Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombora ya Russia S-400

Mkuu hata Mimi nimepitia michango nimeona wengi wanachangia kwa mahaba pasipo na facts..

Bora hata wewe umekuja na mfano dhahili..
Nilidhani na wao pia watapinga kwa hoja..tens wengine wanasema ni propaganda wakati source wala siyo ya Maghalibi tena kwa bahati mzuri ni ya Lebanon (pro Russia).

Ni hero ya yule aliyesema kuwa iyo S-400 haitumii frequency za Aina moja ..maana hata wachambuzi wamezungumzia hilo..

# Mara nyingi sana siraha za kimarekani zimekuwa superior kwa za Russia rekea vita na migogoro mbali mbali iliyotokea middle East na kwingineko kama;

*Libya civil war (NATO intervention)
*war of attrition ( Misri akisaidiwa na Urusi)
*Israel-lebanon war 1982(operation More cricket)
*Iran-Iraq war
*Operation enduring Freedom
*Vietnam war (nazungumzia ufanisi wa siraha na lethality yake na siyo nani alishinda vita)
Kwa hii mifano michache inatosha ila IPO mingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom