Marekani ina kibarua kigumu Syria

Marekani ina kibarua kigumu Syria

Status
Not open for further replies.
Sina uelewa, nipe wewe.

Halafu thibitisha.

Tatizo lako siku zote ni moja kwamba unasemaga unataka uthibitisho ila huwa pengine huelewi uthibitisho ama ushahidi ni nini au pengine huwa unafanya kusudi kama kawaida,Sababu watu humu wameshakupa ushahidi ila hadi sasa kama kawaida bado unadai uthibitisho.
 
Nimekuuliza maswali, hujayajibu.
 
Unaona sasa unavyopata shida kujibu hilo swali na kulazimisha kutoa maelezo!
Sababu kubwa ya mie kuuliza swali hivyo ni kukuonesha jinsi ambavyo wewe umefanya,umeleta Aya za Qur'an pasina kuzielewa na ukazieleza utakavyo wewe ili ionekane kwamba Uislamu unafundisha Ugaidi.
Of course your religion supports and promote that and you cannot impugn that.

"Strive hard against the unbelievers and the hypocrites and be unyielding to them; and their abode is hell, and evil is their destination."
Quran 9:73

[h=2]Proven facts: no arguments.[/h]
1. Islam terrorist groups have contributed to the highest percentage out of all terrorist organizations in the world.

2. Sharia law itself gives codes to divide people on the basis of Muslim and Non-Muslims.

3. Totally violates basic human rights.

4. Inhumane punishment code .

5. Religious unrest is the marked symptom in cultures where non-Muslims and Muslims share same land.
 
Babu yangu2.jpg Mimi naona kuwa mna kazi ngumu sana ya kuwasafisha hawa watu maana la kuvunda halihitaji Ubani,Mtasingizia nchi za magharibi kila kitu lakini ISIL wakiwabana mnasema ni zao la nchi za magharibi mkizidiwa mapiga mnaomba tena msaada kwao wawasaidie kuwaondoa hao ISIL,SASA HAPO NANI MJINGA??????Hawa watu wana Laana toka kwa Babu yangu waliyemteka na kumpeleka Utumwani.Ndiyo maana wana mali lakini wanashindwa kuitumia ipasavyo wanabaki kulalama tu na kusingizia nchi za Magharibi.
Kweli sijajua kwanini wanakuwa hivyo lakini pengine labda wanaona si haki kwamba wazungu ambao ndiyo walikuwa wafanyaji wakubwa wa biashara ya utumwa lakini historia imegeuzwa na kuonekana waarabu ndiyo walikuwa wafanyajiwakubwa wa biashara hizo..mie naona itakuwa hivyo sijui wewe unaonaje?
 
Mimi naona kuwa mna kazi ngumu sana ya kuwasafisha hawa watu maana la kuvunda halihitaji Ubani,Mtasingizia nchi za magharibi kila kitu lakini ISIL wakiwabana mnasema ni zao la nchi za magharibi mkizidiwa mapiga mnaomba tena msaada kwao wawasaidie kuwaondoa hao ISIL,SASA HAPO NANI MJINGA??????Hawa watu wana Laana toka kwa Babu yangu waliyemteka na kumpeleka Utumwani.Ndiyo maana wana mali lakini wanashindwa kuitumia ipasavyo wanabaki kulalama tu na kusingizia nchi za Magharibi.
Hujui hata unachokisema,anyway ngoma mbona bado mbichi,itawachukua marekani miaka 30 hapo kwani history itajirudia isis watamgeuka mmarekani kama osama alivyowageuka,kwahiyo furaha yako ni bure,hii ngoma utazeeka na kufa na kuiacha iko on,sijui wamarekani wangapi watachinjwa kama kuku masikini.
 
Nakushangaa wewe unayesema wamarekani wangapi watachinjwa kama kuku wakati hujui kuwa hao ISIS wameua waarabu wa Iraq na Syria maelfu hiyo hakuiona lakini umeona wale maskini waandishi wa habari waliochinjwa ambao hawazidi hata 5 ukawapa rate kubwa kuzidi maelfu ya waarabu wanaochinjwa kama kuku huko,Bila shaka hata picha wewe umeziona ISIS walivyokuwa wanawaangamiza askari wa Iraq waliowateka,kwa haraka haraka nimeona wewe hudhamini utu wa waarabu maana wangekuuma wale maelfu waliouwawa kuliko kushabikia wamarekani ambao hata kumi hawafiki hata kama wamefika laziki wazawa wamepukutika wengi mno WAHURUMIE!!!!!!!Hata hivyo mbio za ISIS ni za ukingoni maadamu waarabu wameomba msaada wasaidiwe kupambana na ISIS naamini ombi lao linafanyiwa kazi na kazi tutaiona wala hatutazeeka kama msemo wako,Mbona kwa Osama mlisema hivi hivi sasa yuko wapi??? naona sasa hivi anajivinjali na hao MABIKIRA kama ni kweli.

Ile masikini nimeiweka for your benefit man,wala usidhani nawasikitikia kwani wanakua wameyataka wao wenyewe(i mean hao wamarekani).
as for isis killing arab sioni tofauti na wanyarwanda watusi kuua wahutu,ama wacongo kuua wanyamulenge ama waukraine kuua waukraine.siweki label ya imani yao kama unavyotaka wewe niweke.
sasa ajili wewe ni mdini unafikiri wote tunajurge vitu vyote kwa udini.
 
Nakushangaa wewe unayesema wamarekani wangapi watachinjwa kama kuku wakati hujui kuwa hao ISIS wameua waarabu wa Iraq na Syria maelfu hiyo hakuiona lakini umeona wale maskini waandishi wa habari waliochinjwa ambao hawazidi hata 5 ukawapa rate kubwa kuzidi maelfu ya waarabu wanaochinjwa kama kuku huko,Bila shaka hata picha wewe umeziona ISIS walivyokuwa wanawaangamiza askari wa Iraq waliowateka,kwa haraka haraka nimeona wewe hudhamini utu wa waarabu maana wangekuuma wale maelfu waliouwawa kuliko kushabikia wamarekani ambao hata kumi hawafiki hata kama wamefika laziki wazawa wamepukutika wengi mno WAHURUMIE!!!!!!!Hata hivyo mbio za ISIS ni za ukingoni maadamu waarabu wameomba msaada wasaidiwe kupambana na ISIS naamini ombi lao linafanyiwa kazi na kazi tutaiona wala hatutazeeka kama msemo wako,Mbona kwa Osama mlisema hivi hivi sasa yuko wapi??? naona sasa hivi anajivinjali na hao MABIKIRA kama ni kweli.
Unafiki mwingine bana,sasa kwanini wewe huwaonei huruma hao waarabu?.
acha waarabu,wale watoto 500 wa gaza waliouawa na israel miezi miwili iliyopita sijaona mahala umewaonea huruma,
unajifanya eti msitaarabu kumbe unafiki umekujaa.
haya,marekani jana ameua watoto 14 wa shule pale pakstani,umewaonea huruma wapi?.
acha unafiki bana.
wale wamarekani wamechinjwa kwa halali kabisa cause marekani yenyewe imewatoa kafara wapate sababu ya kuingia pale.
na licha ya kuingia wamefanya nini mpaka sasa?
wanaogopa kupeleka askari wa miguu kwasababu ni waoga kufa kama nini,kazi yao kuuwa watoto wasio na hatia,wamama na wazee
 
Of course your religion supports and promote that and you cannot impugn that.

"Strive hard against the unbelievers and the hypocrites and be unyielding to them; and their abode is hell, and evil is their destination."
Quran 9:73

[h=2]Proven facts: no arguments.[/h]
1. Islam terrorist groups have contributed to the highest percentage out of all terrorist organizations in the world.

2. Sharia law itself gives codes to divide people on the basis of Muslim and Non-Muslims.

3. Totally violates basic human rights.

4. Inhumane punishment code .

5. Religious unrest is the marked symptom in cultures where non-Muslims and Muslims share same land.

Eh! bado unaendelea tu?
 
Halafu huwa najiuliza hivi kwanini baadhi ya wakristo huwa wakari mtu anaposema maovu ya Marekani?Yani utakuta wanaitetea kushinda hata atakapo sikia nchi yake ikisemwa vibaya,kwani kuna mahusiano gani kati ya Marekani na Ukristo?

Na pia jiulize kwa nini waislam ikitokea kikundi cha kigaidi kinaua watu tena wazi wazi kwa mwamvuli wa dini ya kiislam hupenda kumsakizia hiyo misala marekani? Je waislam ni malaika hawafanyi maovu?
 
Unafiki mwingine bana,sasa kwanini wewe huwaonei huruma hao waarabu?.
acha waarabu,wale watoto 500 wa gaza waliouawa na israel miezi miwili iliyopita sijaona mahala umewaonea huruma,
unajifanya eti msitaarabu kumbe unafiki umekujaa.
haya,marekani jana ameua watoto 14 wa shule pale pakstani,umewaonea huruma wapi?.
acha unafiki bana.
wale wamarekani wamechinjwa kwa halali kabisa cause marekani yenyewe imewatoa kafara wapate sababu ya kuingia pale.
na licha ya kuingia wamefanya nini mpaka sasa?
wanaogopa kupeleka askari wa miguu kwasababu ni waoga kufa kama nini,kazi yao kuuwa watoto wasio na hatia,wamama na wazee

Mimi nawaonea huruma sana waarabu maana wana kila kitu lakini wameshindwa kufanya lolote pamoja na kuwa na maliasili mhimu.Na ndiyo maana nasema ISIS wapigwe tu wawape ahueni hawa watu maana wanauwana wao kwa wao yaani Waarabu kwa waarabu nahofia mwishowe watakosekana hata wa mbegu.Kuhusu GAZA nchi zote hata za kiarabu zinajua kuwa kabla ya kimbembe kuanza Israel ilitoa taarifa kwa wananchi wote wa palestina kuwa eneo fulani wanatakiwa watoke maana kinakuja KIPONDO cha nguvu,taarifa hizi zilitolewa kwa njia ya Voicemail,sms,simu na kwa ambao hawakuwa na simu vilitupwa vipeperushi kwa ndege GAZA nzima yote haya ni kuokoa watu wasiokuwa na hatia kama vile watoto,akina mama na wazee wasidhurike na KIPONDO hicho,Kinyume chake HAMAS kwa kuwa walikuwa na hamu ya DAMU za watu waliamua kuwazuia watu hao wasiende maeneo salama wao wakiamini nchi za kiarabu na umoja wa mataifa watawapa Back-up wakiona raia wanakufa kitu ambacho waarabu wenzao waliuchuna walikaa kimya tu maana waarabu wanajuana kwa vilba.kwa kifupi HAMAS iliwafanya raia kuwa Human-shield ili tu wapate sifa kimataifa kitu ambacho hawakukipata,sasa wewe unasema niwaonee huruma kwa lipi???maana taarifa walipewa mapema na wao wakawasikiliza Magaidi najua nextime watajifunza na wamejifunza kitu.
 
Na pia jiulize kwa nini waislam ikitokea kikundi cha kigaidi kinaua watu tena wazi wazi kwa mwamvuli wa dini ya kiislam hupenda kumsakizia hiyo misala marekani? Je waislam ni malaika hawafanyi maovu?

Yani nimesumbua kichwa kutafuta njia nzuri ya kujibu swali lako,ambalo jibu lake ni "Hivi kweli unajielewa?"ila nimekosa.
 
Kabla sijamaliza kuisoma hii post yako.nikujibu kwanza,wewe tuseme unawazidi nini hao waarabu?.pamoja na vita sehemu chache sidhani unaweza kuwazidi kwa lolote.
ngoja nirudi kusoma post yako nione hasa unamaanisha nini?
 
Na pia jiulize kwa nini waislam ikitokea kikundi cha kigaidi kinaua watu tena wazi wazi kwa mwamvuli wa dini ya kiislam hupenda kumsakizia hiyo misala marekani? Je waislam ni malaika hawafanyi maovu?
Vikundi vingi vya kigaidi vinakuwa financed na marekani,na wanaosema hayo ni wamarekani wenyewe,mbona tunaweka link husomi au lugha inasumbua?
 
Mimi nawaonea huruma sana waarabu maana wana kila kitu lakini wameshindwa kufanya lolote pamoja na kuwa na maliasili mhimu.Na ndiyo maana nasema ISIS wapigwe tu wawape ahueni hawa watu maana wanauwana wao kwa wao yaani Waarabu kwa waarabu nahofia mwishowe watakosekana hata wa mbegu.Kuhusu GAZA nchi zote hata za kiarabu zinajua kuwa kabla ya kimbembe kuanza Israel ilitoa taarifa kwa wananchi wote wa palestina kuwa eneo fulani wanatakiwa watoke maana kinakuja KIPONDO cha nguvu,taarifa hizi zilitolewa kwa njia ya Voicemail,sms,simu na kwa ambao hawakuwa na simu vilitupwa vipeperushi kwa ndege GAZA nzima yote haya ni kuokoa watu wasiokuwa na hatia kama vile watoto,akina mama na wazee wasidhurike na KIPONDO hicho,Kinyume chake HAMAS kwa kuwa walikuwa na hamu ya DAMU za watu waliamua kuwazuia watu hao wasiende maeneo salama wao wakiamini nchi za kiarabu na umoja wa mataifa watawapa Back-up wakiona raia wanakufa kitu ambacho waarabu wenzao waliuchuna walikaa kimya tu maana waarabu wanajuana kwa vilba.kwa kifupi HAMAS iliwafanya raia kuwa Human-shield ili tu wapate sifa kimataifa kitu ambacho hawakukipata,sasa wewe unasema niwaonee huruma kwa lipi???maana taarifa walipewa mapema na wao wakawasikiliza Magaidi najua nextime watajifunza na wamejifunza kitu.
Kwamaana hiyo kumbe hata gaza huijui,wakimbilie maeneo salama yapi?
in case kama hujui gaza ina ukubwa kama eneo la mnazi mmoja,na mashambulizi yalikua yanatokea kila upande,na incase kama hujui gaza imefungwa,
 
Marekani hawajaanza leo kusaidia makundi ya kigaidi.hata wamarekani wenyewe wanakiri kuwa marekani ndo tishio la amani duniani .
In 1949, the CIA installed a pro-American colonel, Adib Shishakli, as the Syrian leader. He won direct American military assistance along with covert financial aid. The CIA station chief in Damascus, Miles Copeland, called the colonel "a likeable rogue" who "had not, to my certain knowledge, ever bowed down to a graven image. He had, however, committed sacrilege, blasphemy, murder, adultery and theft." He lasted four years before he was overthrown by Ba'ath Party and communist politicians and military officers.
In March 1955, Allen Dulles predicted that the country was "ripe for a military coup d'etat" supported by the agency. In April 1956, the CIA's Kim Roosevelt and his British Secret Intelligence Service (SIS) counterpart Sir George Young tried to mobilize right-wing Syrian army officers; the CIA delivered half a million Syrian pounds to the leaders of the plot. But the Suez fiasco poisoned the political climate in the Middle East, pushed Syria closer to the Soviets, and forced the Americans and the British to postpone their plan at the end of October 1956.
In the spring and summer of April 1957,they revived it. A document discovered in 2003 among the private papers of Duncan Sandys, Prime Minister Harold Macmillan's defense secretary, spells out their effort in detail.
Syria had to be "made to appear as the sponsor of plots, sabotage and violence directed against neighbouring governments," it said. CIA and SIS would manufacture "national conspiracies and various strong-arm activities" in Iraq, Lebanon, and Jordan, and blame them on Syria. They would create paramilitary factions and spark revolts among the Muslim Brotherhood in Damascus. The creation of the appearance of instability would destabilize the government; border clashes manufactured by American and British intelligence would serve as a pretext for the pro- Western armies of Iraq and Jordan to invade. The CIA and SIS envisioned that any new regime they installed would likely "rely first upon repressive measures and arbitrary exercise of power" to survive.
Roosevelt identified Abdul Hamid Serraj, the longtime chief of the Syrian intelligence service, as the most powerful man in Damascus. Serraj was to be assassinated,along with the chief of the Syrian general staff and the head of the Communist Party.
The CIA sent Rocky Stone, who had cut his teeth in the Iran operation, to serve as the new chief of station in Damascus. Accredited as a diplomat, a second secretary at the American embassy, he used promises of millions of dollars and unlimited political power to befriend officers in the Syrian army. He represented his recruits in reports to headquarters as a crack corps for an American-backed coup.
Abdul Hamid Serraj saw through Stone in a matter of weeks. The Syrians set up a sting. "The officers with whom Stone was deal- ing took his money and then went on television and announced that they had received this money from the 'corrupt and sinister Americans' in an attempt to overthrow the legitimate government of Syria," said Curtis F. Jones, a State Department officer sent to clean up the mess Stone left behind. Serraj's forces surrounded the American embassy in Damascus, seized Stone, and interrogated him roughly. He told them everything he knew. The Syrians identified him publicly as an American spy posing as a diplomat, a veteran of the CIA's coup in Iran, and a conspirator with Syrian army officers and politicians to overthrow the government in exchange for millions of dollars in American aid.
The revelation of this "particularly clumsy CIA plot," in the words of the U.S. ambassador to Syria, Charles Yost, had consequences that reverberate today. The Syrian government formally declared Rocky Stone persona non grata. That was the first time that an American diplomat of any stripe—be he a spy working undercover or a bona fide State Department officer—had been expelled from an Arab nation. In turn, the United States expelled the Syrian ambassador to Washington, the first expulsion of any foreign diplomat from Washington since World War I. The United States denounced Syria's "fabrications" and "slanders." Stone's Syrian co-conspirators, including the former president, Adib Shishakli, were sentenced to death. A purge of every military officer who had ever been associated with the American embassy followed.
fromLegacy of Ashes: The History of the CIAby Tim Weiner (pages 137-138).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom