Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,921
- 15,613
Uturuki imesema inaingiza bachi nyingine ya S-400 toka Urusi. Marekani yalalamika na kulialia kwa nini Uturuki ichukue mfumo huo bora zaidi wa Ulinzi wa anga na kuacha yale 'mavyumavyuma' chakavu ya Marekani yaitwayo Patriot PAC-3 na THAAD?!
Biden kaishia kupiga mikwara mbuzi ya kuiwekea vikwazo Uturuki! Ila Erdoğan ni kidume huwa hajali mikwara mbuzi.
Kama ni kweli silaha za Marekani zina ubora zaidi ya Urusi (au walau sawasawa na za Urusi), yanini kulazimisha watu wanunue mavyumavyuma chakavu ya Marekani? Achia watu wawe huru wachague bidhaa bora zinazokonga nyoyo zao....
Mie nauza vitumbua vyangu, wewe wauza vitumbua vyako...acha wateja wakija wachague vitumbua vyenye viwango vya juu wanavyovipenda...hasa ukizingatia wateja wenyewe wameshatesti ladha ya vitumbua vyote.
=====

USA warns Turkey of S-400 from Russia or else face sanctions - Keep Talking Greece
The US State Department has warned Turkey to avoid
www.keeptalkinggreece.com