Marekani kusitisha misaada kwa Uganda

Marekani kusitisha misaada kwa Uganda

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Posts
3,829
Reaction score
5,270
Waziri wa mashauri ya Kigeni wa Marekani, John Kerry amesema tangu Uganda iidhinishe mswada huo miaka minne iliyopita, Marekani ilieleza wazi kwamba sheria hiyo inakiuka jukumu la kuhakikisha kuwepo haki za binaadamu ambalo tume ya haki za binaadamu Uganda inatambua linaambatana na sheria ya Uganda.

Kerry amesema,' Baada ya kuidhinishwa sheria hii, tunaanza ukaguzi wa ndani wa uhusiano wetu na serikali ya Uganda, kuhakikisha kwamba pande zote za uhusiano wetu, ukiwemo miradi ya msaada, zinapinga sera na sheria zinazowaonea watu na tuwe na uhusiano unaodhihirisha maadili yetu'.

Tamko hilo limetolewa siku moja baada ya rais Yoweri Museveni kukaidi shinikizo la kimataifa na kutia saini sheria hiyo iliyo zusha mzozo, inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja Uganda, hatua iliyozusha hisia kali.
Baadhi ya mataifa ya magharibi tayari yanatishia kukatiza msaada wa moja kwa moja kwa serikali ya Uganda.

Marekani inasema kuidhinishwa kwa sheria hiyo kunatishia hatari ya kurudi nyuma katika uwajibikaji wa Uganda kulinda haki za raia wake na kutishia jamii ya wapenzi wa jinsia moja Uganda.

Source:Msaada wa Marekani kwa Uganda - BBC Swahili - Habari
 
Liwalo na liwe, wasituletee mambo ya kijinga, ushoga uko uko marekani na si afrika
 
Ndo unamaanisha nini au nawe unaunga mkono kuliwa TIGO?

Namaanisha Waafrika tayari ni wajinga wakubwa sana hivyo wala haihitaji mtu awaletee ujinga.

Ujinga tayari wanao.

Mimi sijali kama mtu analiwa tigo yake. Si ni yake bana..

Sasa tigo aliwe mwingine, kuhemka uhemke wewe. Majanga!!
 
wew mbona unatetea ushoga?ni thread ya pili sasa nakuona unatetea...au nawe unapumuliwa kisogoni na wanaume wenzio


Mimi nimeisha- confirm hilo kuwa huyu ni bwabwa sasa nafuatilia IP yake kwa karibu ili nimfahamu nia ikiwa ni kuahakikisha kuwa tunawalinda watoto wetu dhidi ya watu hawa, kama watakakuolewa si uende tu kule kwao?
 
hivi huyu kerry si naye aolewe kama anaona ni jambo jema..mxxxx
 
Namaanisha Waafrika tayari ni wajinga wakubwa sana hivyo wala haihitaji mtu awaletee ujinga.

Ujinga tayari wanao.

Mimi sijali kama mtu analiwa tigo yake. Si ni yake bana..

Sasa tigo aliwe mwingine, kuhemka uhemke wewe. Majanga!!

Guys I smell something fish here, this guy is not ok
 
Jk nae bado anajifanya kukwepa maswali,nae ajiandae,watambana tu achague ushoga ama la miradi ya umeme ndo ifikie mwisho.
 
Back
Top Bottom