Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,970
- 146,269
Umenielewa kwanza nilichokwambi?
Kukuelewa vipi?
Umenielewa kwanza nilichokwambi?
Kwamaana hiyo kumbe hata gaza huijui,wakimbilie maeneo salama yapi?
in case kama hujui gaza ina ukubwa kama eneo la mnazi mmoja,na mashambulizi yalikua yanatokea kila upande,na incase kama hujui gaza imefungwa,
Ukweli ni kuwa hapakuwa na sehemu salama,israel walikua wanasema ondokeni huku hamieni huku kisha wanakoambiwa kuhamiwa ndo panashambuliwa.Dont copy to HAMAS kulikuwa na safe heaven ambazo walipewa maelekezo HAMAS wakawazuia ili wapate sifa ni kweli waliwafanya Human shield.
udini hafai na hausaidii,marekani hawako kidini zaidi wako ki interest zaidiNa nyie askari wa Allah kwanini msiwaze mbali? Inaonekana wafuasi wa Mtume Paulo wamewazidi akili. Huu ni msiba. Hivi nyie, mtaendeshwa na kutawalia na wafuasi wa Mtume Paulo mpaka lini?
Hakika Paulo ni kiboko ya Uislam wote mpaka karne zijazo.
Ila hii inakubalika?.Kusema ukweli kwa dunia yetu ya leo misimamo mikali ya kidini haiwezi kuendana wala kukubalika kwenye dunia ya kistaarabu ya leo
Mgogoro huu unajengwa sana ionekane ni isis vs us lakini si sahihi sana
Wamechinjwa wamarekani wawili tu hadi hivi sasa na kuwa gumzo lakini tunasahahu maelfu kwa maelfu wanaochinjwa kama kuku na isis
Bila kujali isis ilianzaje lakini hakuna namna dunia inaweza kukaa kimya kwa unyama unaofanya na isis dhidi ya wakurd, wakristo na dini zingine baada ya kutamgwaza dola la kiislam
Nawapenda waislam lakini siipendi vitabu vyao sababu nje ya muislam vitabu vyao havitambui dini zingine kama wanahaki na kuwaona takataka
Ukiona jinsi isis wanavyohukumu na adhabu wanazotoa huwezi kuamini kama hii ni dini ama nini
Kuchinja watu hadharani na kuninginiza vichwa vyao mjini, kuuwa watu hovyo hovyo......no way bana haikubaliki kabisa
Na kumbuka hapo wanauwana wao kwa wao. Kufundisha chuki watoto dhidi ya dini zingine nk
Hawa jamaa kusema ukweli walitakiwa wakakae kwenye sayari yao peke yao labda wangeelewana
Mkuu unasemea vitabu kama hiki cha samweli?.Kusema ukweli kwa dunia yetu ya leo misimamo mikali ya kidini haiwezi kuendana wala kukubalika kwenye dunia ya kistaarabu ya leo
Mgogoro huu unajengwa sana ionekane ni isis vs us lakini si sahihi sana
Wamechinjwa wamarekani wawili tu hadi hivi sasa na kuwa gumzo lakini tunasahahu maelfu kwa maelfu wanaochinjwa kama kuku na isis
Bila kujali isis ilianzaje lakini hakuna namna dunia inaweza kukaa kimya kwa unyama unaofanya na isis dhidi ya wakurd, wakristo na dini zingine baada ya kutamgwaza dola la kiislam
Nawapenda waislam lakini siipendi vitabu vyao sababu nje ya muislam vitabu vyao havitambui dini zingine kama wanahaki na kuwaona takataka
Ukiona jinsi isis wanavyohukumu na adhabu wanazotoa huwezi kuamini kama hii ni dini ama nini
Kuchinja watu hadharani na kuninginiza vichwa vyao mjini, kuuwa watu hovyo hovyo......no way bana haikubaliki kabisa
Na kumbuka hapo wanauwana wao kwa wao. Kufundisha chuki watoto dhidi ya dini zingine nk
Hawa jamaa kusema ukweli walitakiwa wakakae kwenye sayari yao peke yao labda wangeelewana
Wako kidini sana tu,sema wao ni simba mwendapole.anakuchekea na kukupa maneno laini huku anakumaliza.udini hafai na hausaidii,marekani hawako kidini zaidi wako ki interest zaidi
![]()
Wanajeshi wa muungano kutoka mataifa washirika wanakabiliana na wapiganaji wa IS Syria
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema inafanya kila iwezalo kuzuia wapiganaji wa ISIL kuudhibiti mji wa Syria Kobane.
Lakini mwenyekiti wa wakuu wa jeshi la pamoja, Jenerali Martin Dempsey, amesema wanamgambo hao wamekuwa wakijifunza jinsi ya kukwepa makombora ya angani.
Jeshi la Marekani linasema linaamini Wakurdi bado wanadhibiti sehemu kubwa za mji huo licha ya kushambuliwa pakubwa hapo jana.
Ufaransa imeunga mkono pendekezo la Uturuki kuunda eneo litakalodhibitiwa kiusalama katika mpaka wake na Syria ili kujilinda na pia kuwasaidia wakimbizi wa Syria.
Jenerali mstaafu Wesley Clark awali aliyehudumu kama kamanda wa juu wa jumuiya ya kujihami
NATO kwa Ulaya, amesema ana imani kwamba operesheni dhidi ya IS hatimaye itafaulu.
Chanzo:BBC
http://www.bbc.co.uk/ /habari/2014/10/141009_marekani_kobane
Wako kidini sana tu,sema wao ni simba mwendapole.anakuchekea na kukupa maneno laini huku anakumaliza.
Goja ntajaribu kutafuta namna unielewe.Kuna wakati huwa sikuelewi tu!
Hivi ndivo hao jamaa walivyoanza kuingia syria,ilikua ni mwaka jana mwezi wa nane,2013,walikuwa miongoni mwa kikundi cha highly trained comando kama 3000,wakiwa wamefundishiwa jordan na wamarekani.mda huo mwezi agost general dempsey,mkuu wa majeshi ya marekani alikuja aman jordan kuzindua underground warroom to fight assad.ISIL ni zao la Marekani waliandaliwa kwa ajili ya kuiondoa sekali ya syria, baadae wakageuka.
Sasa sijui umenielewa angalau kidogo,maana umenipa kazi kubwa kweli.Kuna wakati huwa sikuelewi tu!
What is America benefiting in Syria?udini hafai na hausaidii,marekani hawako kidini zaidi wako ki interest zaidi