Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
- Thread starter
- #101
InawekanaMmarekan hata simuaminigi yule mm, Hii isije ikawa n trick, Ajifanye hana mpngo ili Mapank alegeze ili ashtukize
InawekanaMmarekan hata simuaminigi yule mm, Hii isije ikawa n trick, Ajifanye hana mpngo ili Mapank alegeze ili ashtukize
Huyo dogo amezikuta hizo silaha na ataziacha. Acheni kupotosha watu. NK inamiliki silaha za maangamizi na wala sio Kim Jong- Un. Tangu awe nazo kama Taifa ni lini amezitumia hata kuulia mende tu?Mchango ni mzuri sana lakini wenye kikomo ,pale ambapo sisi tunaishia ktk kulitazama jambo ndipo na wengine huanzia hapo kwenda mbele..Nnajua hili ulilo lisema Us wanalijua kabla ya kuamua.walichoamua mpaka sasa.
Huyo dogo ni hatari sana kuachwa hivi hivi kuendelea kumiliki silaha hatari Duniani hasa ukizingatia na Akili zake ..
Japo nadhani wanawalia tu timing.....NK atapigwa tu muda wowote tena bila keleleUnatamani kitu kibaya! Mi nimefurahi marekani kuingia baridi na kusepa!
Nasikia TTF wana ijadili...North Korea apata ushindi wa mezani.
Na Mapanki Ameshamwambia mie sio Mwarabu, sasa ole wake alianzishe aone mziki wake...Mmarekani ni mwoga sana! Hakuna cha trick wala nini! Yeye hupenda kupiga lakini hayuko tayari kupata hata mchubuko!
Iraq alishinda lakini alipoteza mpaka sasa askari zaidi ya 2000! Hatakaa arudie uvamizi kama wa iraq, ilimuuma sana!
Hapo alikuwa anawategemea Korea kusini ndo wapigane ana kwa ana na Korea kaskazini! Yeye angelianzisha tokea majini halafu ardhini awaachie Korea kusini! Korea kusini huo mziki hauwezi!
Trump hakuamini kama huo mkwara wake mapank ataubeza! Ile kupiga Afaghanistan ilikuwa ni sehemu ya mkwara kwa korea kaskazini!
Hizi sio ngumi za matopeni mkuuNatamani sn zitwangwe ili kuondoa mzizi wa fitina
Usichokijua ni kama usiku wa giza...endeleeni na propaganda za kitoto, mnapitisha siku.Nimebet NK anashinda vita![]()
![]()
![]()
![]()
za kimataifa sio?Hizi sio ngumi za matopeni mkuu