Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombora ya Russia S-400

Al assad

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
1,399
1,501
Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombola ya Russia S-400.
Imesema imesema nimepata frequency hizo baada ya kupitisha Ndege yao ya upelelezi karibu na mambo ya kijeshi ya Urusi nchini Syria iitwayo Kheimim Air base.
Katika siku za Marekani imekuwa ikijaeibu kupitisha ndege zake za kivita karibu na kambi hiyo..

Inasemekana kwamba kupatikana kwa frequency hizi kunaweza kufanya Rada ya za makombola hayo kujazwa tageti bandia katika mapambano ya kijeshi..

Kwa habari zaidi link hii chini..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehehehe

Hongera Zao Kwahio Sasa Nahisi US Anaweza aakaingia Vitani Na Kumpiga RUSSIA Fasta 2 .........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombola ya Russia S-400.
Imesema imesema nimepata frequency hizo baada ya kupitisha Ndege yao ya upelelezi karibu na mambo ya kijeshi ya Urusi nchini Syria iitwayo Kheimim Air base.
Katika siku za Marekani imekuwa ikijaeibu kupitisha ndege zake za kivita karibu na kambi hiyo..

Inasemekana kwamba kupatikana kwa frequency hizi kunaweza kufanya Rada ya za makombola hayo kujazwa tageti bandia katika mapambano ya kijeshi..

Kwa habari zaidi link hii chini..

Sent using Jamii Forums mobile app
walishindwa kupata frequency za drones za waasi,mpaka wakalipua saudia,leo wanatudanganya wameijaribu s400,,huo ni moto,hautestiwi kijinga..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom