Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.
Kafa,kafariki,katutoka,ametangulia yote kwa yote ni kitu kimoja,Ukweli mnajichanganya kwa kauli hiyo. labda ui-tengeneze upya.
Hapo kwenye nyekundu nafikiri ulitaka kusema you are contradicting yourself. Ok, lakini nimekuelewa. Kwani mimi ndo nimesema marekani ana kazi ngumu? aliyesema hivyo mi ndo nimemjibu marekani ni ISIS mkuu.
 
Mkuu, mbona unapenda sana mambo ya udini? huoni humu hata wakristu wanaitetea syria? hapa tunaongea facts na unyama wa marekani. Naomba sana husiingize mambo ya imani za kidini mkuu.

Unafiki mwingine bana! Kama unaitetea syria ungepinga mauji yanayofanywa na ISIS, na ungeishukuru marekani na washirika wake wakiwemo waarabu wenyewe kwa jitihada wanazofanya kukomesha mauaji ya wakurd na shia yanayotekelezwa na IS, usingekuwa mnafiki na chuki zako kwa US ungeombea marekani na washirika wake waongeze jitihada za kukisambaratisha kabisa hicho kikundi make bila hivyo hali itakuwa mbaya zaidi na serikali ya syria itachukuliwa na hao IS, sasa kurd na shia na wakristo wataishije?!
 
Hivi rais wa kwanza wa msumbiji anaitwa nani mkuu?
 
Hapo kwenye nyekundu nafikiri ulitaka kusema you are contradicting yourself. Ok, lakini nimekuelewa. Kwani mimi ndo nimesema marekani ana kazi ngumu? aliyesema hivyo mi ndo nimemjibu marekani ni ISIS mkuu.

Toa ushahidi usiopingika na wenye mantiki kwamba Marekani ni ISIS.

Na kama Marekani ni ISIS, kwa.nini ISIS inaua raia wa Marekani na ku undermine Marekani katika kampeni ya media propaganda?

What's next? The Ayatollah and Kim Jong Un work for the C.I.A?
 
Mkuu, mbona unapenda sana mambo ya udini? huoni humu hata wakristu wanaitetea syria? hapa tunaongea facts na unyama wa marekani. Naomba sana husiingize mambo ya imani za kidini mkuu.

No one wants to see people dying. That is what exactly America is doing. It is Azard and his enemies are killing one another. Why can't they see this?

Nevertheless, religious is involved since ISIS is an Islamic institution and you can not and will never separate them from their belief. They always say Allahu Akbar after they kill one another.

FOUR Islamic State (ISIS) terrorists arrested in Texas in the last 36 hours
 
Tuondelee upuuzi wako,unadhani kila mda ni kusikiliza ugoro.
Now you know that Apostle Paul is more powerful than your deity and his clergy. It is FYI. You don't need to reply and or impugn me.

By the way, thank you for comparing your religion na "upuuzi na ugoro". Msiba huo.
 
No one wants to see people dying. That is what exactly America is doing. It is Azard and his enemies are killing one another. Why can't they see this?

Nevertheless, religious is involved since ISIS is an Islamic institution and you can not and will never separate them from their belief. They always say Allahu Akbar after they kill one another.

FOUR Islamic State (ISIS) terrorists arrested in Texas in the last 36 hours

Kwaiyo rafiki zile ndoa za jinsia moja unaweza kukubaliana nazo kwa sababu tu zinafanyika kanisani na kwa taratibu zote za kikristo?
 
Toa ushahidi usiopingika na wenye mantiki kwamba Marekani ni ISIS.

Na kama Marekani ni ISIS, kwa.nini ISIS inaua raia wa Marekani na ku undermine Marekani katika kampeni ya media propaganda?

What's next? The Ayatollah and Kim Jong Un work for the C.I.A?

Kwani kaka lile shambulio la 9/11 kule marekani hadi leo hii bado unaamini lilfanywa na Osama?
 
Halafu huwa najiuliza hivi kwanini baadhi ya wakristo huwa wakari mtu anaposema maovu ya Marekani?Yani utakuta wanaitetea kushinda hata atakapo sikia nchi yake ikisemwa vibaya,kwani kuna mahusiano gani kati ya Marekani na Ukristo?
 
Hakuna hata sehemu moja kwenye Biblia inayo kuruhusu kufanya hivyo. Mbona na nyie mnazo nyingi ndoa za aina hizo. Ukristo hauruhusu Ushoga. Kama unabisha niletee aya hapa nione. Imam Daayiee Abdullah welcomes gay Muslims to worship ...

"They always say Allahu Akbar after they kill one another."

Kauli yako hiyo ndiyo iliyonifanya nami kukuuliza swali hilo, sasa labda wewe nawe unipe aya yenye kuruhu hayo wanayoyafanya ISIS.
Na kama ukiweza kutoa aya yenye kuruhusu ushoga basi si mbaya ukajaribu kunipa.
 
The Quran (2:216) clearly says fighting in jihad war is ordained for Muslims.Fighting jihad (and killing kuffar) for Allah is ordained for you.

It is in your best interest even if you hate it.
Any Muslim disobeying this order of Allah for waging jihad against the kafirs is to be punished because he is a kafir.

Quran 9.38:You who believe! What is the matter with you, that when you are asked to march forth for jihad for Allah, you cling heavily to the earth?

Quran 9.39:If you will not go forth to fight in the cause of ALLAH, you will be given a painful punishment.It is the duty of a Muslim to kill kuffar:9.5 Kill kuffar wherever you find them.

Last edited by a moderator:
Acha kuingiza udini, hili analofanya marekani sasa kwa Syria hata tz yakuja kutokea, kwa sababu tuna madini,gas,mafuta na uranium na mbaya zaidi tumemkumbatia mchina.
 
The Quran (2:216) clearly says fighting in jihad war is ordained for Muslims.Fighting jihad (and killing kuffar) for Allah is ordained for you.

It is in your best interest even if you hate it.
Any Muslim disobeying this order of Allah for waging jihad against the kafirs is to be punished because he is a kafir.

Quran 9.38:You who believe! What is the matter with you, that when you are asked to march forth for jihad for Allah, you cling heavily to the earth?

Quran 9.39:If you will not go forth to fight in the cause of ALLAH, you will be given a painful punishment.It is the duty of a Muslim to kill kuffar:9.5 Kill kuffar wherever you find them.

Katika John 2;4 Yesu alitamka hivi kwa mama yake;_
“WOMAN, what do you want from me?"
Yani ametumia neno "Woman" kumwita mama yake,Je ninaweza kusema Yesu hakuwa na heshima kwa mama yake? Naomba jibu la ndiyo au hapana.
 
Last edited by a moderator:
Katika John 2;4 Yesu alitamka hivi kwa mama yake;_
"WOMAN, what do you want from me?"
Yani ametumia neno "Woman" kumwita mama yake,Je ninaweza kusema Yesu hakuwa na heshima kwa mama yake? Naomba jibu la ndiyo au hapana.
Because Mary was just a woman used to carry Jesus. Jesus is God, don't you know that. Mary was just vessel used to carry Jesus.
 
Kwani kaka lile shambulio la 9/11 kule marekani hadi leo hii bado unaamini lilfanywa na Osama?

Sitaki kuamini, nataka kujua.

Tuambie unachojua.

What's next? Let me guess, Mmarekani hajaenda mwezini, it's all a big hoax right?
 
Because Mary was just a woman used to carry Jesus. Jesus is God, don't you know that. Mary was just vessel used to carry Jesus.

Sikukwambia utoe maelezo,nilikwambia ujibu kuwa ni ndiyo au hapana.
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Tuambie unachojua.

What's next? Let me guess, Mmarekani hajaenda mwezini, it's all a big hoax right?

Haya ngoja nikuwekee swali langu vizuri,Je wewe unavyofahamu lile shambulio la 9/11 lilifanywa na nani?
 
Sikukwambia utoe maelezo,nilikwambia ujibu kuwa ni ndiyo au hapana.

Let me see who is smart-when one person suffers from delusion, it is called insanity; When many people suffer from delusion, it is called.........
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom