Marekani kusitisha misaada kwa Uganda


Back to the point..... ina maana Uganda kwa kutunga sheria hiyo ndo kusema wapenzi wa jinsia moja watakoma kuwapo katika nchi hiyo? Kama sivyo tunawezaje kushughulika na sheria zisizo na tija ktk jamii pana na kuacha kushughulikia mambo ya msingi yanayowatesa watu wetu kuliko kuhangaikia vitu ambavyo vinagusa individual private?
Kwangu mm naona sheria hii ni ya kibinafsi na kutafuta cheap popularity kwa serikali ya Mseveni baada ya kuona anamlikwa sana na vyombo vya magharibi ili apate pa kuegemea na visingizio jinsi anavyo nyanyasa wapinzani wake kisiasa full stop. Kama hamuamini basi subiri muone. Hii inaonwa tu na akina siye tunaopenda kuoa vitu ktk jicho la tatu!
Nawasilisha.
 
You have made me laugh Mr. Gay, naona unataka member , I will never be in your shoes, undelea na ushoga wako na walaaniwa wenzako

I sign out

Just come out of the closet. It's okay.
 
Mashoga yauawe popote yalipo duniani! Huu ni ufirauni ambao hata wanyama ambao hawajapewa akili hawawezi kuufanya. I hate U.S.A
 
Namaanisha Waafrika tayari ni wajinga wakubwa sana hivyo wala haihitaji mtu awaletee ujinga.

Ujinga tayari wanao.

Mimi sijali kama mtu analiwa tigo yake. Si ni yake bana..

Sasa tigo aliwe mwingine, kuhemka uhemke wewe. Majanga!!

Kuna methali ya wahenga wetu kwamba...''what i see while seating U cannot see even when standing'' ...Leo hujali kama mtu akiliwa tigo yake, kesho hutajali jirani, rafiki, akiliwa tigo yake, pengine hata pale nduguyo atakapoliwa tigo yake, na pengine hata mtoto wako....Haya ni mawazo potofu sana kwa yeyote mwenye kujali maadili.
 

Hata kama ni mtoto, alimuradi keshakuwa mtu mzima mwenye utashi, ridhaa, na hiari, acha aliwe tigo. Si ni yake?

Wewe kama hupendi kuliwa tigo yako basi usiigawe. Baki nayo mwenyewe na waache wenye kupenda kufanya hivyo wafanye watakavyo.

Na kama hawakuingilii kwenye maisha yako basi na wewe huna haki wala mamlaka ya kuyaingilia maisha yao hata kama hupendi wafanyayo.
 
Majanga!! Ni riziki wewe?
 
Mbona nchi za uarabuni Kama UAE, Kuwait, Saudi Arabia, Qatar, Oman n.k. na zingine kama Brunei hazijapewa matakwa kama haya... Hawa wanapenda onea sana Afrika.

Baba wa taifa ndio alikuwa kinara wa kupinga mambo kama haya, ya kuchaguliwa sheria za nchi..
 
Inabidi John Kerry na Obama waje wawadhihirishie Waganda kama kweli wanachokitetea wanakijua. Kama ni haki sheria za nchi zihalalishe watoto wa wenzao kufanyiwa unyama huo, basi na wao waje wapelekwe wapi sijui .... wakiweza basi waganda watafikiria upya
 
Namaanisha Waafrika tayari ni wajinga wakubwa sana hivyo wala haihitaji mtu awaletee ujinga.

Ujinga tayari wanao.

Mimi sijali kama mtu analiwa tigo yake. Si ni yake bana..

Sasa tigo aliwe mwingine, kuhemka uhemke wewe. Majanga!!

Mjinga ni wewe unaekung'utwa 0713..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…