Kigamboni iko Dar es salaam Tanzania, Wamarekani wamemilikishwa maeneo, hatutarajii wawe na hati ya kumiliki na tuendelee kuyaita yetu. Swali ni kwamba, hilo daraja lililoombwa ni kwa manufaa ya nani atakayekuwa akiishi huko Kigamboni? Mmarekani au mTZ?kigamboni iko dar iko marekani au kujenga daraja ndo imekuwa ya kwao?
mbona Waarabu wamepewa Loliondo au kwa vile Wamarekani si Waarabu?Hivi ni kweli Wamarekani wamezawadiwa eneo la kigamboni in exchange na ujenzi wa Daraja?
Swali langu: Hivi iwapo watajenga hilo daraja, litakuwa ni kwa faida ya waTanzania au wa Marekani watakaokuwa ndio wakazi? Je, iwapo hao waMarekani watajenga, je wakazi waTanzania wataendelea kuvumiliwa nao kwenye majengo yao hafifu au watahamishwa?
Nawakilisha
Hii siyo kupewa bali inaitwa development na hiyo kampuni inayofanya development wanaitwa developers. Hii ni kitu cha kawaida kwa Investor kuingia mkataba na serikali kuu au ya mikoa kufanya development. NSSF wanafanya development Kinyegeli, Mlimani city ni development na Botswana sasa kuna ubaya gani Investor wa marekani kufanya development!. Hii ni hali nzuri kwasababu serikali kazi yake si kujenga business bali kuweka hali nzuri kwa biashara kufanyika na pesa za serikali zitumike kwa maendeleo mengine ya kijamii kama barabara, afya, elimu n.k.
mbona Waarabu wamepewa Loliondo au kwa vile Wamarekani si Waarabu?
Hivi ni kweli Wamarekani wamezawadiwa eneo la kigamboni in exchange na ujenzi wa Daraja?
Swali langu: Hivi iwapo watajenga hilo daraja, litakuwa ni kwa faida ya waTanzania au wa Marekani watakaokuwa ndio wakazi? Je, iwapo hao waMarekani watajenga, je wakazi waTanzania wataendelea kuvumiliwa nao kwenye majengo yao hafifu au watahamishwa?
Nawakilisha
mAREKANI WAMENUNUA KIGAMBONI! KITAMBO HATA KAMA HUTAKI NDO HIVYO HII NDO SILIKALI!
Uwekezaji gani anafanya yule mwana mfalme kule Loliondo? Kuchukua wanyama wetu na kuwapeleka Uarabuni kunaitwa kuwekeza?Loliondo iko wapi? Uarabuni? wamepewa kivipi? au wamewekeza na wanalipia kodi zote zinazohusu uwekezaji? hebu fafanuwa.
nawakaribisha sana nyumbani...WELCOME.zaidi ya yote wacha waweke military camp.
Kuna mada nyingine huwa zinadanya mtu u-question level ya uelewa wa baadhi ya member
Naomba ninyamaze