Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombora ya Russia S-400

Marekani imesema imepata frequency za mfumo wa makombola ya Russia S-400.
Imesema imesema nimepata frequency hizo baada ya kupitisha Ndege yao ya upelelezi karibu na mambo ya kijeshi ya Urusi nchini Syria iitwayo Kheimim Air base.
Katika siku za Marekani imekuwa ikijaeibu kupitisha ndege zake za kivita karibu na kambi hiyo..

Inasemekana kwamba kupatikana kwa frequency hizi kunaweza kufanya Rada ya za makombola hayo kujazwa tageti bandia katika mapambano ya kijeshi..

Kwa habari zaidi link hii chini..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii ni Habari njema sana, kwa sisi tusio ipenda Russia. Asante USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ni propaganda tu ,S-400....urusi unadhani ni wajinga mfumo huo umebuniwa kwa uangalifu mkubwa

Marekani anapropaganda ...za kutaka kujidai kuwa ni kinara ...wakati wenzake wanaumiza kichwa

Licha ya Marekani kutishia kuiwekea vikwazo zaidi Russia, tayari mataifa 13 yameonyesha utayarifu wao kwa ajili ya manunuzi ya ngao ya makombora ya S-400 ya nchi hiyo.

Kwa mujibu wa habari hiyo, kati ya nchi hizo ambazo ziko katika ushindani wa kununua mfumo huo wa makombo ni pamoja na Algeria, Misri, Iraq, Morocco, Qatar na Vietnam na kwamba tayari zimeingia katika mazungumzo na serikali ya Moscow.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, akthari ya nchi hizo hazitaki kusubiria maamuzi ya Marekani kuilenga Ruissia. Mfumo wa S-400 ni wa kisasa na bora ambapo hadi sasa hakuna zana yoyote ya kijeshi ya Marekani yenye uwezo wa kukabiliana nao. Kabla ya hapo pia Marekani ilitishia kuziwekea vikwazo nchi za Uturuki na India kwa uamuzi wao wa kutaka kununua mfumo wa makombora wa Russia wa S-400

Ununuzi wa silaha za kijeshi kutoka Russia unatafsiriwa na Washington kuwa ni hujuma kwa biashara ya silaha ya Marekani dunia

Marekani hana chake sasa urusi anazidi kuuza kwa kasi sana makombora ya S- 400

Na frequency zake zinabadilika badilika kutegemea na makombora yanayorushwa

Huu ndio ukwel baada ya US Kuona Jmaa anataka kupiga hela akaona ngojea ss aitie kasoro mifumo ya RUSSIA Ila wahunu hawa elewi wanataka wanunue vivyo hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha alikua taari eti anataka kuingia vita na Iran, eti walikua wanajiamini na ile mifumo yao ya ulinzi inayoona upande mmoja, walipopigwa ile kitu yao mpya kombora moja tu bila kupoteza shabaha walirudi mbio mkia ukiwa mapajani , aibu kubwa sana wamepata kwakweli
Zile khordad 2 kachemka kujua friikwens zake Halaf anakuja kutudanganya Kwa 400 Bado Hajatupata Atawapata Pro Zake Hao Hao

Hiyo mitambo ya Urusi Mara ngapi imeaibishwa na silaha za Marekani?!

Unakumbuka operation mole cricket 19 iliyofanywa na Israel?!

Air defenses za Urusi zilivyochakazwa bila kupoteza Ndege hata moja ya Israel
Zile khordad 2 kachemka kujua friikwens zake Halaf anakuja kutudanganya Kwa 400 Bado Hajatupata Atawapata Pro Zake Hao Hao

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mfumo kudungua drone ya upelelezi ndo umekua Bora?!Aisee ni kichekesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWELI RUSSIA ANATISHA YAANI TANGU MAKOMBORA HAYA YAANZE KAZI HAPA DUNIANI KUMBE TAIFA KUBWA KAMA US ANAHANGAIKA NA FREQUENCY NA SASA WANA S-JERO, S-600 ETC
 
US=PAPER TIGER
Hahahahaha alikua taari eti anataka kuingia vita na Iran, eti walikua wanajiamini na ile mifumo yao ya ulinzi inayoona upande mmoja, walipopigwa ile kitu yao mpya kombora moja tu bila kupoteza shabaha walirudi mbio mkia ukiwa mapajani , aibu kubwa sana wamepata kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana Maajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mitambo ya Urusi Mara ngapi imeaibishwa na silaha za Marekani?!

Unakumbuka operation mole cricket 19 iliyofanywa na Israel?!

Air defenses za Urusi zilivyochakazwa bila kupoteza Ndege hata moja ya IsraelYani mfumo kudungua drone ya upelelezi ndo umekua Bora?!Aisee ni kichekesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekua bora hao walosema kama wakiuziwa drones hizo zilopigwa konzi moja watakua bora ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom