Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.
Let me see who is smart-when one person suffers from delusion, it is called insanity; When many people suffer from delusion, it is called.........

Hivi kweli hunielewi nachosema au unakwepa maksudi?
 
Swali hapa ni vipi marekani wanashindwa kuwacontain isis?,ni wanashindwa ama hawataki ,wana malengo mengine.
 
Hivi kweli hunielewi nachosema au unakwepa maksudi?
Swali lako halikuwa la Yes or No. Jifunze basi hata kuuliza maswali. If that is hard, how will you be able to comprehend and answer questions?

If you are a madrassa teacher, you are the worst one ever.
 
Sifahamu.

Lilifanywa na nani?

Vyombo vya habari vilikuwa vikitangaza lile tukio kuwa ni shambulizi la kigaidi lililofanywa na Al-Qaida,lakini sasa hukuhuko marekani ukweli umeanza kujulikana kuwa lile shambulio lilikuwa ni "Inside job".

Na pia huyohuyo marekani na washirika wanzake walivamia Iraq kwa kusingiza kwamba Saddam Hussein anamiliki silaha za maangamizi kumbe ni uzushi.
 
Ukipata muda, fungua na usome kilichomo kwenye link hii >>>>The March to War: Fighting ISIL is a Smokescreen for US Mobilization against Syria, Iran | Global Research

Ukimaliza kusoma utakuwa umejua kinachoendelea juu ya IS na US....sitaki uamini nataka ujue kinachoendelea.

Kwa nini unafokiri nahitaji kusoma?

Unaweza kuelezea kilichomo humo kwa maneno yako?

Ni wapi katika makala hayo imeandikwa kwamba US ndiyo iliyoumba ISIL?

Wewe umesoma unachoniambia nisome?

ISIL's central ideal, a world caliphate, predates the United States and as a matter of fact goes back to the Crusades.

Were the crusades also created by the US?

What's next?

Was Ebola also created by the US?
 
Swali lako halikuwa la Yes or No. Jifunze basi hata kuuliza maswali. If that is hard, how will you be able to comprehend and answer questions?

If you are a madrassa teacher, you are the worst one ever.

Unaona sasa unavyopata shida kujibu hilo swali na kulazimisha kutoa maelezo!
Sababu kubwa ya mie kuuliza swali hivyo ni kukuonesha jinsi ambavyo wewe umefanya,umeleta Aya za Qur'an pasina kuzielewa na ukazieleza utakavyo wewe ili ionekane kwamba Uislamu unafundisha Ugaidi.
 
Vyombo vya habari vilikuwa vikitangaza lile tukio kuwa ni shambulizi la kigaidi lililofanywa na Al-Qaida,lakini sasa hukuhuko marekani ukweli umeanza kujulikana kuwa lile shambulio lilikuwa ni "Inside job".

Na pia huyohuyo marekani na washirika wanzake walivamia Iraq kwa kusingiza kwamba Saddam Hussein anamiliki silaha za maangamizi kumbe ni uzushi.

Thibitisha kwamba ni inside job.

Ninaposema thibitisha, maana yangu ni kwamba thibitisha, usinipe ki link.cha some cinspiracy theory crackhead quasi scholar who says George Bush is a lizard or some pungent poo poo like that.
 
.......

What's next?

Was Ebola also created by the US?

Here we go>>>>>

Natural News said:
(NaturalNews)

The U.S. Centers for Disease Control owns a patent on a particular strain of Ebola known as "EboBun." It's patent No. CA2741523A1 and it was awarded in 2010. You can view it here. (Thanks to Natural News readers who found this and brought it to our attention.)

Patent applicants are clearly described on the patent as including:

The Government Of The United States Of America As Represented By The Secretary, Department Of Health & Human Services, Center For Disease Control.

The patent summary says, "The invention provides the isolated human Ebola (hEbola) viruses denoted as Bundibugyo (EboBun) deposited with the Centers for Disease Control and Prevention ("CDC"; Atlanta, Georgia, United States of America) on November 26, 2007 and accorded an accession number 200706291."

SOURCE:Why does the CDC own a patent on Ebola 'invention?' - NaturalNews.com
 
Thibitisha kwamba ni inside job.

Ninaposema thibitisha, maana yangu ni kwamba thibitisha, usinipe ki link.cha some cinspiracy theory crackhead quasi scholar who says George Bush is a lizard or some pungent poo poo like that.

Kabla ya kuthibitishiwa kwanza naomba unieleze uelewa wako juu ya tukio hili 9/11
 
All middle east wil burn.....IRAK will fall soon IS wamekalibia bagdàd na bado wanakaribia Turkey ...mchezo uliochezwa awali bila kujua kua ASSAD alikua akipigana na magaidi sasa ndo wameamin lakin ni ngumu kumeza....IS is an uncontrollable organization formed by many actors incĺuding alqaeeda alnusra front and many numbers from volunteers around the global...walidhan kuwapa waasi wa Syria na kuwasaidia ndo watakua wanamkomoa ASSAD kumbe imegeuka mfano upande wa Uturuki waasi ndo wanashikilia maeneo meñgi simply bcoz Turkey was aiding rebels ata ku down syria warplane pale Assad alipokua akiwapiga waasi na upande wa pili kule Golan height waasi nao wanapewa siraha na Israel ili kuyapiga majeshi ya Syria na juzi wakati majeshi ya syria yakipambana na waasi Israel iliidungua ndege ya syria eti imekaribia mpakan mwake nauku inachokifanya Syria nikuwateketeza magaidi same as ant IS colition inachokifanya Syria na Irak so apa tunaona fighting IS ni kiini macho tu kwan at the same time US inapiga IS na same tim inawapa waasi wa syria silaha na training ili wa fight majeshi ya serikal na IS...IS watachukua maeneo makubwa sana ya ardhi na pia vijana wengi wamevutiwa wengi from ULAYA CANADA AUSTRALIA nk
 
Mrekani ndo wameijenga ISIS, wanafanya kiini macho.

Disturbing the peace ule mafuta ya bure.
 
Hata mimi huwa nashangaa sana baadhi ya waislamu huwa wakali sana hata kukutukana matusi ya nguoni kama utawaambia historia kuwa waarabu walikuwa wanafanya biashara ya watumwa na kuwa babu zetu walikuwa wanafunga minyororo na kwenda kuwauza,Hata tu ukiwaambia Udhaifu tu wa waarabu wao hukasirika sana na kuanza kutoa matusi na kukuambia wewe una UDINI,Utafikiri wao ni mabarozi wa Saudia au Iran nchini Tanzania sijui kwa nini huwa wanajivua UFAHAMU kiasi hicho?????
Halafu huwa najiuliza hivi kwanini baadhi ya wakristo huwa wakari mtu anaposema maovu ya Marekani?Yani utakuta wanaitetea kushinda hata atakapo sikia nchi yake ikisemwa vibaya,kwani kuna mahusiano gani kati ya Marekani na Ukristo?
 
Hata mimi huwa nashangaa sana baadhi ya waislamu huwa wakali sana hata kukutukana matusi ya nguoni kama utawaambia historia kuwa waarabu walikuwa wanafanya biashara ya watumwa na kuwa babu zetu walikuwa wanafunga minyororo na kwenda kuwauza,Hata tu ukiwaambia Udhaifu tu wa waarabu wao hukasirika sana na kuanza kutoa matusi na kukuambia wewe una UDINI,Utafikiri wao ni mabarozi wa Saudia au Iran nchini Tanzania sijui kwa nini huwa wanajivua UFAHAMU kiasi hicho?????

Kweli sijajua kwanini wanakuwa hivyo lakini pengine labda wanaona si haki kwamba wazungu ambao ndiyo walikuwa wafanyaji wakubwa wa biashara ya utumwa lakini historia imegeuzwa na kuonekana waarabu ndiyo walikuwa wafanyajiwakubwa wa biashara hizo..mie naona itakuwa hivyo sijui wewe unaonaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom