Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,634
- 697,869
Mshirika wa kukodi wa Putin kwenye vita yake na Ukraine anaelekea kumgeuka boss wake na hili likifanikiwa ni kwamba vita itakoma na ndio mwisho wa Putin!
Kuna kila dalili za hili kutokea haraka na muda pekee ndio utamuokoa putin kama akicheza karata zake vizuri dakika hizi za lala salama, Maana hapa si suala la cash tena bali ni timing tuu.. Mmarekani amesubiri Putin aanze kuishiwa ndio amlaghai Wagner group mshirika wa kukodi wa Putin
Putin ana wakati mgumu zaidi kwakuwa kwa purukushani za vita alijisahau na kumruhusu Wagner group afahamu mpaka asiyopaswa kufahamu.. Kinga za putin udhaifu na uimara wake vyote vimejulikana kwa Wagner group
Wagner group ushirika wake uko kwenye cash, pesa yako ndio itakufanya awe mshirika ama adui yako..! Pamoja na kwamba ataheshimu mikataba lakini mikataba huwa na kikomo! Na ukija mkataba mpya utakuja na masharti mapya! Hapa ndio Putin alipochemsha pengine
Kama Wagner group amekubali kuwa mshirika wa Marekani/NATO tuhesabu mwisho mbaya wa Putin pengine hata ule wa Saddam wa Iraq
Hii ni mbinu mbadala ya Mmarekani baada ya kupelekeshwa vilivyo na Putin.. Ni mziki kwenye medani za vita ambao Marekani hatakaa asahau! Na akimaliza hii vita kwa style hii atapumzika kidogo maana alichomfanya putin kimemdhoofisha na kumchosha mno..
Sent using Jamii Forums mobile app