Huwez nielewa,sabab,to u am speakin virtualy...sawa hiz ni stor za kwenye vijiwe,..nafaham waswahil ni ngum sana kusoma,ila ungekua umeenda shule na kusoma whats goin on dunian hapa,kwa mtazamo mwingne ungenielewa.ila bado.huwez elewa,..u believ what u see n hear,ila hauko numerical strategic,sio mchambuz,hiv unadhan sabab ya WW1 n WW2 ilikua nin,?i dont wana skia sabab ulizofundwa darasa la 7 or form 4 or six,sabab those r wat u wer supozd to hear n keep in mind,..lakin wajuz wa mambo watakueleza vzur,na hzo sabab ndo hizo hizo zilizopo sasa na ndo ztasababisha WW3,.lakin kwa context nyingne,ila najua huwez elewa na utaishia kusema stor za vijiwen.Iyo kuWipe dunia eti ianze moja sijui blah blah ni story za kwenywe vijiwe vya kahawa. Hapa sio hapa sio mahali sahihi.
Hivyo ulivosema ni kuhusu America ni kweli na vinaaaply kwa nchi yoyote...kama Marekani angekua ivo unavodai mbona hakushinda vita Ya Vietnam?? Mbona hakushinda vita ya Korea ya 1950-53??
Marekani ana kila kitu kinachohitajika ktk vita ila anakosa kitu kimoja muhimu MORALI !
Hao wakomunisti "wamekunywa maji ya chama"....wewe ata ukienda na AK-47 yeye ana MANATI still atakubutua tu! Morale! Morale!
Kuhusu Nukes... fatilia zaidi ujue Nukes zinatumika wakati gani.
Kumbuka 1945, IMPERIAL Japan ilikua haikamatiki ktk WW2 bila kutumia Nukes Marekani ingekua colony la IMPERIAL JAPAN!
Ilikua ngumu sana kwa Imperial Japan kusurrender ile vita ambayo alikua ameicontrol...wengi wao waliishia kujiua badala ya kusurrender!
ASIANS wana morali sana!
Alaa,wenzio washafika mars mkuu,..anyways kuhusu mars sina uhakika.lakin therz somthn biig goin on abt space missions.na ni siri tokea 1960.Kaka underground bunker za hapa duniani hazitosaidai,mwenyewe unakiri kuwa dunia haitakuwa na uhai for several decades.....
Na kuhusu kwenda Mars, ni ngumu sana with the available technology it will take years for the fastest plane or whatever rocket to reach Mars
Siri wewe umejuaje wabongo bhnAlaa,wenzio washafika mars mkuu,..anyways kuhusu mars sina uhakika.lakin therz somthn biig goin on abt space missions.na ni siri tokea 1960.
We huwez jua,si mvivu wa kusoma,..ila ukisoma na kusikiliza wengne wanaongea nin utafaham meng,hata miaka ile tulipokua tunawaambia kuhusu escrow,or madin kuibiwa or wakwepa kod maaruf na majina tunataja,mlikua mnakenua hivyo hivyo meno,..wabongo watu wa ajab sana,sjui ni elim mbov inafanya watu wasielimike au ni ujinga tuu?..ndomana rais anapata shida sana kuongoza hii nchi,wajinga wengSiri wewe umejuaje wabongo bhn
Wewe usitumie kigezo cha kusoma nipe fact acha porojoWe huwez jua,si mvivu wa kusoma,..ila ukisoma na kusikiliza wengne wanaongea nin utafaham meng,hata miaka ile tulipokua tunawaambia kuhusu escrow,or madin kuibiwa or wakwepa kod maaruf na majina tunataja,mlikua mnakenua hivyo hivyo meno,..wabongo watu wa ajab sana,sjui ni elim mbov inafanya watu wasielimike au ni ujinga tuu?..ndomana rais anapata shida sana kuongoza hii nchi,wajinga weng
The uncertenity abt wht will the world left off after the nukes war, bring us back to sqr 1 US and Russia will never any time soon (atleast this and the next century) fight a real war. deSpites the ideological differences and disagreement in all most everything.Alaa,wenzio washafika mars mkuu,..anyways kuhusu mars sina uhakika.lakin therz somthn biig goin on abt space missions.na ni siri tokea 1960.
Kwanza ulishawai ona speech ya kennedy 1961 aliongea nin kuhusu space mission,..na ulishawai jiuliza kwa mwaka US wanatumia pesa ngap kwa project hzo?na ulishawai jiuliza ni attempt ngap zmewai fanywa kufika huko ,na unajua kua kuna matajir marekan wame invest privately kwenye space mission na wanaplan za kufanya shugul za utalii huko,na ulishawai ona images z kutoka huko mwenzio niliziona nilipokua form1..unajua huko kuna stations had za kujaza mafuta ya spaceships zao,..y doin all these,na mengne meeng ambayo kwakua huyajui wala kuskia nkisema hapa ndo utaona porojo kabsaa,bora usiyajuage tuuWewe usitumie kigezo cha kusoma nipe fact acha porojo
Sio akafanyie Florida beach brother?Hawawezi kufanya hivyo kwa sababu wanajua madhara yake mkuu!!!
BigUpKiduku next time fanya mazoezi ya makombora pale long beach..bahamas na kwingineko!!
They just planting things in your mind that u can't even urgue yourself, poor you.Kwanza ulishawai ona speech ya kennedy 1961 aliongea nin kuhusu space mission,..na ulishawai jiuliza kwa mwaka US wanatumia pesa ngap kwa project hzo?na ulishawai jiuliza ni attempt ngap zmewai fanywa kufika huko ,na unajua kua kuna matajir marekan wame invest privately kwenye space mission na wanaplan za kufanya shugul za utalii huko,na ulishawai ona images z kutoka huko mwenzio niliziona nilipokua form1..unajua huko kuna stations had za kujaza mafuta ya spaceships zao,..y doin all these,na mengne meeng ambayo kwakua huyajui wala kuskia nkisema hapa ndo utaona porojo kabsaa,bora usiyajuage tuu
Anyways kuhusu mrus na mmarekan kupigana ni kwel sio leo wala kesho,..hawa ni wazungu wana akil,..tatzo huyu mapank hana akil..ndo anaetupa waswas,The uncertenity abt wht will the world left off after the nukes war, bring us back to sqr 1 US and Russia will never any time soon (atleast this and the next century) fight a real war. deSpites the ideological differences and disagreement in all most everything.
Hawa siku zote wapo kwenye vita vya chini chini kutaka kuharibia mambo kisiasa,kiuchumi na hata kujaribu chonganishiana watu wao kwa wao eg the corrapse of USSR, marekani wamehusika sana ku snitch + migororo isiyo isha huka kwenye maifa yaliomekuga kutoka USSR.... Pia unaona Rassia anavyo shutumiwa ku manipulate uchaguzi wa US uliompa Trump ushindi.
Tutakwisha kwa hayo madude yao ya nuclear.America ana air superiority over DPRK but when it gets onto the Ground, that shit will be a bloody mess.
I cant wait to witness the WW3.
Ila mimi nataka America aanze kuishambulia DPRK ili China aingilie kati...mana China ameweka wazi kua kama DPRK akilianzisha yupo mwenyewe ila America akilianzisha China lazima aingilie kati. Kumbuka Vita ya Korea 1950-53.
So tuimagine America ndo kalianzisha...so ngoma itakua hivi
North Korea feat China& Russia vs United States feat United Kingdom, France, Canada Japan South Korea Italy etc
Sasa sio WW3 hiyoo?
What things?try to be analytical,..cant waste my time here..i gave u the facts,vividly,..now u come up wit crapy stuffs et they r plantin things,..what things?[emoji23][emoji23],get ua shit together bro or take a nap.They just planting things in your mind that u can't even urgue yourself, poor you.
Hahahahahaha ok thanks for your timeWhat things?try to be analytical,..cant waste my time here..i gave u the facts,vividly,..now u come up wit crapy stuffs et they r plantin things,..what things?[emoji23][emoji23],get ua shit together bro or take a nap.
Labda tuishe KIUCHUMI lakini madhara ya moja kwa moja ya vita kama vifo na majeruhi hatuwezi kuyapata maana vita itapiganwa huko Asia....Tutakwisha kwa hayo madude yao ya nuclear.
ktk miaka 30,marekani amekuwa akitest bunjers ktk vita na muarabu kwa mafanikio makubwa sana.nchi ndogo km sweden,finland, norway, israel wamekuwa na bunker za kutosha raia wao, na maghala ya chakula kuweza support watu kwa zaidi ya miaka 5. Pia wana hifadhi mbegu nyingi wanazojua zitaangamizwa in case of nuclear winter. Urusi na marekani wan amitambo ambayo ikikosa mawasiliano ya binadamu kwa dkk kadhaa ,basi ilipue makombora yaliyo mwezini, ardhini kwa ardhi kufunguka na kuruhusu makombora kupiga preset targets.Kaka underground bunker za hapa duniani hazitosaidai,mwenyewe unakiri kuwa dunia haitakuwa na uhai for several decades.....
Na kuhusu kwenda Mars, ni ngumu sana with the available technology it will take years for the fastest plane or whatever rocket to reach Mars
Tatizo Nukes haziwezi kutumika kizembe kama mnavyodanganywa kwenye vijiwe vya kahawa!Kweli kaka ni 000 si 00 kama nilivyokosea.
US+Russia =15000+ nukes enough nukes kuchoma dunia na mwezi wake, sasa sijui atakae win ataenda wapi??
Au atahamia sayari ya Utaridi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huyo Iran hana uwezo wa kusumbuana na America hata kidogo.anayeweza kukoleza pambano sio NK, bali ni iran na Russia hizi inchi hazitamwacha mmarekani salama lazima zitamsumbua sana.... mara zote Russio huingikia ugomvi kama huu akimpinga mmarekani na hapo ndio patakuwa hatari zaidi.... Ingekuwa ni NK peke yake hilo wala sio la kuwaza ni chuma kimoja tu panakuwa kimya.
hii sio vita ya kuombea hata kidogo, maana haitakuwa ya bunduki na waathirika watakuwa ni wengi kuliko inavyotazamiwa.
Acha stori za kwnye vijiwe vya kahawa.ktk miaka 30,marekani amekuwa akitest bunjers ktk vita na muarabu kwa mafanikio makubwa sana.nchi ndogo km sweden,finland, norway, israel wamekuwa na bunker za kutosha raia wao, na maghala ya chakula kuweza support watu kwa zaidi ya miaka 5. Pia wana hifadhi mbegu nyingi wanazojua zitaangamizwa in case of nuclear winter. Urusi na marekani wan amitambo ambayo ikikosa mawasiliano ya binadamu kwa dkk kadhaa ,basi ilipue makombora yaliyo mwezini, ardhini kwa ardhi kufunguka na kuruhusu makombora kupiga preset targets.
Wambie hawa,...kuna watu hawafaham mambo,wakiskia haya watakwambia ni stor za kawaha...tell emktk miaka 30,marekani amekuwa akitest bunjers ktk vita na muarabu kwa mafanikio makubwa sana.nchi ndogo km sweden,finland, norway, israel wamekuwa na bunker za kutosha raia wao, na maghala ya chakula kuweza support watu kwa zaidi ya miaka 5. Pia wana hifadhi mbegu nyingi wanazojua zitaangamizwa in case of nuclear winter. Urusi na marekani wan amitambo ambayo ikikosa mawasiliano ya binadamu kwa dkk kadhaa ,basi ilipue makombora yaliyo mwezini, ardhini kwa ardhi kufunguka na kuruhusu makombora kupiga preset targets.