Nope,Iran Ni mwanachama wa IMF,,unadhani Iran ameomba akiamini atapewa?,anajua imf iko controlled na marekani,wanachofanya Iran Ni kuexpose huo ukweli,kwamba IMF haiko huru kivile,,Iran kama mwanamke tu ananuna huku kule anakuja kuomba msaada
Haimaanishi na support wanachofanya Wamarekani ila ndio hivyo tena kwa sasa wao ni kama maji tu, Usipoyaoga basi yumkini utayanawia
Mpaka hapo atakapo tokea mbabe mwingine wa Dunia tuanze kumpigia magoti, ndio maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani na China ninchi za ovyo sana hapa Duniani.
Na ndio maana sasa hivi shughuli za kigaidi zimesimama kwa kuwa wafadhili wakuu wa ugaidi US wapo bize kupambana na covid19Hawajawazidi US Kwaugaidi Maana Hatawao Walishawahi Kufanya Kama Hivyo Nawanaendelea Kufanya Ugaidi Kila Pembe Yadunia
Sent using My COVID-19
HakikaNa ndio maana sasa hivi shughuli za kigaidi zimesimama kwa kuwa wafadhili wakuu wa ugaidi US wapo bize kupambana na covid19
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran ni magaidi, unakumbuka walivyotungua ile ndege ya abiria au umesahau?
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump anataka regime change hata kwa kufanya mauaji ya mamilioni ya watu kama alivyofanya Iraq Afghanistan na Libya.But huu ni mkopo sio msaada,maana ya mkopo in kuwa mkopaji lazima arejeshe alichokopa,sioni haja ya Marekani kutia ngumu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani na Irani, wote wameathirika sana kwa Corona. Na by ratio, wote wameathirika kwa karibia kiwango sawa. Iran ina population almost 80m. US almost 325m. Vifo vya rorona virus Iran ni about 4k. US about 16k.Nope,Iran Ni mwanachama wa IMF,,unadhani Iran ameomba akiamini atapewa?,anajua imf iko controlled na marekani,wanachofanya Iran Ni kuexpose huo ukweli,kwamba IMF haiko huru kivile,,
Ulidhani kweli Iran walijua watapewa mkopo?.
Kingine Iran anajua marekani hawataondoa vikwazo,na wao makusudi kila siku wanna pressure marekani kuondoa vikwazo for humantarian reason,sababu ya ugonjwa,,wanajua marekani wale viongozi hawana maadili ya kiubinadamu na vile vikwazo viliwekwa ili kuidhoofisha na hatimae kuuangusha utawala wa Iran for the benefit of Israel,
Wao Iran wanataka kuweka history right na hizo facts ziwe documented.
After all marekani imeathirika kea corona zaidi kuliko iran
Basi hapo ngoma draw na ile iliyotunguliwa mwaka 1982 na marekani
Kwa hiyo wote magaidi si ndiyoBasi hapo ngoma draw na ile iliyotunguliwa mwaka 1982 na marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
The International Monetary Fund (IMF) is an international organization headquartered in Washington, D.C., consisting of 189 countries working to foster global monetary cooperation, secure financial stability, facilitate international trade, promote high employment and sustainable economic growth, and reduce poverty around the world while periodically depending on the World Bank for its resources.[1] Formed in 1944 at the Bretton Woods Conference primarily by the ideas of Harry Dexter White and John Maynard Keynes,[6] it came into formal existence in 1945 with 29 member countries and the goal of reconstructing the international payment system. It now plays a central role in the management of balance of payments difficulties and international financial crises.[7] Countries contribute funds to a pool through a quota system from which countries experiencing balance of payments problems can borrow money. As of 2016, the fund had XDR 477 billion (about US$ 667 billion).[8]Marekani na Irani, wote wameathirika sana kwa Corona. Na by ratio, wote wameathirika kwa karibia kiwango sawa. Iran ina population almost 80m. US almost 325m. Vifo vya rorona virus Iran ni about 4k. US about 16k.
Unapoomba pesa toka IMF au WB, kiuhalisia unaomba hela toka US na Washirika wake. Hao ndio walioianzisha na kuipa mtaji. Wengine wanatoa tu ada. Mwenye pesa huamua ampe nani, kiasi gani, wakati gani, etc. Nadharia inaweza kuwa tofauti lakini ukweli ndio huo. Ni sawa, kama unataka mkopo bank halafu unambiwa, kama unataka maombi yako yafikiriwe, kwanza unatakiwa uwe na account kwenye bank yetu. Ukishafungua hiyo account bado unaweza kupata au kunyimwa mkopo.
Ada ya uanachama ni tofauti na mtaji. Mwenye mtaji ndani ya taasisi hizo ni US na washirika wake waanzilishi kama UK.
Marekani ataendelea kuzidhibiti taasisi hizi za Umoja wa Mataifa kwa miaka mingi ijayo. Bahati mbaya mwenye uchumi unaomfuatia US kwa mbali ni Mchina ambaye katika masuala ya haki na utu ni ovyo maradufu kumzidi Mmarekani. Na hakuna dalili yoyote China inaweza kuwa na uchumi wa kumkaribia Mmarekani kwa sababu economic growth rate ya uchumi wa China imekwishafikia peak.
😁😁😁😁😁😁😁
The International Monetary Fund (IMF) is an international organization headquartered in Washington, D.C., consisting of 189 countries working to foster global monetary cooperation, secure financial stability, facilitate international trade, promote high employment and sustainable economic growth, and reduce poverty around the world while periodically depending on the World Bank for its resources.[1] Formed in 1944 at the Bretton Woods Conference primarily by the ideas of Harry Dexter White and John Maynard Keynes,[6] it came into formal existence in 1945 with 29 member countries and the goal of reconstructing the international payment system. It now plays a central role in the management of balance of payments difficulties and international financial crises.[7] Countries contribute funds to a pool through a quota system from which countries experiencing balance of payments problems can borrow money. As of 2016, the fund had XDR 477 billion (about US$ 667 billion).[8]
International Monetary Fund
Mwenye kutoa hela nyingi ndio mwenye turufu.Kumbuka anachangia ada lakini!
Marekani ndio mwenye Veto IMF na World BankHajaomba msaada. Bali anakopa,kumbuka kuwa kila mwanachama wa IMF anyo haki ya kukopa fedha .
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mkopo anaomba Iran lakini wewe wa Mtogole unasema kuwa haombi ila anaigiza.Nope,Iran Ni mwanachama wa IMF,,unadhani Iran ameomba akiamini atapewa?,anajua imf iko controlled na marekani,wanachofanya Iran Ni kuexpose huo ukweli,kwamba IMF haiko huru kivile,,
Ulidhani kweli Iran walijua watapewa mkopo?.
Kingine Iran anajua marekani hawataondoa vikwazo,na wao makusudi kila siku wanna pressure marekani kuondoa vikwazo for humantarian reason,sababu ya ugonjwa,,wanajua marekani wale viongozi hawana maadili ya kiubinadamu na vile vikwazo viliwekwa ili kuidhoofisha na hatimae kuuangusha utawala wa Iran for the benefit of Israel,
Wao Iran wanataka kuweka history right na hizo facts ziwe documented.
After all marekani imeathirika kea corona zaidi kuliko iran