Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,256
Hata kama huna uwezo, we ni mdogo, simamia msimamo wako kuwa huogopi na hutishwi. Na msimamo wako utakulinda
Asia huko USA katawala na kuhusu mgogoro wa black sea USA alipeleka manowari kule jambo lililoamsha tension na china ,sidhani kama china ataungwa mkono labda duterte kidogo ndiye ameonyesha urafiki na ushirikiano na china kuliko USAWe unadhani China akiingia utashangaa all asian countries zinakuwa upande wa china. India now hawako sawa na Us na wao wana nuclear now wanafanya business na Iran. Hakuna atakaye kosa rafiki. Ndio maana itakuwa world war 3.
Kwanza Marekani historia inatukumbusha ana uwezo mdogo sana wa kushinda vita akipigana peke yake pasi kutegemea wale 'washirika' wake, historia ni mwalimu mzuri sana na tunapaswa kujifunza kwake.Mpaka sasa dalili zinaonyesha Marekani kuweka mpira kwapani kwani msafara wa meli zqke unaiacha Korea na kwenda pasipo julikana kingine watu wanashindwa kujua Marekani anawaweza waarabu kwa vile waarabu na waafrica ni wanafiki si kwa jamii ya Mongolian races wao ni tofauti sana vita tu vya Vietnam marekani alikimbia kaja Mfaransa nae kakimbia eneo la Asia Pacific limekaa vibaya sana sasa angalia Japan anapeleka jeshi Korea kusini kwa kulinda raia wake Russia anapeleka majeshi China nae ameshapeleka wanajeshi mpakani na Korea hv hapo ujajua tu kuwa vita hv vitakuwa vita vibaya sana Uingereza nao watapeleka majeshi kulinda ndugu zao New Zealand na Australia
Marekani ni lazima arudi nyuma kwani vita hv vinakwenda kushusha uchumi wake leo Korea kaskazini hana cha kupoteza kama ilivyokuwa kwa Vietnam ndio maana unaona kiburi cha Kim wakati Trump akishinda kwenye mitandao ya Kijamii na kuchimba mikwala Kim anaendelea na nuclear program zake na kujaribu makombora yake
Hahaha na sasa kawalisha wanawe tayar. Juzi tu kamuuzia Syria defense system.. Lkn US kapiga.... Putin kasema Eti Tomawack zimedondokea Baharini anaambiwa leta picha kazama mitini.. Hhahahha
Ehee endelea kwanini........Huuu ni uwong wa kiwango cha rami....
Iran pia haitokaa nyuma. Marekani mshari sana wewe mtu mmepiga vikwazo miaka 50+ na ana shida na mtu unataka kumfanyia ubabe wa kivita.Upo vizuri, na bado mataifa mengine yanaangalia upepo unakwendaje. Nk atapata wafuasi wengi tuu.
Rudini mkajipange tenaTeam us.wametupiga mikwara humu.kipo wapi?
Trump kaweka mpira kwapani kakimbia mapambano Meli zake zinatoka kwenye Korean peninsula na kwenda pasipo julikana ni wakati wa Korea kusini kukaa na ndugu yake kaskazini kuyamaliza sasa kama baunsa wake US anaweka mpira kwapani itakuwaje yeye! !Team us.wametupiga mikwara humu.kipo wapi?
Rami ndio kiumbe gani?Huuu ni uwong wa kiwango cha rami....
Hahahah umeona eeh, hivi tupo upande mmoja mamie....????Mnyoa kiduku ameshinda.
India, Iran, Sasa hivi Uturuki naye tangu stake kupinduliwa na USUpo vizuri, na bado mataifa mengine yanaangalia upepo unakwendaje. Nk atapata wafuasi wengi tuu.
Vipi wale SEAL mlisema wanaenda Korea hawajafika bado?Hahaha na sasa kawalisha wanawe tayar. Juzi tu kamuuzia Syria defense system.. Lkn US kapiga.... Putin kasema Eti Tomawack zimedondokea Baharini anaambiwa leta picha kazama mitini.. Hhahahha