Marekani imelitungua puto la kichina

Mchina ndio future ya hii dunia. Atakuja kalia kiti cha marekani soon baada ya hii vita.
Vipi kule Taiwan alishindwa nini? ni kwa nini hasa hakutungua ndege ya Pelosi alipotembelea Taiwan ukiambiwa jiambie China anaiopoga US kama unavyoogopa kitu chochote kile
 
Akikujibu Chonde Chonde Ni~Tag Chap
Vipi kule Taiwan alishindwa nini? ni kwa nini hasa hakutungua ndege ya Pelosi alipotembelea Taiwan ukiambiwa jiambie China anaiopoga US kama unavyoogopa kitu chochote kile
 
Vipi kule Taiwan alishindwa nini? ni kwa nini hasa hakutungua ndege ya Pelosi alipotembelea Taiwan ukiambiwa jiambie China anaiopoga US kama unavyoogopa kitu chochote kile
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 China naichukulia sawa na kijana muoga aliyeko kwenye ajira ya mshahara mdogo ila anaogopa kuacha ili ajiajiri.

China ameshikilia soko la electronics za kampuni nyingi sana ulimwenguni hasa kwenye uundaji.

Marekani ni mikwara tu na hizo bosheni za vikwazo ila China anaweza akamkazia vizuri tu.
 
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.
Us ni kama Dar ambapo makabila yote yamo😂
 
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.
USA ni mfano halisi namna binadamu kutoka sehemu mbalimbali za dunia wanavyoweza kuishi pamoja kwa amani bila ubaguzi wala chuki baina yao.
 
Ungefuatilia huo utaalamu wa kuunda hizo electronics kautolea wapi, na usishangae kwenye kiwanda ukamkuta top ni mzungu toka US., nikupe hadithi moja

Rafki yangu alipoenda china kufanya masters fulani alipoingia darasani alimkuta mmarekani ndio lecture akashangaa sana hivi china wanakwama wapi ata elimu ya vyuo vikuu wanakodi walimu toka US?
Marekani ni mikwara tu na hizo bosheni za vikwazo ila China anaweza akamkazia vizuri tu.
US hawana mkwara jana wameshatungua puto huko ingekuwa china ingekuwa wanakimbizana tu vipi tulipige au tuliache, tukifyatua itakuwaje, US halazi damu
 
USA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.
Mkuu hiyo nchi nzima ni wahamiaji.
 
Usiichukulie China poa. China siyo Zambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…