu na pia anakua anaichungulia China wakiwa wametenganishwa na mto tu
So kwa Russia ni ngumu sana kunywa vodka Moscow wakati adui anaweza kuingia Russia kwa kuogelea tu
Pia kwa China ni vigumu kunywa Xinjiang Black Beer Beijing huku adui anaweza kuingia China kwa kuogelea Marekani anatakiwa kujua ni Lazima Russia na China kushiriki vita hvyo kama vikitokea aidha kwa kificho au kwa wazi
Hata USA hawezi kurisk kiasi hicho cha kuingia kichwa kichwa tu huko, akijipendekeza tu atajuta sana na wenzake wenye akili na hekima wameshamuonya kuwa akiingiza pua lake huko hakutakua na mshindi. Yani ni 'we all die together.'
Hii itakuwa zaidi ya alichovuna kule Vietnam hadi kufikia hatua ya kutupa silaha zake anazojitapa nazo na kukimbia na sifikirii kama wamesahau haraka hivi.
Kwanza ni rahisi sana kukumbuka kama wamesahau itakuwa ni kichekesho cha karne hiki, we fikiria vita imeumana maumivu yake yanavyozidi hadi wanathubutu kuibuka watu na kuanza kuipinga na hatimaye wanapata support kubwa kwa jamii kumbuka kuipinga vita ambayo inaendelea au nchi yako inashiriki hadharani ni kama uhaini na siyo kitu rahisi sababu unaonekana unaungana na upande wa adui, sasa kama ile vita USA aliambulia maumivu makubwa sana na sasa akithubutu itakuwa ni zaidi ya kule na raia wake wakianza kupata maumivu wataanza kupinga tu.
Tafuteni hotuba moja ya mwanaharakati na pastor Martin Luther King Jr. inaitwa
Beyond Vietnam au Why im opposed to the war in Vietnam/A time to break silence alizungumzia haya yote anayofanya USA.
Hapa namnukuu kidogo ili watu wajue nini kipo kwa hii hotuba...
"Even when pressed by the demands of inner truth, men do not easily assume the task of opposing their government's policy, especially in time of war. Nor does the human spirit move without great difficulty against all the apathy of conformist thought within one's own bosom and in the surrounding world. Moreover, when the issues at hand seem as perplexing, as they often do in the case of this dreadful conflict, we're always on the verge of being mesmerized by uncertainty. But we must move on. Some of us who have already begun to break the silence of the night have found that the calling to speak is often a vocation of agony. But we must speak. We must speak with all the humility that is appropriate to our limited vision, but we must speak. And we must rejoice as well, for in all our history there has never been such a monumental dissent during a war, by the American people." mwisho wa kunukuu.
So USA wasijitoe tu ufahamu na kuvamia tu mataifa huru ya watu wengine wategemee kuchekewa la hasha mateso yatakuwa kwa watu wao pia ambao ni Amerian people.