Ukiona matetesi ya vita Kila mahali ujue wakati umekaribiaNchi gani yenye utu?
Wapi ni salama waende wakaishi?
- Russia inaipiga Ukraine sasa hivi.
- Mwanamke hajafunika kichwa wamemyonga.
- China anataka kuipa Taiwan
- Tanzania, watu walikuwa wanapotea, wengine wanateka na kuawawa na watu wasiojulikana.
- Nchi za kiarabu wadada wa kazi za ndani wanauliwa kila kukicha.
- Sudan, watu wamegawana nchi na ni waislam 100%
- Somalia Alshabab hao
- Nigeria unakutana na boko Haram
Yaani nikishaona mtu badala ya kuandika hoja yeye analeta vihoja vya mabwana sijui mashoga basi najua huyu karithi akili mbovu kutoka kwa baba yakeMbona haujaandika Mabwana zako walivyomuua Gadafi bila kosa au Sadam Hussein
mnavyoongea kirahisi sasa [emoji2]Kwa kuwa limetunguliwa ni muda sahihi wa China kujibu mapigo kwa kutunguliwa puto lao. Tusubiri Mchina apeleke fighter jets in American airspace.
Umegeuka kwa speed ya farasi ila bongo raha sanaa[emoji1787][emoji1787]Kwa kuwa limetunguliwa ni muda sahihi wa China kujibu mapigo kwa kutunguliwa puto lao. Tusubiri Mchina apeleke fighter jets in American airspace.
Hata Tanzania Kuna raia wengi ambao ni WaTanzania na wametoka nchi mbali mbali ulitakiwa kusema marekani ina diversity kubwa ya watu tofauti that's allUSA ni nchi ya kipekee sana. Watu kutoka nchi mbalimbali wameshika nafasi kubwa na wanatambulika kama raia wa Marekani.
Unaweza ukamkuta mhindi kutoka india lkn ni mkuu wa polisi jimbo fulani.
Wameshajua Nuclear gani ziko active ili wampe taarifa Urusi akiwashe.Too late. Wachina washasave info. Ila Wachina nao bwana. Wamechemsha, walitakiwa waliset ili lisionekane.
Mchina ndio future ya hii dunia. Atakuja kalia kiti cha marekani soon baada ya hii vita.Mchina anadanganywa na putin
Wanadai lilipotea njia mkuu 🤣🤣🤣Too late. Wachina washasave info. Ila Wachina nao bwana. Wamechemsha, walitakiwa waliset ili lisionekane.
Hawawezi,kwanza ni aibu kwao kukamatwa .Nia yao ilikuwa hilo puto lisionekane kabisa,ndo maana wakaona aibu ikabidi wasingizie kuwa lilikuwa linachukua météorologiques data.Kwa kuwa limetunguliwa ni muda sahihi wa China kujibu mapigo kwa kutunguliwa puto lao. Tusubiri Mchina apeleke fighter jets in American airspace.
Kweli kabisa,hata hao wazungu wote chimbuko lao ni Europe.America is a foreigners land. Only the red Indians identify as indigenous Americans, wengine wote ni wakuja.
Hata wewe ukishatia mguu Marekani unakuwa Mmarekani. So usishangae kuona muhindi au mtu mweusi kuwa na cheo.
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki yake (debris) yangeweza kuleta madhara.
USSR View attachment 2506511View attachment 2506512
Puto linavuka hadi kufika usa walishindwa kuliona hadi limeingia katikatiKuna mpuuzi humu kapost kuwa US ameshindwa kilipua hili puto bila kujua lilikuwa suala la muda tu alikuwa bado anapima options
Mambo mengine bwana? Nani kakwambia puto kubwa ililo jazwa helium alionekani Dunian byHawawezi,kwanza ni aibu kwao kukamatwa .Nia yao ilikuwa hilo puto lisionekane kabisa,ndo maana wakaona aibu ikabidi wasingizie kuwa lilikuwa linachukua météorologiques data.
Mchina na sayansi wapi na wapi?Wawashukuru wazungu kwa kuwafundisha sayansi. China bado sana ,wao wanachojua ni kucopy tu.Mambo mengine bwana? Nani kakwambia puto kubwa ililo jazwa helium alionekani Duniani with naked eye likiwa kwenye layer ya stratosephere - nani? - Nimebandika humu kuhusu wanasayansi wa Kichina wanavyo weza kuongoza maputo ya Helium kwenda popote Duniani - wana sayansi wa Uchina si wakuchukuliwa kimchezo mchezo hata kidogo.
Walokole huwa mna uelewa/mentality ya ajabuNchi gani yenye utu?
Wapi ni salama waende wakaishi?
- Russia inaipiga Ukraine sasa hivi.
- Mwanamke hajafunika kichwa wamemyonga.
- China anataka kuipa Taiwan
- Tanzania, watu walikuwa wanapotea, wengine wanateka na kuawawa na watu wasiojulikana.
- Nchi za kiarabu wadada wa kazi za ndani wanauliwa kila kukicha.
- Sudan, watu wamegawana nchi na ni waislam 100%
- Somalia Alshabab hao
- Nigeria unakutana na boko Haram
Isije ikawa USA ndo amechukua taarifa maana haw watu wana power bank zao zinachukua chaji kwenye simu badala ya kupeleka chaji.Too late. Wachina washasave info. Ila Wachina nao bwana. Wamechemsha, walitakiwa waliset ili lisionekane.
Wewe mpuuzi sana ukisikia puto hilo unadhani ni puto la birthday? wanalopuliza watoto kwenye shereheUSA wameonyesha udhaifu, kwanini walishindwa kulidaka hilo puto ili walichunguze zaidi?