Marekani lazima akae, vita hakuna tena

Marekani lazima akae, vita hakuna tena

Trump ni lazima ajue ni Korea kaskazini pekee ndio utakuwa na full access ya kuingia nchi mbili ambazo ni Russia na China nchi zote ndizo zenye mpaka na Korea Kaskazini so kitendo cha US kuingia North Korea na kuikalia kijeshi inamaana anakua anaichungulia Russia wakiwa wametenganishwa na mto tu na pia anakua anaichungulia China wakiwa wametenganishwa na mto tu

So kwa Russia ni ngumu sana kunywa vodka Moscow wakati adui anaweza kuingia Russia kwa kuogelea tu

Pia kwa China ni vigumu kunywa Xinjiang Black Beer Beijing huku adui anaweza kuingia China kwa kuogelea Marekani anatakiwa kujua ni Lazima Russia na China kushiriki vita hvyo kama vikitokea aidha kwa kificho au kwa wazi
Na sehemu pekee ya Russia na China kutest silaha zao mpya dhidi ya silaha za US ni kwenye vita hvyo kwani China na Russia wanatengeneza silaha kwa ajili ya kushindana na US sasa unapotengeneza kitu ni lazima ukifanyie test kwa mshindani wako ambae ni US
Niliwai kusema na narudia tena ni vyepesi sana US kurusha makombora Syria kuliko kurusha mshale North Korea au Iran kutokana na sababu za Geographical
Wataalamu wa Geopolitics
 
Vipi wale SEAL mlisema wanaenda Korea hawajafika bado?

Manoari iliyotumwa na Trump na kuisifia ni very powerful imeishia wapi?

Au vita sikuhizi zinapiganwa Twitter... hahahaha aibuuu hii
Niko US side subir tu... Hekima zitachukuliwa. . Ila Ntakutaft humuhumu Fisadikuu
 
Niko US side subir tu... Hekima zitachukuliwa. . Ila Ntakutaft humuhumu Fisadikuu
Hekima hazikuchukuliwa kabla ya gharama zote hizo na mikwara yote ile..

Sio kwamba mmeona jamaa haingiliki ndio mnajificha na hekima kama excuse yenu?
 
Sasa vita hakuna tena; baada ya Putin kuonesha wazi yupo upande wa Mapanki lazima Trump arudishe jeshi lake....

WATCH: Russia claims it can WIPE OUT US Navy with ‘ELECTRONIC bomb’ amid WW3 fears

express.co.uk

Apr 19, 2017 4:24 AM

RUSSIA has claimed it can disable the entire US Navy using the latest “electronic warfare” technology - as the world braces for conflict.

A recently released Russian news report claims Vladimir Putin’s armed forces can use electronic signal jamming to render missiles, ships and planes completely useless.

In the report, the newsreader said: “Today, our Russian Electronic Warfare troops can detect and neutralise any target from a ship’s system and a radar, to a satellite.

[http://cdn]

The shocking video shows the potential power of Putin's military

“You don’t need to have expensive weapons to win – powerful radio-electronic jamming is enough.”

The video clip even quotes top US General Frank Gorenc, who said: “Russian electronic weapons completely paralyse the functioning of American electronic equipment installed on missiles, aircraft and ships.”

[http://cdn]

The video shows the 'invisibility cap' which prevents Russian forces from being detected by enemies

Putin has sent ships to shadow a US fleet, which has been sent to threaten North Korea.

The video describes it as an “invisibility cap from the enemy’s radar” as the report shows how the Russians have developed electronic technology to prevent them from seen by US planes.

The electronic warfare can destroy the American equipment installed on missiles, aircraft and ships.

The video clip claims radio-electronic jamming is better than any other “expensive equipment” needed to win.

Russia’s boasting comes amid rising tensions between Trump, Putin and Kim Jong-Un.

Experts have warned North Korea will have up to 60 nuclear weapons in three years unless urgent action is taken.

Report a problem.
That is a lie!
 
Hekima hazikuchukuliwa kabla ya gharama zote hizo na mikwara yote ile..

Sio kwamba mmeona jamaa haingiliki ndio mnajificha na hekima kama excuse yenu?
NK hana chakupoteza hata kama watu wake wakifa Poa tu ila US kaona effect Kubwa ni kwasababu watu wa NK, SK na Japan na Mimi kama mpambe wa US nampongeza afanye Diplomats tu kwanin ni Heli NK people waendelee kufa njaa as natural disaster due to their dictator Kim na sio kwA Nuks.... Hapo nampongeza Trump kwA kuthamin Roho Za wanyonge
 
Hiyo picha haiexist ipo kwenye movie ya Capt America
Na hii je?

075de34f7a25906c5b10099fbb1b3264.jpg
 
Kwanza kwe picha tatu zilizopo kwenye post yako... picha ya kwanza ni uongo. Hiyo ndege ipo kwenye series ya Agents of shields, na in reality it doesnt exist.
Hizo picha mbili za chini ndio za kweli.. ni makombora aina ya S300.
Fatilia vitu kaka ..usiseme it doesnt exists wakat huna data sahihi
 
Kuna mchezo unachezwa bila sisi kujua.
US na north korea, anatafutwa russia na china ndio mana russia na china walipeleka melizao za kivita baada yakuona pica halieleweki.

Muda ndio mwalimu.
 
mrusi hatakuwa tayari kuchunguliwa kwa karibu ,kurudi madrakani kwa putin kulikuwa si kwa bahati mbaya ,mrithi wake Medvedev hakuonyesha kile urusi walichokuwa wanategemea kuonyesha uimara wa urusi .pamoja na putin kuwa wazir mkuu baadhi ya maamuzi hakuwa nayo juu ya kuiilinda maslahi yake duniani ni pale irak ikavamiwa ,ikafuatiwa na Libya ,huku viongozi hawa wakiona . muhula wa Medvedev ulipoisha tu akaingia STERLINGI mwenyewe putin ,akaanza na Syria ameilinda kwa gharama zozote . sasa hali ilivyo urusi haitakubali iachwe yenyewe katika mapambano lazima naye awe na washirika wachache wenye nguvu .sababu kuu ni moja endapo atakaaa kimya mmarekani akavamia Syria ,akimaliza atavamia china ,akimaliza korea ,akisha maliza atakuwa amebakiza adui mmoja tu ambaye atakuwa ni mrusi sasa hapa ndo patakuwa pagumu pagumu pagumu , .mchezo huu ni kama simba akiwa anawinda na jinsi wanavyomzunguko adui wao ili waweze kumla .
 
Back
Top Bottom